jamii

  1. DOMINGO THOMAS

    Dhamana iliyowekwa na mifuko ya hifadhi ya Jamii PSSSF/ NSSF kwenye Mikopo

    Hapa watumishi wengi watajua/wanajua wanachukua pesa walizo wekeza kwenye mfuko ( michango yao ya kwenye mfuko ) kitu ambacho sio sahihi. Mifuko ilicho kifanya (Sheria mpya inavyo sema) michango yako iliyopo NSSF/PSSSF inatumika/itatumika kama dhamana ya mkopo, yani ukishindwa kulipa uo mkopo...
  2. KikulachoChako

    Msongo wa mawazo unaoletwa na misukumo ya fikra kwenye jamii zinazotuzunguka

    Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki. Sote tunaishi kwenye jamii...jamii ambayo imejaa watu wenye mitazamo, maoni na utashi tofauti tofauti. Katika ya jamii hiyo ambayo tupo kunazaliwa viwango vya kimaisha na vigezo mbali mbali kwa mitazamo yao na kufanywa kuwa ndio vipimo na matarajio...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kwanini naipenda Jamii Forums? Sabau kuu ni hii...

    KWA NINI NAIPENDA JAMII FORUM? SABABU KUU NI HII. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli JamiiForums ni moja ya mtandao mkubwa hapa Tanzania ambao ninaupenda na haiwezi kupita siku bila kuingia kama nitakuwa mzima. Nilianza kuingia JF mwaka 2011 kutokana na upenzi wa kusoma Makala ndefu zenye tija...
  4. Shining Light

    Lugha ya Ishara ni muhimu katika jamii

    Lugha ya Ishara ni lugha ya kuona ambayo hutumia mikono, mwili na mienendo ya uso kusiliana. Kuna zaidi ya lugha ya ishara 135 ulimwenguni kote, na karibu asilimia 20 ya idadi ya watu duniani wana ulemavu wa kusikia. Hivyo, watu wengi wanahitaji kutumia lugha ya ishara kama njia ya mawasiliano...
  5. The Dictator

    Aina mbalimbali za mbwa. Jamii ipi unaikubali sana kati ya hizi?

    Naanza na boss mwenyewe kabisa.
  6. Mjanja M1

    Baba bado anaendelea kuchukuliwa poa kwenye jamii

    "Formula yangu ni ile ile mwaka wa 7 sasa. Nikimtumia baba pesa X mama 2X" - Idriss Sultan Vijana kama hawa wakizeeka ndio wanaongoza kutoa lawama kwa watoto wao wa kiume kuwa wanaegemea sana kwa mama wakati utaratibu waliuanza wenyewe.
  7. 2 of Amerikaz most wanted

    During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams

    "During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams" - Tupac. NDOA ni chanzo kimoja wapo kilichochangia kiasi kikubwa cha kutokomeza kama sio kuua kabisa ndoto za watu wengi katika jamii. Watu walikuwa na malengo na kumiliki biashara kubwa, kuwa wanasheria mashughuli na...
  8. Papaa Mobimba

    SI KWELI Afrika Mashariki yazindua noti yake iitwayo SHEAFRA

    Habari wakuu, Nimeona taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetambulisha noti yake itakayotumika katika nchi wanachama, iliyopewa jina la SHEAFRA (SHF). Wengi wameinukuu akaunti kutoka mtandao wa X (zamani Twitter) inayojulikana Government of East Africa Moja ya...
  9. LAZIMA NISEME

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha kuwa Laigwanan wa jamii ya kimaasai

    Mbunge wa Ngorongoro Mhe. Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha mwenyewe kuwa Laigwanan, Uapisho uliohudhuriwa na watu takribani ishirini wa familia yake katika sherehe ndogo iliyofanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Enduleni kata ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro. Baadhi ya viongozi...
  10. Kaka yake shetani

    Jamii ambayo inaweza kuwa ukaribu na watu ni wachina tu

    Wachina ndio wanaweza kwenda afrika na kuishi sawa na waliopo hapo. Najaribu kutafuta historia ya hapa tanzania kipindi cha ujenzi wa reli waliishia wapi. Kwa kenya karne ya nyuma wachina waliofika hapo wameacha vizazi. Hata historia ya kilwa inadaiwa wachina walifika na kufanya biashara.
  11. Mkalukungone Mwamba

    Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?

    Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Joyce Kiria ana upeo mdogo kuhusu haki, aache kupotosha jamii

    JOYCE KIRIA ANAUPEO MDOGO KUHUSU HAKI, AACHE KUPOTOSHA JAMII. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Baada ya kuishiwa kifurushi nikajikuta nipo Channel 10, huko nilikutana na mwanamama aitwaye Joyce Kiria ambaye kwa mazungumzo yake ni dhahiri anapotosha jamii. Joyce Kiria elewa kuwa kwenye nchi...
  13. kevin strootman

    Morogoro Kingilwora pakoje kiuchumi na huduma za jamii?

    Kuna jamaa yangu anataka kuniuzia kiwanja kingulwira Morogoro, Kwa wenyeji wa kule vipi pakoje? Hali ya hewa, huduma za jamii, biashara/kilimo Naomba muongozo
  14. kyagata

    Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

    Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano. So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
  15. G

    Mtoto wangu anayeishi na mama yake tulieachana analelewa ndivyo sivyo, ustawi wa jamii imeshindikana kumchukua, mama yake hataki niwe nae, nifanyeje?

    Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa...
  16. rutajwah

    Uzi maalumu kwa wanaosubiria ajira za afya ngazi ya jamii

    Habari wanajf, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Serikali ya Rais Samia suluhu imedhamiria kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii 28000 mikoa yote Tanzania bara kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Na watakaochaguliwa watapata fursa ya kuhudhuria mafunzo ya miezi sita ambayo yanagharamiwa na...
  17. Bushmamy

    Sikia kisa cha Binti huyu, Jinsi kinavyosikitisha! Anahitaji Msaada wako na jamii kwa ujumla kukaa sawa. Je, tumsaidiaje?

    Maisha ni fumbo kubwa sana, hayo sio maneno yangu bali ni ya binti huyu mwenye umri wa miaka 35 kwa Sasa,. Binti huyu Ambaye ni yatima muda wake mwingi Anapandisha na kushusha na barabara za Kijijini Kwao pasipokuwa na mwelekeo Wowote Huku akionge Mwenyewe. Kisa kinaanza hivi. Baada ya...
  18. Mpigania uhuru wa pili

    Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

    Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo...
  19. matunduizi

    Atheists (wasioamini Mungu) ndio jamii ya watu wanaoongoza Kujiua (Suicide) Duniani

    Katika tafiti mbalimbali zinaonyesha jamii ya watu wanaoongoza kujiua ulimwenguni. Hata hivyo jamii hii inqyokuwa kwa kasi, yenye watu wajivuni wanaodhani wametaka akili mpya nakuwaita watu wa dini mambumbumbu wengi wao licha ya uchangamfu wa nje na kimaandishi ndani ni wachovu, wanamisongo ya...
  20. JanguKamaJangu

    Polisi wapanda miti 1,000 Monduli Juu, waziomba jamii za kifugaji kutunza mazingira

    Jeshi la Polisi Katika kuhakikisha linaendelea na ulinzi wa raia na mali zao hapa nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo nchini (STPU) kimeshiriki katika kampeni ya upandaji miti zaidi ya elfu moja katika kata ya monduli Juu Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na...
Back
Top Bottom