jamii

  1. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamii ya kitanzania hatuwezi kufanya biashara ya kifamilia

    Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini? Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Simba itakandwa 4 bila, ngao ya jamii

    Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine). Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi) Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

    Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence. Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wema wanakufa. Wabaya wanakufa. Sasa niwe mwema ama m-baya ndani ya jamii?? Wema una faida gani??

    Wakuu, Kuna jamaa yangu anaitwa Michael amefariki jana na habari nimezipata leo kupitia accounts za washkaji zangu za Facebook pamoja na Instagram. Sasa ninajiuliza, kuna faida gani ya kuwa mtu mwema kwa maana wema wanakufa na wabaya pia wanakufa. At least labda ingekuwa wema wanaishi muda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ni nzuri ila imechangia sana kuwe na ongezeko la Gen - Z kujitenga na jamii

    Kijana anaweza kukaa ndani siku nzima bila kutoka kwenda nje kujichanganya, tena sio nje tu hata humo humo ndani ya nyumba hatoki kujichanganya na wenzake. Laptop na simu zimekuwa bei rahisi sana na zenye teknolojia ya juu sana, Internet zimeshuka sana bei ukiwa na elfu 70 unatumia internet...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JAMII CHAT: Uchawi ni sayansi ya kuunda miujiza au ni technique ya kufanya akili kuamini matokeo yametokana na miujiza?

    Karibuni:
  7. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ifunze familia yako maadili mema utainusuru jamii inayokuzunguuka na Taifa kwa ujumla

    Ni muhimu kuwafunza waliokatika miliki yako maadili mema kuanzia watoto wako, wadogo zako, ndugu wa karibu pamoja na majirani mnaoishi kwa kushirikiana shughuli za kila siku, kila mtu akifanya hivyo katika eneo analoishi jamii nzima itakuwa na maadili mema na yanayofaa katika jamii na taifa kwa...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  9. H

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Kimataifa yashangaa Jinsi Lisu anavyotendewa na Watawala wa Tanzania

    Jamii na vyombo mbalimbali vya kimataifa vinashangazwa na utawala wa Tanzania namna wanavyominya haki za watanzania, na jinsi wanavyomfanyia uharamia Tundu Lisu. Washangazwa jinsi Lisu anavyozongwa na askari waliojificha nyuso zao kama vile wamemzunguka gaidi wakati Lisu ni mtetezi wa haki...
  10. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wana jamii nisaidie jina la huu mti kibongo kibongo, kwa kiingereza unaiea waburgia ugandesis

  11. A

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya ubunge nje ya maslahi na heshima kwenye jamii

    Nimekuwa nikijiuliza maswali tele, kuwa ni nini hasa kipo nyuma ya ubunge? Kwanini watu wanaufukuzia kwa kiwango cha kutisha hivi. Unakuta mtu tayari ana uchumi mkubwa....ana miradi yake ipo stable tu, lakini bado anausaka ubunge... Angalia mtu kama Abood, late Mkono nk Utakuta mwingine ana...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Taratibu kwa wale walio wagen huku Jamii forums

    Naombeni mnipe utaratibu huku. Ni mgeni tokea Twitter X. Nmezoea spana za kule huku vip.
  13. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Tamba na Jicho 👁 la Ustawi wa Jamii Mtaa kwa Mtaa 🇹🇿

    Wasalaam Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha. Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Sijaona waziri anaeshirikiana na jamii kwa moyo wa kujitolea bila makamera kumzidi Dkt Dorothy Gwajima, Her Responsibility exceeds her power

    EDIT: Sio waziri tu, ni viongozi wakiwemo mawaziri, maspika, wakuu wa mikoa, wabunge, n.k. Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa karibu na waathirika moja kwa moja badala ya kutegemea tu ripoti kutoka kwa viongozi wa chini. Mara...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Druze inavyofutwa huko Syria. Hali inatisha sana

    Allah Akbar...! Alisikika mwanajeshi mmoja baada ya kumuua Mdruze huyu. Wadruze wamejikuta wakilengwa au kuingia kwenye migogoro nchini Syria kutokana na sababu za kisiasa, kijamii na kidini, lakini sio tu kwa sababu ya imani yao ya kipekee. Sababu kuu ni hizi: 1. Mgogoro wa Syria (2011 hadi...
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jamii yote shangilieni, kaeni mkao wa kula na kunywa vinono!

    Wakuu, kwema humu? Zimepita siku kumi tangu nilipowaaga kwamba naenda "kugawa chakula" katika maeneo mengine ya dunia. Mimi nilifikiri akiba ya chakula niliyoiacha humu inatosha kuwafanya watu wanywe na kula hata kwa mwaka mzima. Leo nikasema ngoja nirudi nichungulie nyumbani kukoje? Duh...
  17. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Jamii inayopendelea kukaa kwenye kelele, hasa za muziki, huwa na ufikiri finyu na dumavu

    Kwenye maisha ya nyakati hizi,makelele hasa ya muziki yamekuwa ni kiashiria cha usasa,na kuonesha shangwe. Watu hawapendi tena unyamavu na kufikiri ,kelele zimekuwa ndio kiburudisho ,Jamii ya namna hii kamwe haiwezi kuwa na mawazo pevu kwa mambo kadhaa ya maisha.Muziki wa kelele unatumika kama...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Je ni wakati wa kufuatilia Insta ya Jamii Forum na zile Zingine Zisizo toa Taarifa SAhihi!

    Imekuwa ikitokea habari za Upinzani Tanzania au habari ambayo watu fulani hawaipenda basi ile TV online na Insta page haziwekwi isipokuwa kwa jf pekee. Je, wadau, tu unfollow zile page ili tuwe na source moja ya jf. Tutajieni majina ya kuachana nao.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mtu siyo pesa bali ni imani yake kwa jamii iliyompa imani zao

    Kuishi kwingi ni kuona mengi,nimemuona Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani,akiwa na thamani kubwa kwa jamii,nikamuona Lipumba akiwa CUF,tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo ni kati ya watu kumi duniani waliyosomea mambo ya uchumi,tukaaminishwa ni mshauli wa rais wa Uganda katika masuala ya...
  20. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania KERO Mifuko ya Hifadhi za Jamii NSSF na PSSSF kwanini mnatesa wastaafu kuwalipa Pesa zao?

    Mazoea yamekuwa desturi, baada ya kuchangia kwa miaka mingi mifuko hiyo hadi kustaafu sasa wastaafu ndio wana kumbana na adha ya kupewa pesa zao utadhani wanaomba kazi upya. Kwanza wanacheleweshewa wakati mifumo ya kustaafu inaeleweka mwezi mmoja kabla mtu hajastaafu. Sasa kesha toka kazini na...
Back
Top Bottom