Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
Kupitia mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika kuwa
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Arusha (A.R. NDOSSY-SRM) AMEKATAA kutoa HATI YA WITO (Summons) Kwa WASHITAKIWA hapo , KINYUME kabisa cha vifungu 128(2), (4), (5) , 100(2) na 130 vya CPA. Awali MALALAMIKO hayo yalipokelewa kwa...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika
HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023
Pia soma > Peter Madeleka agonga mwamba. Mahakama...
Wakili Mpole Mpoki aliyefutiwa uwakili kwa miezi sita, anakusudia kufungua kesi nane ikiwemo ya kikatiba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kupinga kusimamishwa kufanya kazi hiyo.
Mpoki amesimamishwa uwakili Novemba 20, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya...
Mbombo ngafu, Kwanini awafuate CCM? Sio TLP au Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu, au wakuu wa mikoa?
Humphrey Polepole Machi 6 2021, aliwahi kusema kuwa Jaji Ntemi aliwatafuta CCM akafungua milango kama kuna mawakili wanawasumbua watanzania basi wao(CCM) wapokee taarifa za Mawakili hao na...
Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele wakati akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi kuhusu majaribio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura leo tarehe 17 Novemba, 2023 jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya viongozi wa Dini walioshiriki mkutano huo...
Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.
Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.
Tunaomba Mahakama immulike...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma
Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Tarehe 29 Septemba 2023, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mbeya, Paul Ntumo, alimhukumu kifungo cha miaka mitatu na nusu, Mchungaji Mbarikiwa Dickson Mwakipesile (39), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya...
Tafiti mbalimbali za Kimataifa zinaonesha Mahakama ni moja ya Taasisi zinazoongoza kwa vitendo vya Rushwa katika nchi za Afrika na Amerika ya Kusini.
Ingawa dhana hii inaweza kubadilika, haipaswi kupuuzwa kwani Rushwa Mahakamani hupelekea kukosekana kwa Haki na hivyo kuharibu Imani ya Umma...
22 September 2023
Masijala ya Mahakama Kuu
Dar es Salaam
Kesi namba 7 ya 2023 ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo imetolewa hukumu yake .
Humphrey Simon Malenga alifungua kesi, ili Mahakama Kuu itafsiri kama rais alivunja katiba au la kwa muuongezea muda wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba, 2023
https://www.youtube.com/live/UkbF5Mxsv7s?si=-fZrc0yrA0ppwyvs
===
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi...
Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki
Alhamisi, Agosti 24, 2023
Jaji Omar Othman Makungu wa Mahakama ya Afrika Mashariki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa EAC baada ya hafla ya kuapishwa...
Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023...
Watu wamekuwa very hysterical kuhusu hili suala la Bandari: wanasema nchi itaangamia, nchi itakufa. Lakini leo Jaji anakwenda kuwaondoa watu wasiwasi.
Tuna imani na Samia. Twende na Samia katika hili. Rais huyu ana nia njema.
Binadamu anatakiwa kuwa na imani; na siyo kuogopa kila jani kavu...
Mchoro wa karne ya 16 unaoonyesha kuchunwa ngozi akiwa hai kwa hakimu fisadi, Sisamnes, katika mwaka wa 500BC.
Sisamnes alikuwa hakimu wa kifalme fisadi wakati wa Cambyses ll katika taifa la Uajemi. Iligundulika kuwa alichukua hongo/rushwa mahakamani na akatoa hukumu isiyo ya haki. Kwa sababu...
Duru za kweli zinatabanaisha aliyekuwa boss wa Mamlaka ya BANDARI alifutwa kazi kwa sababu zilizodaiwa kutoonyesha ushirikiano na wawekezaji kule Dubai alipokuwa ameambatana na ujumbe wa Rais.
Jamaa walidai hawaonyeshwi ushirikiano wa haja na boss wa TPA kwa waziri na hazikupita siku mbili...
Kesi hiyo ya kikatiba imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea, Humphrey S. Malenga katika Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tangu Rais Samia amuongeze muda Prof. Ibrahim Juma
Profesa Juma, ambaye alizaliwa Juni 15, 1958, amekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tangu Septemba 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.