Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat".
Ni tumaini langu wote ni wazima.
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma mpaka mwisho.
Kuna vitu vingi vinatokea katika maisha tunavichukulia kawaida but Ushawahi kujiuliza...
Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki.
Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan.
Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania...
Naandika kutokea Ghetto hii ni story ya Ghettominds. Anaesoma hii namuomba samahani kwa kumkumbusha machungu aliyopitia, katika ngazi ya elimu ya juu yani chuo. Hii ngazi wengi humu tumepitia na hakuna asiyejua maisha ya chuo jinsi yalivyo. Hivyo basi kupitia sera ya Tanzania niitakayo nawapa...
Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) umeibuka kuwa dhana maarufu sana Duniani, Afrika na hususani Tanzania, huku makampuni yakizidi kujishughulisha na shughuli za uhisani. Hata hivyo, Makala hii itakwenda kuonesha uhitajiwa wa mtazamo kamili zaidi wa CSR ni muhimu ili kufikia maendeleo endelevu na yenye...
Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.
Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo)..
Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.
Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya...
Habari wana Bodi.
Nimekuwa nikiwaza mara kadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu.
Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu?
Post zilizotumwa huku ni sahihi?
Nikiwaza ndugu yangu GENTAMYCINE anaweza akawa anapost zaidi ya laki 4 peke yake...
MTU mwenye uwezo mkubwa wa kufanya majukumu Kama haya Anaweza kuajiriwa Kama nani katika NGO au Taasisi Kama TASAF, Amref, Tacaids n.k.
MTU mwenye haya mambo
Counselor
Mentor
Psychotherapy
People builder
Pia MTU anayetoa personal growth and self -development.
Nahitaji kujua huyu MTU anaweza...
Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii aolewe ndipo alipoamua kujificha kwenye kimvuli cha kumtumikia mungu lakini nyuma ya pazia ni uongo...
WAKUU HESHIMA SANA KWENU:
Nimekua msomaji humu jf miaka takribani sita ila now ni mwanachama haiiii..humu ni vile sijasomeka persnlty yangu kwa kuwa sikua rasmi ila character za members na vimbwanga vyao 97% nazijua kulingana na post zao kwa hiyo nina furaha kwa sasa nimekua mchangiaji pia...
Mfumo wa elimu unaweza kuwa hauna mwelekeo unaohitajika kwa mahitaji ya sasa ya kiuchumi na kijamii. Mara nyingi, kuna pengo kati ya elimu inayotolewa na mahitaji ya soko la ajira.
Baadhi ya kozi na mtaala unaweza kuwa hauna mwelekeo unaohitajika kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Mfumo wa...
Habari wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kuandika secretariat ya ajira wa kada mkufunzi maendeleo ya jamii, kwa yeyote mwenye kujua ABCD kuhusu kada hii na ukufunzi kwa ujumla unaweza kishare experience, mawazo na ushauri, natanguliza shukran zangu
Wabena ni kabila la watu wenye akili sana wanaopatikana tanzania mkoani njombe.
Idadi yao ni takribani milion 1 na kitu…..(makadirio) pia kabila hili linapatikana mikoa jirani kama morogoro ,Iringa ,Ruvuma.
LAKINI PIA AFRICA NCHINI ETHIOPIA
Kuna kabila linajiita Bena (Bannaa) wanaishi katika...
Self esteem ni vile jinsi unavyojikubali kwa mtazamo wako, watu wengi hujikubali kwa maarifa waliyonayo, elimu, vipato, n.k.
Kwa wenzetu nchi zilizoendelea mtu anajikubali zaidi na kuona kinachompa heshima na kukubalika ni Maarifa mfano kujisifu kila mwaka anasoma vitabu 30, Kipaji...
Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa...
Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini.
Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki.
Unfortunately maneno yamenza mara uchawi mara kafara yaani blah blah kibao.
Ukweli mchungu jamii nyingi za Tanzania zamani zilikuwa...
1. Ripoti za CAG zinasema kuna ubadhilifu katika mifuko hiyo, kujiingiza katika miradi ambayo ni non productive.
2. Kibaya zaidi wafanyakazi wanajikopesha mabilioni bila riba na hawarudishi.
3. To crown it all serikali imechota fedha nyingi bila kuzirudisha.
4. Mama Samia, Rais wetu...
Salaam, shalom!!
Kwa kuanza, naomba kudeclare, Rabbon ni mwalimu wa neno la Mungu katika ngazi ya watoto.
JAMII ya kitanzania, inatahamaki kushuhudia mmomonyoko mkubwa wa Maadili na wanaolaumiwa ni wazazi.
Nichukue fursa hii kuwakumbusha JAMII kuwa, watoto wetu, wanakaa mashuleni masaa mengi...
Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
Taarifa sahihi ni msingi muhimu katika kuhakikisha haki zinapatikana katika jamii zetu.
Hata hivyo, upotoshaji wa taarifa ni tatizo linaloweza kusababisha ukosefu wa haki kwa baadhi ya watu.
Mathalani, katika vyombo vya utoaji haki kama Mahakama, taarifa potofu zinaweza kupelekea kutoa hukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.