……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29.
Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa.
Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo.
Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini...