jamii

  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tofauti na jamii zingine za ndege, bata hajaongelewa hata kwa bahati mbaya kwenye biblia

    Huenda bata zamani hawakuwepo wameibuka siku hizi Kuanzia mwanzo hadi ufunuo hakuna mstari unaomtaja iwe kwa mazuri au mabaya
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tambua aina za power (nguvu) katika jamii na ujue wewe upo wapi

    Tuwe pamoja moja Kwa moja naenda kutiriria, karibu sana. AINA ZA POWER (NGUVU) KATIKA JAMII. 1. Informational power Hii ni nguvu itokanayo na mtu kuwa na uwezo wa kupata taarifa au mtu kuwa na taarifa sahihi juu ya kitu flani ambacho ni cha muhimu kwa jamii. Mf dalali, huyu mtu ana taarifa...
  3. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wazazi na jamii kwa ujumla wanasomesha watoto lakini wakija kutumia maarifa ya elimu wanaambiwa wanaringa

    Maneno ni mengi sana kwa vijana wanaohitimu vyuo Mara waambiwe wanaringa, mara elimu ni ya makaratasi haiwasaidii chochote na kejeli nyingine Wengi wa watoto siku hizi kwanza huwa hawapendi shule lakini wazazi na serikali wanatumia nguvu kubwa kuwalazimisha wasome lakini wakimaliza maneno...
  4. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini pakstani inawafukuza mamilion ya wa afghanistan? Wakati wote ni jamii moja na majarity ni dini Moja?

    Wa afghanistan wanateseka Sana nchini pakstani Wanafukuzwa ila hawataki kuondoka wanasema wakirudi maisha yao yanakuwa hatarini Hata hivyo pakstani imewabeba kinguvu na kuwarudisha kwa maelfu! Ninachojiuliza dini ya kiislam inahamasisha muislam mpende muislam mwenzako na hizi nchi asilimia...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Huyo ndio Mwijaku , ambaye CCM inamchukulia kama kioo chake Cha Jamii

    Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama. Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

    Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wa Anunnaki: Jamii nje ya dunia

    Katika kitabu chake cha 1976, "Sayari ya Kumi na mbili," mwandishi wa Kirusi-Amerika Zecharia Sitchin alidai kwamba Anunnaki walikuwa kweli jamii ya viumbe vya nje kutoka sayari isiyojulikana ya Nibiru ambao walikuja duniani miaka 500,000 iliyopita ili kuchimba dhahabu. Kulingana na Sitchin...
  8. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

    Ni dada wa miaka 45 Nimepanga Sijaolewa Ni mfanyabiashara ndogondogo Niko jijini Dar Es Salaam Nitashukuru sana.
  9. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Wasichana Wanaowaza Mapenzi Tu: Ukweli au Stigma (Unyanyapaa) kwa Jamii?

    Kuna kale ka-sentensi maarufu mitaani: “Wasichana siku hizi akili zao zote ni mapenzi tu.” Swali la msingi ni… ni kweli ama tumewatengenezea label tu ya "Love Machines" bila kuwapa nafasi ya kueleweka? Real Talk… Ukisikiliza mazungumzo ya watu, hasa porojo za vijiweni, utaambiwa eti msichana...
  10. Daby

    JamiiForums Tanzania Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima aitaka jamii kuzitumia huduma za ustawi wa jamii kutatua changamoto mbalimbali

    DKT. GWAJIMA AITAKA JAMII KUZITUMIA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI Na WMJJWM-Mtwara Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ameitaka jamii kutambua na kutumia kikamilifu huduma zinazotolewa na wataalamu wa Ustawi wa Jamii...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "THE NEW NORMAL" katika jamii zetu kwa sasa.

    🚩Mashoga kujivinjari na kujionesha waziwazi katika masherehe na shughuli za kutuzana, zamani mtu aliekuwa ushoga aliishi kwa usiri mkubwa sana yani unasikia juju kwa juu tu kuwa fulani ni shoga. 🚩Aina ya mwanamke alie katika utupu au historia ya skendo chafu ndio inakuwa televised na glorified...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania China ililazimisha jamii ndogo ya waislamu wa huko watume video zao kuonyesha wanakula kipindi cha ramadhani

    Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania John Mrema: No election ni kukusanya wimbi kubwa kwa jamii ili kushinikiza mabadiliko. Lissu: ninaikusanya jamii ya watanzania ili kuhimiza mabadiliko

    John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko. Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe? Mimi hata...
  15. shuka chini

    JamiiForums Tanzania JAMII INA WATU WENYE STRESS SANA

    Habari wadau .Moja kwa moja kwenye mada miaka ya hivi karibuni tumeona kundi kubwa la wachekeshaji wa mitandaoni inaonekana Watanzania wengi wanastres sana hadi kufikia hatua ya kununua furaha. Yani watu wanalipia hela kwenda kucheka .Enyi watawala punguzeni kubana watu wanastress sana...
  16. Zee la michongo

    JamiiForums Tanzania Mgeni wa Jamii Forums

    Habari wakuu Mimi ni mgeni nahitaji support yenu na ushirikiano wenu Ova
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Uislam ni hadithi za maisha ya jamii ya qurayshi na machache kutoka kwenye biblia

  18. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  19. J

    JamiiForums Tanzania Vikundi/ vyama vya KUFA na KUZIKANA vinaleta ustawi gani katika jamii?

    Utamaduni ni jambo ambalo linanguvu saana, Hata wataalamu wa mambo ya kijamii wanasema ili uweze kubadilisha utamaduni wa sehemu fulani inaweza kuchukua hata miaka 50. Katika jamii zetu kumekuwa na desturi au kaida za kuisaidiana katika Sherehe mbalimbali kama harusi, birthday, vipaimara...
  20. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zawadi ya EID: Mwijaku kulipia jamii Maskini 1000 Kodi za nyumba miezi 12

    Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
Back
Top Bottom