jamii forums

  1. JamiiForums Tanzania Kuna siku Rais Samia aliisifia JamiiForums nikajua amekubali kuwa ni jukwaa linalompatia taarifa na kero za wananchi

    Nimeshangaa kusikia wasiojulikana wanamtishia maisha mmiliki wa jukwaa la JamiiForums. Huko nyuma Mama aliwahi kusikika hadharani kuwa huwa akisoma maoni ya watu JamiiForums anabaki kucheka tu. Akasifia kuwa sasa hivi habari nyingi zinapatikana kupitia JamiiForums kuliko hata magazeti na...
  2. JamiiForums Tanzania Melo ataja sababu za JamiiForums kufungiwa

    Katika mazungumzo na The Chanzo amefunguka kuhusu kwanini TCRA wameifungia JamiiForums kwa siku 90 Tukiwa wenye akili timamu kabisa tunajua kuwa bila kupigania haki kwa udi na uvumba hatutoboi https://youtu.be/YLRFPaPTlOA Hatutanyamaza Britanicca
  3. JamiiForums Tanzania Rais alisema anapenda kusoma Jamii Forums

    Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma? Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona kama raia wanaweza kujitegemea kimawazo. Mara ngapi umewasikia watu wanasema,"Huyu mtoto ana...
  4. JamiiForums Tanzania IGTWG yaitaka TCRA na taasisi zote husika kuangalia upya uamuzi wa kuifungia Jamii Forums

    TAARIFA YA IGTWG KUHUSU KUSITISHWA KWA JAMII FORUMS NA TCRA: WITO WA MAZUNGUMZO NA ULINZI WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI Kikundi cha Uongozi wa Mtandao Tanzania (IGTWG) chenye zaidi ya asasi 25 za kiraia kimepokea kwa wasiwasi mkubwa uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wa kusitisha...
  5. JamiiForums Tanzania Habari za huko TANZANIA, kufungiwa Kwa Jamiiforums ni ishara ya ushindi wa umma

    Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia CCM na njama zake wanakaribi kuanguka, wamegusa pabaya.mara hii Jamiiforums ni kubwa mno, yaani jamii forums...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  7. JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa Jamii Forums: Umoja na Sauti ya Watanzania

    Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano. Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA Yalaani Uvamizi wa Ofisi za Jamii Forums, Yataka Ufafanuzi wa Serikali

    Chadema tunalaani kwa nguvu zote tukio la uvamizi uliofanywa leo tarehe 05 Septemba 2025 katika ofisi za Jamii Forums, zilizopo Mikocheni, Jijini Dar es Salaam, na watu walioidai kuwa wanatoka katika mamlaka za usalama. Tukio hili linaashiria kukandamizwa kwa uhuru wa habari, kuminya uhuru wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kila mtu ana kichaa chake

    Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake” wewe Fanya observation utaona Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili. Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
  10. JamiiForums Tanzania Jamii forums app clone + modification kwa kutumia flutter

    Nimedesign clone ya Jamii Forums app kwa kutumia Flutter, nikiwa nimefanya marekebisho machache (UI/UX na baadhi ya features) ili kuiboresha zaidi. design hii imelenga kujifunza, kuonyesha uwezo wa Flutter kwenye mobile app development, na pia kujaribu kuibua ideas mpya kwa ajili ya apps...
  11. JamiiForums Tanzania Money vs education (pesa vs elimu) debate

    Money Vs Education choose your side Money is Better Than Education or Education Is Better than Money Pesa Vs Elimu Je wewe unaona Pesa ni bora kuliko elimu Je Elimu ni bora kuliko Pesa?
  12. JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    JESUS NEVER WALKED ON WATER. IT IS SYMBOLIC Jesus was walking on top of the veil of the ether (astral projecting). The ether is the 5th element, also known as spirit. It’s a substance that has one foot in the astral plane and in the physical plane. Ether is the word either because it’s on...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Taratibu kwa wale walio wagen huku Jamii forums

    Naombeni mnipe utaratibu huku. Ni mgeni tokea Twitter X. Nmezoea spana za kule huku vip.
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli mgumu kwa nchi

    Sikiliza Huu ujumbe kwa Nchi https://youtu.be/qQHFX3DBj-k?si=4YEiO6KBXBJgn-0O
  15. JamiiForums Tanzania Mjuaji Vs Mtaalam

    Mtaalam vs Mjuaji (Machino) (Chawa) Mtaalamu ni mtu mwenye ujuzi wa kitaalam katika eneo fulani, amepitia mafunzo rasmi, uzoefu wa kazi, au elimu ya kina. Mfano: mtaalamu wa afya, mtaalamu wa sheria. Mjuaji ni mtu ambaye anajua mambo mengi, lakini si lazima awe na elimu rasmi au ujuzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 (PICHANI NI 3BEDROOMS SIMPLE HOUSE ON 25X13M PLOT)

    ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati Wanajamii Forums kwa sapoti kubwa mliyonipa mwezi huu. Kwa neema ya Mungu na msaada wenu, nimeweza kufanya kazi na wateja wengi waliotoka moja kwa moja kupitia hii forum. 💼🏗️ Naahidi kuendelea kutoa huduma...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Mungu anajua utakwenda motoni au mbinguni?

    Kama Mungu anajua Future yako Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni? Na Future inaweza ikabadilika?
  18. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wanawake Ni Viumbe vya Ajabu? Na wanabadilika Ghafla?

    Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu? na kwa nn ni emotional creatures? Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia Na namna gan ya kuishi nao?
  19. JamiiForums Tanzania Njia Ya Kuponywa ambayo watu wachache wanaiamini na wameona matokeo yake

    Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia Omba toba usamehewe dhambi zako Math 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti...
  20. JamiiForums Tanzania SIRI YA UPONYAJI (UGONJWA WOWOTE)

    Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia Omba toba usamehewe dhambi zako Math 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…