jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    “Kuondoa hatari” katika mchakato wa maendeleo ndilo jambo ambalo dunia inapaswa kufanya

    Mkutano wa 14 wa Baraza la Uchumi la Majira ya Joto uliofanyika hivi karibuni mjini Tianjin, China, umerejea katika mtindo wa nje ya mtandao baada ya kusitishwa kwa miaka mitatu kutokana na janga la COVID-19, na hivyo kuzusha matarajio mazuri kutoka pande mbalimbali. Tofauti na Mkutano wa...
  2. L

    Kampuni ya Huawei yatumia teknolojia yake kusaidia nchi za Afrika katika kuhifadhi matumbawe na wanyamapori

    Uhifadhi wa mazingira ya baharini na nchi kavu ni jukumu ambalo binadamu wanapaswa kulitia maanani sana. Tunafahamu kuwa bila kuwa na mazingira mazuri wanyama na binadamu wote watakuwa hatarini. Katika kutimiza wito huo, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, Huawei, imekuwa katika harakati na...
  3. The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

    Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano. Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
  4. Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

    Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi? Kwa sababu...
  5. M

    Zanzibari kukataza wanaume kusuka sio jambo la kimaadili ila ni chanzo kipya cha uchumi

    Labda ningependa kuwatafakarisha watanzania wenzangu kwa jambo hili. Hivi tunaweza kutoza shilingi ngapi ili kuruhusu mtu kuzidisha mwendo kasi kwenye barabara za makazi ya watu? Au kumruhusu mtu kukata viungo vya albino? Au kufanya uwindaji haramu kwenye mbuga na bahari? Ninacho jaribu kusema...
  6. Jambo gani linakufanya usimsahau kamwe yule Fundi Nguo?

    Kuna mafundi nguo wazuri na wazinguzi. Kila mmoja huenda ana jambo lake linalomfanya kamwe asimsahau fundi nguo fulani labda kwa uzuri au ubaya. Share with us kilichojiri kwenye comments...
  7. Kukaa kimya ni hekima na kuepusha madhara yasiyo ya lazima! Kusakwa kwa wanaharakati ni kukuza jambo na kuongeza joto la upinzani wa mkataba

    Ikiendelea hivi kama ambavyo wao wanaona ni busara kuwasaka na kuwakamata wanaharakati na wanapigia kelele mkataba! Ni kukuza joto la upinzani na kuongeza kelele zaidi na hata kuchochea vitu vingine visivyotarajiwa! Ilikuwa sawa kabisa kwa serikali kupuuza hizi kelele huku wao wakijikita...
  8. Hii kali! Kuna jambo la kujifunza kutoka kwa hawa Wakenya hapa

    Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako. Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini. ☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya...
  9. Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

    Kuna siri nyuma ya pazia? Kuna watu wana jambo lao? Kama sio kwa nini Bible knowledge haipo? Kwa nini limekuja awamu ya 6? ===== Hii ni orodha ya masomo kwenye TAHASUSI za Tanzania Bara pamoja na Zanzibar, kwa Zanzibar wana masomo ya dini yanayoingia kwenye TAHASUSI tofauti na Tanzania Bara...
  10. Ukiwa safarini ni jambo gani huwa hupendi litokee katika safari yako?

    Mimi huwa sipendi kukaa na abiria anayesinzia na kunilalia begani. Wewe huwa hupendi jambo gani?
  11. Jambo la kujifunza kutoka kwa Marcus Aurelius

    Marcus Aurelius anasema kuwa kwenye maisha ya mafanikio hata siku moja usipuuze vitu vidodogo kwa sababu kama utakuwa mpuuziaji wa vitu hivyo vidogo basi sahau kabisa kuhusu kutimiza malengo yako. Hii ikiwa na maana ya kuwa Marcus Aurelius anatukumbusha kuwa kila wakati tunapaswa kuthamini kila...
  12. Jambo la kujifunza za kutoka kwa Keneth Branagh

    Keneth Branagh aliwahi kuwa hapa dunia hakuna kazi ya kufikiri, ukiweza kusema ngumu hii kwa ufasaha ni kwamba huenda maisha yako yakawa si magumu sana tofauti na vile unavyofikiria. Ili uweze kutumia kazi hii ya kufikiri kwa ufasaha unatakiwa usaidie unatuliza kichwa chako ili uweze kutumia...
  13. P

    Mambo matatu muhimu unapoamua kuanza na jambo kubwa kwa maombi

    1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu. Mwanzo 18:14 Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? 2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana...
  14. Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

    Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini hivyo. 1.) Haya majibu yanayotolewa na serikali kupitia Gerson Msigwa , Kassim Majaliwa na Hamza Johari...
  15. Hili nalo ni Jambo la kumnyima mtu Kweli?

    Nimeshangaa sana. Penzi ni kitu cha Kumnyima Mtu Kweli? Mpeane Mapenzi na Mfurahie. Inashangaza mtu anakuwa tu na roho mbaya, roho ya kichoyo na kibinafsi. Mtu kaja kakuomba penzi. MPE. si suala la kufanya liwe inshu, hasa tabia hizi wanazo sana Wanawake. Kwa wanaume ni nadra kumnyima...
  16. Una jambo gani la matumaini la kuwaambia watu waliokata tamaa kabisa?

    Naanza mimi hapa. Kwanza hakuna kuchelewa kwenye maisha. As long as bado uko hai hakuna kuchelewa ama kuwahi kwenye maisha. Jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote. Mimi nilimaliza form four nikiwa na miaka 22, nikamaliza form six nikiwa na miaka 25. Leo hii vijana wanamaliza chuo kikuu na...
  17. Je, Rais Samia anasalitiwa?

    Ukiifikiria vizuri kauli ya bwana Mbowe aliyoitamka eti HATA WATU WA USALAMA WA TAIFA NA VIONGOZI NDANI YA CCM wanamtaka alisemee hilo jambo la BANDARI ni wazi unang'amua pengine upo usaliti wa wazi ndaniye. Binafsi, kama mwana CCM na muumini wa falsafa ya ukweli na uwazi naona upo utata...
  18. Rais Hassan ana lake jambo la hila dhidi ya Tanganyika kuhusu hili la Bandari na mengineyo.

    Hello, Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu. Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu...
  19. Msaada tafadhali juu ya hili jambo

    Asalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…