Kufungiwa kwa Jamii Forums: Umoja na Sauti ya Watanzania

Kufungiwa kwa Jamii Forums: Umoja na Sauti ya Watanzania

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,222
Reaction score
10,730
Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano.

Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja la kuendelea kuwasiliana na kusema ukweli.

Jamii Forums imekuwa jukwaa muhimu la mijadala ya kijamii, kisiasa na kiuchumi, hivyo kufungiwa kwake ni changamoto kwa uhuru wa mawasiliano. Lakini umoja wa Watanzania na kiu ya ukweli ni nguvu isiyoweza kuzimwa kwa urahisi. Sauti ya wananchi daima itasikika.
 
Wanaume wakikamatwa wanaminywa makende je wanawake wanaminya nini
 
Back
Top Bottom