jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Asante kwa kuwaleta WASUDANI. Changanya Mbegu ni jambo jema sana

    Nchi ikiwa na mchanganyiko hupendeza sana, ndio maana ukifika Marekani unakutana na kila MMEA WA BINADAMU, yaani unakutana na mtu anatisha balaa, mwingine wa kawaida, mwingine mzuri balaa, halafa anakuja tena mzuriii, ukisema umemaliza unashangaa unakutana na kitu hadi unajiuliza ni cha hapahapa...
  2. Watanzania wengi akili zao ni kama za watoto wadogo. Unapowaeleza jambo elezea kama unamueleza mtoto mdogo.

    Umewahi sikia kitu kinachoitwa The curse of knowledge(Laana ya maarifa)? Ni ile mtu anafikiri kuwa maarifa aliyonayo au mambo anayoyafahamuu basi kila mtu wa kawaida anayafahamu. Hii inapelekea watu wengi wenye maarifa na wasomi waonekane hawawezi kujieleza au kuongea kwa ufasaha, au...
  3. Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba: Kodi sio jambo la Rais, kodi sio jambo la Waziri wa Fedha, kodi sio jambo la TRA, kodi ni jambo la Nchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kuna baadhi ya Wanasiasa wanasema kodi zinatozwa nchini ni za Rais wa Tanzania...
  4. Fedha za mafunzo Askari Polisi zazua jambo, Msemaji wa Polisi atoa ufafanuzi

    Hali si shwari ndani ya Jeshi la Polisi, baada ya askari wenye cheo cha kuanzia konstebo hadi mkaguzi wanaohudhuria mafunzo ya utayari nchi nzima, kulalamikia kujigharimia mafunzo hayo, licha ya Serikali kueleza kuwa inatoa fedha kwa ajili hiyo. Vyanzo mbalimbali vimelidokeza gazeti hili kuwa...
  5. Tusemezane jambo wadau

    Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu. Kuna mwanaume tumpe jina Leki na mwanamke tumpe jina Siah. Leki alikutana na Siah mwaka 2019. Kipindi hiko, Siah alikua tayari ana mtoto mmoja wa miaka sita. Basi katika kuishi pamoja Siah akabeba...
  6. Rais Samia yupo sahihi. Ni Jambo gani nyie Wabongo mnaliweza?

    Ukiachana na wizi na ukosefu wa maadili ngono na Pombe je ni taasisi gani mmeweza kuiendesha ikaleta manufaa kwa taifa letu la Asali na masiwa? Huyu Mama kosa lake lipo kuwa chini ya chama chakavu lakini kichwani she a head of our time na tukiwatoa Mama zetu Mwanamke aliyebaki na akili ni huyu...
  7. T

    Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

    Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika. Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea. Pointe to remember Aug2023 Mabadiliko ya...
  8. J

    NHIF jambo hili liangaliwe

    Habari wakuu Ni matarajio yangu kuwa kwa kutumia jukwaa hili ujumbe utawafikia walengwa na hatua zitachukuliwa. Niko katika hospitali ya rufaa ya Bugando ambayo inahudumia wakazi wa mkoa ya Kigoma, Shinyanga, Mara, Mwanza na Kagera. Mgonjwa wangu anatibiwa kwa Bima ya NHIF tangu September...
  9. Utafanya nini ukikuta picha, video au jambo lako la aibu limevuja mtandaoni?

    Salaam ndugu zangu, Katika harakati zetu za maisha tunakutana na tunafanya mambo mengi sana. Kuna baadhi ya matukio tunayoyafanya tunatamani yajulikane na mengine tunatamani yabaki kuwa siri. Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa ni rahisi baadhi ya matukio yetu ya faragha kunaswa kwenye...
  10. Simba fainali hii ni jambo la Kitaifa, ila mnaonekana mmedhamiria kuharibu hii burudani

    Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria. Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani.
  11. Katiba mpya, Mbowe na Lissu ni wamoja? Wanazungumza lugha moja na kupaza sauti moja? Kwanini wanaonekana kama kila mtu na lake, kila mtu na lwake?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali la msingi, kisha majibu utayatoa wewe. Swali la leo la bandiko hili ni kuhusu hoja ya kuipambania katiba mpya: Je, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe na Makamo Mwenyekiti wake...
  12. Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

    Habari wanaJamiiForums. Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana...
  13. Msaada wa kisheria katika hili jambo

    Habari za muda wana JF. Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja. Jana watoto wa kakaangu walikuwa wanachunga ng'ombe huko kijijini kwetu.sasa kuna wanafunzi wawili wakawa wanarudi nyumbani kutoka shuleni. Wale watoto wa kaka wakaanza kuwafukuza.(umri wa wale watoto wa kaka ni miaka 12 na...
  14. Kanda ya ziwa, msichukulie kifo cha Magufuli kama jambo la ukanda

    Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa. Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela. Mpo mliotumia ukabila kupata tenda nono za ujenzi, MSD na nguzo za umeme nchi nzima Mpo mliotengeneza kikundi cha...
  15. K

    NEMC ingieni mtaani mfanye jambo, kuna watu binafsi wanapiga kelele kuliko hata huko kwenye kumbi za starehe

    Uchafuzi wa mazingira wa kelele ni moja ya kero kubwa ambazo zipo mitaani kiasi kwamba imeonekana kama ni sehemu ya maisha hasa ya wale wananchi wa kawaida mitaani. Nitoe histori kidogo, mtu anaposema kelele nina uzoefu wa kuwahi kupitia ker kama hiyo sitaisahau. Nilikuwa naishi mitaa ya Sinza...
  16. Tunaelekea msimu wa baridi; homa za mafua na kikohozi ni Jambo linalotarajiwa

    Kwema Wakuu! Poleni na Misiba na Kwa wale wanaofurahia niwape pongezi. Ndio Maisha hayo. Sio lazima Msiba wako uwe Msiba WA Watu wote, wengine kwao inaweza kuwa ni sherehe. Msimu tunaoelekea ni msimu wa baridi, masika ndio imemalizika hivyoo! Kikawaida baridi ni mwezi wa sita na wasaba lakini...
  17. N

    Naomba Msaada kwa mtu yeyote anayefanya kazi ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuna jambo nataka kuuliza!

    Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana Ahsanteni
  18. Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

    Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na baadae nikamvuta mke wangu na mtoto wetu wa kwanza wakafika canada na baada ya miaka miwili baadae...
  19. Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

    Nipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo. Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo au Radius. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam ukiacha njia hiyo, maana sisi wengine migongo yetu imekakamaa hatuwezi inama...
  20. Maswali ya Papo kwa Papo Kwa Waziri Mkuu, Waziri Mkuu Aulizwe Maswali, Ajibu Maswali na Kama ni Ufafanuzi wa Jambo Lolote, Waziri Mkuu Huru Kufafanua

    Wanabodi, Tangu Bunge la Bajeti lianze, Alhamisi ya leo ndio kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu anautumia muda wa kujibu maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu. Sasa kwanza wenye access kualia Bunge live, angalieni maswali ya leo kwa Waziri Mkuu, kisha nitawaeleza kitu Karibuni UTANGULIZI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…