jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linawezekanaje? Mhusika ameogopa sana anahitaji msaada

  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawakusoma alama za nyakati wakati wa kuliandaa jambo lao

    Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Aliewahi kumuona Mwambukusi wa TLS akiwa frontline kwa jambo lolote lile anijuze, Tofauti na kule Facebook na X

    Kuna siku nilimuuliza akanipiha Block, Mwambukusi ana bweka tu kwenye socia media ila hutakaa umuone Mahakamani au kokote kule, Maraisi wemgine wa TLS walio tangulia tulikiwa tunawaona Mahakani pia, ila MWambukusi ni tofauti anaongea sana mnoa ila mulete kwemye vitendo. Wakili kama Kibatala ni...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanganyika nawaomba tujadili kwa undani hili jambo la maridhiano

    Tukijadili kwa kina na kwa mapana yake.. Pengine wahusika wanaweza kuamka usingini na kuelewa LAKINI kabla ya yote Polepole aliwahi kutuasa tusikubali MARIDHIANO YOYOTE baada ya uchaguzi mkuu wa 29 October 2025 Sasa wachambuzi wenye weledi na ufahamu mpana wanaweza kuja hapa na kutuchambulia...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwaheri 2025. Umetufundisha jambo moja kuu kuwa HAKI lazima ipiganiwe

    Kitabu cha Torati kinachosomwa na dini kuu 3 duniani yaani Uislamu, Ukristo na Uyahudi kina hadithi ya kusisimua sana kuhusu nabii mmoja wa kale aliyeitwa Mussa. Hadithi ya maisha ya Mussa inafundisha kuhusu jambo moja kuu nalo ni HAKI. Hii ni kwa sababu, Mungu alitaka kuwatoa waisrael...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uovu hustawi zaidi kwa msaada wa wale wanaoufanya uovu uonekane jambo la kawaida

    Nilipokuwa shule ya sekondari nikisoma historia ya Ulaya, hasa kuhusu ukatili uliotekelezwa chini ya Hitler na Mussolini, nilikuwa nadhani kwamba dunia—hasa Ujerumani—lazima ilikuwa imejaa watu wakatili na waovu. Sikuweza kuelewa jinsi uhalifu wa namna hiyo ungeweza kutokea bila kulaaniwa kwa...
  9. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania INEC fanyeni jambo Taifa stars tushinde AFCON dhidi ya Tunisia

    Leo saa 1:00 usiku tuna mechi ngumu dhidi ya Tunisia aliyetoka kufungwa na Nigeria, hii ndo game iliyoshika hatima yetu ya kufuzu 16 Bora Japo ushindi wa Leo unaweza kutufanikisha katika best losers iNEC kama wataalam wa kufanikisha ushindi ni hazina Kwa Taifa fanyeni jambo pale Morocco
  10. Pakome

    JamiiForums Tanzania Nyerere hakutaka jambo lolote aliloanzisha libadilishwe, Rais aliyetaka kubadilisha alijiingiza kwenye matatizo makubwa

    Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere hakutaka kuona yakibadilishwa Raisi yeyote yule aliyemfuata na akajaribu kubadilisha basi alijikuta...
  11. JOHNGERVAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu soma hiki kisa kidogo ujifunze jambo. Mnadhani huyu dada yuko sahihi?

    Nimeikuta huko mtandaoni mtu anaomba ushauri nimesoma nimeumizwa sana lakini imenifikirisha zaidi. Ni Me copy na kupaste nilitaka kuihariri nikaona naweza kupoteza maana hebu soma tu mwenyewe Jaman staki kuchamba naomba ushauri mimi nimechanganyikiwa na shida zangu hapa sielew kabisa...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika

    Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja. Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa mauji uliopelekwa ICC ungekuwa haujitoshelezi, wangeendelea kupitia ushahidi mpaka leo? Ni wazi kuna jambo wameona

    Mimi naamini ushahidi waliupokea mpaka sasa uneonyesha kukidhi viwango wanavyovitaka na ndio maana wako kimya wakiendelee kuupitia zaidi huo ushahidi. Kwa maneno mengine, wangeshaukataa huo ushahidi na kutangaza watuhumiwa hawana kesi ya kujibu au wangetoa kauli kuwa ushahidi zaidi unahitajika...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  15. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

    Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao. Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa. Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi...
  16. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila mara

    Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa Nimefuatilia historia ya CCM ya zaidi ya miaka thelathini iliyopita Niligundua jambo moja kubwa sana Tangu mfumo wa...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wagalatia Vs Serikali Nzima, Wavaa kobazi Vs Wagalatia. Wala tende kila jambo wanaligeuza la kidini

    Miongoni mwa mambo yanayoshangaza ni namna wala tende walivyogeuza jambo la mauaji ya wananchi siku ya maandamano kuwa ni vita dhidi ya wagalatia. Ukisikiliza hotuba za Wagalatia utagundua kuwa wao hawashambulii dini ya mtu, wanashambulia mambo yanayotendwa na serikali nzima, ambayo Mama...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nashangaa Tanzania intelligence inaruhusu maandamano ya raia, wakati ni jambo dogo TU likifanywa maandano yanayeyuka kama barafu!

    Kwani hao viongozi wa wahuni wapo wangapi Hadi Damu nyingi za watanzania ziendelee kumwagika!!? Viongozi wahuni wakuu hawafiki hata watano lakini namna ya kuwashinikiza inagaharimu uhai wa Tanzania maelfu kwanini!? Kwanini hao wachache msifanye jambo Moja TU na mioyo ya watz ipone na...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna kosa la Katiba ambalo Rais au kiongozi akimaliza muda wake anatakiwa kutokuwa Serikalini kabisa wala jambo lolote la Serikali

    Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali. Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na anafanya kazi kama Rais. Upande wa chama chao unaona kabisa kama ni mwenyekiti wa maamuzi...
Back
Top Bottom