jaji

  1. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu atoa angalizo kwa Mahakimu kutojihusisha na siasa na kuhusu makundi ya WhatsApp

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 20 na kuwapa angalizo kuhusu matumizi ya mitandao na marafiki wanaowazunguka Prof. Juma ametoa wito huo leo Jumamosi, tarehe 16 Julai 2022, akiwaapisha mahakimu wakazi wapya 20 Jijini Dar es Salaam. Amesema: “Ni wakati...
  2. JamiiForums Tanzania Jaji Dkt. Adam Mambi aheshimu ratiba na majukumu yake, tunaoteseka ni wenye mashauri kwake

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu mazito ya kulijenga taifa letu. Mimi kama mwananchi nina maoni au ushauri kuhusu Jaji Dkt. Adam Mambi wa Mahakama Kanda ya Kati DODOMA. Sina shaka hata chembe na utendaji wake nikili wazi tatizo lipo kupanga ratiba za kazi zake, mtu unasafiri kilomita 500...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Kenya ataka Kenyatta aondolewe madarakani kwa kukiuka Katiba

    Martha Koome ambaye ni Jaji Mkuu Nchini Kenya anataka Mahakama ya Rufaa ya Kenya kuangiza Rais Uhuru Kenyatta kuondolewa madarakani kwa kukiuka Katiba baada ya kukataa kuwateua majaji sita miongoni mwa 40 walioidhinishwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) miaka mitatu iliyopita Pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu anapaswa akemee matumizi mabaya ya Mhimili wa mahakama kukomoa wananchi wasiokuwa na hatia

    Kumekuwepo na kesi za kisiasa ambazo kimsingi hazina ushahidi wa kuthibitisha madai husika. Raia wamekua wakikaa mahabusu muda mrefu kwa kesi za kubumba kabisa. Ushahidi wa hayo ni kesi za sabaya ambazo zilifunguliwa kisiasa tu na imethibitika hivyo baada ya mahakama kuona katika kesi zote...
  5. JamiiForums Tanzania Rasimu ya Jaji Warioba ipelekwe kwenye kura ya maoni tupate katiba mpya

    Kwako Mhe Raisi Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba. Hakuna sababu ya kupoteza tena muda. Hakuna kikundi kingine chenye nguvu au mamlaka ya kubadilisha maoni ya wananchi. Pia hii...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Jaji Mkuu anatumia hii sehemu ambayo Rais ndo huwa anatumia wakati wa hotuba?

    Habari za leo ndugu, jamaa na marafiki. Leo nimewaza nimeona ni vema niwashirikishe na nyie.. hapo aliposimama Jaji Mkuu binafsi huwa namuonaga Rais wa nchi peke yake, hata Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na Katibu Mkuu kiongozi kwa upande wangu sijawahi kuwaona hapo (sijui...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji Jaji Mkuu mpya kutokana na yanayoendelea kwenye Mhimili wa Mahakama?

    Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima. Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na kuokoa huu Muhimili muhumu kwa taifa letu. Lakini ni wakati wa kuwa na Jaji Mkuu ambaye katokana na...
  8. JamiiForums Tanzania Ili kupunguza tetesi za rushwa, Jaji Mkuu na Mahakama iwaondoe au iwalipe vizuri wasaidizi wa Majaji

    Kiuhalisia, wasaidizi wa Majaji ndio huandika hukumu, mishahara yao midogo, na inabidi waendelee kuishi. Kuna tetesi kwamba wananchi wamefahamu kwamba hawa ndio huandika hukumu, zikiwemo za kesi za mauaji, na wanaishi mitaani na wananchi wa kawaida. Katika kuishi huko, basi Kuna tetesi kwamba...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jaji aliyetoa hukumu ya Sabaya tutapataje CV yake? Anasifika Kwa uadilifu ofisini kwake na machoni pa jamii?

    Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho...
  10. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Miaka yote watu wanaelewa kujaza fomu, lakini 2020 ghafla hawajui. Siasa inataka kuingia kwenye Dini

    Jaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna Msitazame Wajumbe wa Tume pekee, angalieni Mfumo mzima wa Uchaguzi. Wizi wa kura...
  11. JamiiForums Tanzania Hebu tuwekane sawa, ndio kusema Rasimu ya Jaji Warioba imezikwa?

    Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi kilichojaa wahuni na walafi? Hebu tuelimishane hapa wengine tunashindwa hata kuelewa kinachoendelea, maana...
  12. JamiiForums Tanzania Jaji Joachim Tiganga ameikosesha Mahakama point tatu muhimu dhidi ya Serikali

    Kitendo cha Jaji Joachim Tiganga aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake watatu kuamua kuwa wana kesi ya kujibu na baadaye serikali kupitia kwa DPP kusema hawana nia ya kuendelea na kesi kimeidhalilisha sana mahakama. Endapo Jaji Tiganga angemaliza kesi hii mara baada ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Jaji Tiganga inaweza kupatikana?

    Pamoja na Mhe Mbowe na wenzake Kia chi wa guru baada ya DPP kueleza nia ya kutoendelea na kesi, je ile hukumu ya Jaji Tiganga iliyowakuta ya washtakiwa wana kesi ya kujibu inaweza kupatikana? Tunataka tuichambue hukumu hiyo kwenye vijiwe vyetu, kwenye vyama vya kitaaluma ya sheria, kwenye law...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden amteua Jaji mwanamke mweusi katika Mahakama ya Juu

    Rais wa Marekani, Joe Biden mnamo amemteua Jaji wa Shirikisho Ketanji Brown Jackson kuwa Jaji katika Mahakama Mkuu ya Marekani ambapo atakuwa mwanamke wa kwanza mweusi kujiunga katika mahakama hiyo. Iwapo ataidhinishwa na Bunge la Seneti, mwanasheria huyu mahiri mwenye umri wa miaka 51 atakuwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kumsujudia Jaji au Hakimu Mahakamani ni kumchukiza Mwenyenzi MUNGU; hakuna sheria inayolazimisha kusujudu

    Mahakamani pamekuwa kama kwenye nyumba za Ibada; watu wakifika mahakamani lazima wasujudu Sijui huu utamaduni wa kimiungu ulitokana na Nani. Mahakimu na Majaji siyo watu wa kuabudiwa ni Watumishi wa Umma. Mahakama siyo nyumba ya ibada NDIYO maana kila mtu uapa Kwa Imani yake. Mfano kwa Wakristo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

    Naona watu wengi mitandaoni wanajadili namna majaji wanavyopatikana. Watu wanahoji 1. Jaji anapatikana Kwa kupanda vyeo serikalini? 2. Wanapatikana Kwa UMAHIRI? 3. Wanatokana na perminmance nzuri kwenye private sector? 4. Wanatoakana na ukubwa wa GPA? 5. Wanatokana na mahusiano Yao na wanasiasa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Rais wa Zanzibar, IGP na Mzee Boazi watakubali kufika mahakamani kutoa ushahidi au Jaji atakataa wasiletwe Mahakamani?

    Kwa Hali ya ushahidi ulivyotolewa na Jamhuri watu wafuatao wataitwa na upande wa utetezi kwenda kutoa ushahidi. Lengo la kuwaita watu hao nikutaka kuionyesha Dunia uhusika wao au mtizamo wa juu ya kile kinachoendelea mahakamani. Mashahidi hao ni Hawa wafuatao 1. Mhe. Rais wa JMT, huyu upo...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Alichokitaja Jaji ni Kifungu cha Kufuta Kesi, Mawakili walitaja Kifungu cha Kujibu kama kuna kesi ya kujibu au la!

    Kile Kifungu alichokitaja Jaji katika Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na yanayofanana na hayo kinatamka kuwa: "40. Dismissal of charge At any stage of the proceedings the Court may, if satisfied that the accused person has no case to answer, dismiss the charge and acquit the accused person"...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…