Habari wanajamvi,
Mimi pekee au Kuna wengine ambaao wanajionea kuwa contents za Jukwaa letu hili Siku hizi hazina mashiko.
Baada ya kuliona hili nimechukua hatua ya kuuliza kama zipo contents premium naomba moderators Mtufahamishe.. na Namna ya kuziaccess
Wana YANGA mpooo
Wana YANGA tumeamuaaa kumpongeza na kumwombea Mungu ambariki MH RAISI MAMA SAMIA HASSAN SULUHU WA Tanzania Mungu azidi kumlinda na kumbariki ampe nguvu ktk kuongeza MAENDELEO ya nchi yetu
Tar 8 MARCH...
Pamoja na hayo tumepanga kutembelea jamii mbalimbali kutoa misaada tar 7...
Wakuu,
NSSF BUNGE la Jamhuri wa muungano wa Tanzania
Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:<
1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji?
2. Kwanini riba ya...
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati.
Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
Naomba nichangie suala linalohusiana na ustawi wa jamii.
Siku za karibuni kuna utafiti nimefanya ambao sio rasmi lakini kwa takwimu na matukio niliyobaini inanisukuma kuandika hapa jukwaani.
Kwa hapa Dar es Salaam naona kuna ongezeko kubwa la watoto wa mtaani.
Hawa watoto wanazaga ovyo mchana...
Nimefatilia Sana na kuangalia mtu Amalia machozi na wengine wakianzisha umoja wao wa Majobless ili kuendesha harakati za kudai Ajira.
Ni kweli serikali inabidi kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi ya kupunguza hili tatizo hata kwa asilimia kadhaa .
Ila kubwa kuliko ni wazazi kuwa na uwezo wa...
Habarini,
Kuna social construct nimeiona kwenye jamii
Mimi binafsi na great thinkers wengine tunaamini kuwa hamna tofauti kati ya golddigger (mdada anaekupendea hela) na mdada anaejiuza barabarani, sababu wote wawili wana-sex na wewe sababu unawapa hela, usingekua na hela wasingekupa...
Niko kwenye prosses za kusajili taasisi ya kusaidia jamii hasa wanafunzi na vijana walioko kwenye mazingira magumu.
Taasisi hiyo itaitwa NOVA INUA ORGANIZATION (NIO) yenye lengo la kusomesha wanafunzi na kuwapatia mahitaji muhumu na kuendeleza ustawi wa jamii kwa kutoa elimu ya afya bora na...
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa...
"Tunaamini ndani ya ushirikiano na tunapongeza taasisi ya Global Peace Foundation na ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania kwa kufadhili mradi huu wa “Jamii Shirikishi katika Uzalendo na Ulinzi”. ~ Mh Victoria Mwanziva, Mkuu wa Wilaya ya Lindi.
"Sisi kama viongoizi hatutakuwa vikwazo, na...
Ni weekend nyingine ya mwezi wa pili mwaka 2025 inaishia.. Wenye kazi zao wako kwenye maandalizi ya kuwahi kesho kazini.. Tusio na kazi kesho ni siku nyingine ya upweke na simanzi nyingine..😪
Niwatie moyo sana na tusikate tamaa.. Elimu tulipata itusaidie tuweze kujimudu kimaisha kupitia...
Wakuu.
Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa nafanyia Kazi zangu ndani.
Mimi Kazi zangu ni za masoko kununua na kuuza.
Hivyo huwa natafuta wateja wa bidhaa kipitia online .
So Mimi kwa siku naweza kuigiza wastani wa 100K sawa na mil 3 kwa mwezi.
So Kutokana na jamii kuwa na mtazamo tofauti...
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia
Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!,
Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao...
Habari ya wakati huu mabibi na mabwana.
Baada ya kuingia mtumiaji wa jamiiforums bila account kwa kipindi kirefu hatimaye leo nimejiunga rasmi.
Asante.
JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti?
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad chande amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujenga uelewa kuhusu umuhimu...
Hello!
Sipo hapa kuwabenza ama kuwananga hapana ninachohitaji kujua/kufahamu ni kuhusu elimu zenu hizo mmezipambania kwa udi na uvumba na kwa gharama huku mkijinyima sana.Kwa kifupi hongereni sana na wapongeza kwa msoto huo.
Mara kadhaa tumewasikia wabunge kama msukuma na kishimba wakikosoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.