Hii ndio "THE NEW NORMAL" katika jamii zetu kwa sasa.

Hii ndio "THE NEW NORMAL" katika jamii zetu kwa sasa.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
10,934
Reaction score
34,745
🚩Mashoga kujivinjari na kujionesha waziwazi katika masherehe na shughuli za kutuzana, zamani mtu aliekuwa ushoga aliishi kwa usiri mkubwa sana yani unasikia juju kwa juu tu kuwa fulani ni shoga.

🚩Aina ya mwanamke alie katika utupu au historia ya skendo chafu ndio inakuwa televised na glorified katika vyombo vya habari kupelekea hadi kupata offers za kutangaza. Zamani mwanamke alie na staha ndio aliokuwa kioo cha jamii.

🚩Siku hizi kuachana ni bei rahisi sana, single mothers wamejazana mtaani, wanaume waliooa na kuacha zaidi ya mara tatu wamejaa mtaani, mahakamani ni kesi za kugawana mali, etc. Ebu angalia wazazi wako na wa rafiki yako hadi leo wako pamoja.

🚩Sasa hivi heshima na ushujaa wa mtu ni vitu anavyomiliki na umashuhuri mitandaoni sasa na vijana wamekuwa wadhaifu kupelekea kuzibuliwa vyoo na kulelewa na wamama/wababa ili afikie maisha ya mtandaoni. Zamani umashuhuri wa mtu ilikuwa ni jitihada yake na staha yake haijalishi uwezo wake.
 
🚩Mashoga kujivinjali na kujionesha waziwazi katika masherehe na shughuli za kutuzana, zamani mtu aliekuwa ushoga aliishi kwa usiri mkubwa sana yani unasikia juju kwa juu tu kuwa fulani ni shoga.

🚩Aina ya mwanamke alie katika utupu au historia ya skendo chafu ndio inakuwa televised na glorified katika vyombo vya habari kupelekea hadi kupata offers za kutangaza. Zamani mwanamke alie na staha ndio aliokuwa kioo cha jamii.

🚩Siku hizi kuachana ni bei rahisi sana, single mothers wamejazana mtaani, wanaume waliooa na kuacha zaidi ya mara tatu wamejaa mtaani, mahakamani ni kesi za kugawana mali, etc. Ebu angalia wazazi wako na wa rafiki yako hadi leo wako pamoja.

🚩Sasa hivi heshima na ushujaa wa mtu ni vitu anavyomiliki na umashuhuri mitandaoni sasa na vijana wamekuwa wadhaifu kupelekea kuzibuliwa vyoo na kulelewa na wamama/wababa ili afikie maisha ya mtandaoni. Zamani umashuhuri wa mtu ilikuwa ni jitihada yake na staha yake haijalishi uwezo wake.
Ni zaidi ya Sodoma na Gomorrah!
 
Mkuu umenena ukweli mtupu. Ndo maana nimejiunga kwenye kikosi Cha kataa ndoa kwa sababu wanawake wa siku hizi hawako tayati kuishi chini ya mamlaka ya mwanaume kwa kudai kuwa wanataka haki sawa.

kataa ndoa kwa maana ni utapeli!!

Bolotoba
 
Hii nayo inazidi kututia mashaka kwamba wanaokataa hii taasisi siyo wale aliowaandika pale juu #1 mleta mada ambao tunawaona wakikata mauno hadharani kwenye harusi za dada za watu?yaani mtoto wa kiume uno analizungusha kumzidi dada yake....kweli!?

Mwanaume mzima kichwa cha juu na cha chini hana sababu itakayomfanya amuogope mwanamke,mbona wazee wenu hawakuwaogopa?
 
Huo unaitwa ustaarabu wa kukodi ambao ukiwa ushamba was nchi zilizoendelea Sisi tunaita ujanja na maendeleo katika jamii Kama wao waitavyo.

Kadri mnavyozidi kustaarabika ndivyo mnavyozidi kuwa hatari kwa kila mmoja wenu.
Hakika mkuu umenena makuu sanaa💪🏿💪🏿
 
Hii nayo inazidi kututia mashaka kwamba wanaokataa hii taasisi siyo wale aliowaandika pale juu #1 mleta mada ambao tunawaona wakikata mauno hadharani kwenye harusi za dada za watu?

Mwanaume mzima kichwa cha juu na cha chini hana sababu itakayomfanya amuogope mwanamke,mbona wazee wenu hawakuwaogopa?
Inasikitisha mkuuu
 
Hapa ndio nawaelewa North Korea kutorusha vitu vya kimagharibi bila kuvipitia, ukija China pia ingawa wanamiliki Tik tok, content wanazoziachia watu waone nyingi ni positive.

Sisi tushabebwa mazima, kwasasa ukifanya mambo ya kimagharibi unaonekana mjanja, ukifanya yakitamaduni mshamba! Fuatilia tu hata mashuleni siku hizi unakuta Steven,Ahmed,Michael,Anwar kama majina ya ukoo. Masawe,Mapunda,Mwakipesile huyakuti tena! Twende tu tutajua mabalaa ya hii kitu inaitwa demokrasia huko mbele.
 
Back
Top Bottom