itv

ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.

Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

    Rais Magufuli yupo sherehe za kuzindua ujenzi wa 51.2 km za barabara ya mji wa kiserikali wa Mtumba, mkoani Dodoma Barabara hiyo itakuwa na km 11.2 za njia nne, zenye upana wa mita 7 kila upande Katika sherehe hizo pia kutakuwa na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa Mtumba, katika...
  2. JamiiForums Tanzania Reporter wa ITV unaemkubali... utuambie una report kutoka wapi..

    Nki report kutoka uganda, John ojambo ITV kampala...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa mkoa wa Dar, Alhad Salum awachachamalia ITV kwa kutoweka vitakasa mikono na maji mlangoni

    Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni? Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa. Mtangazaji Kivuyo alisema...
  4. JamiiForums Tanzania ITV Mnakimbizwa na nani?

    Unakuta taarifa zenu mnaripua ripua tu. Kwani ni lazima kutoa taarifa nyingi? Hamuwezi kuchuja? Taarifa ndogondogo mnaziandalia kipindi chake. .. Habari zenu mpo juu juu yani mtasema mnakimbizwa. . . Hebu badilikeni mmekaa kishamba kama TBC studio ni ile ile kila siku. . Sijui huo...
  5. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

    Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo. Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Live ITV: Rais Magufuli anafungua Hotel ya Verde Azam Luxury Resort & SPA mtoni jijini Zanzibar inayomilikiwa na S S Bakhresa

    Ni tukio kubwa na la kihistoria kwani hii ni hoteli ya kipekee kabisa nchini Tanzania, Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara. Karibuni!
  7. JamiiForums Tanzania Nilivutiwa sana na mjadala wa Kisheria kwenye Kipimajoto ITV Ijumaa iliyopita

    Mjadala ulikuwa kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli (TASAC) na Mawakala kutoka sekta binafsi. Kitu kilichonivutia kwenye mjadala huu ni baada ya mawakala kutoka sekta binafsi kutoa malalamiko yao kuwa TASAC ameamua kuwa wakala lakini akaweka sheria kuwa yeye hatakuwa na LIABILITY kutoka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
  9. JamiiForums Tanzania ITV, hongera kutuletea mubashara za matukio ya kitaifa, ila mtutendee haki watazamaji wenu waraibu wa Isidingo, irudieni, anzisheni PVR zenu kama DSTV

    Wanabodi, Ukiwa ni mfuatiliaji wa series fulani kwenye TV fulani au tamthilia mbalimbali, Series hizo na tamthilia hizo zina urahibu fulani, hivyo wakati wa tamthilia hiyo ukifika, wapenzi wa tamthilia hizo, huacha kila kitu ili kufuatilia tamthilia hizo. Sasa kunapotokea matukio ya kitaifa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Dakika 45 ITV kunani?

    Hello wakuu, nimekuwa ni mfuatiliaji wa hiki kipindi mara nipatapo nafasi. Kimekuwa kinahoji watu wa kada mbalimbali mfano Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu nk. Shida ni kuwa kipindi hakina ladha kabisa wala mshawasha wowote wale ndugu zetu wa habari kuna kosa gani la kiufundi pale? Yaani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania ITV angalieni maadili kwenye kipindi cha watoto

    Vyombo vya habari vina nguvu sana katika jamii. Vinaweza kuelimisha na kupotosha. Kwa msingi huu, vyombo vya habari vinatakiwa kuwa makini pale wanapoelimisha jamii. Hapa nilipo naangalia kipindi cha watoto cha ITV. Katika eneo la watoto kujifunza mafumbo, kuna mtoto ametoa fumbo "Mama yake...
  12. JamiiForums Tanzania ITV mnachotufanyia kwenye Isidingo is not fair at all. Msitufanye tuanze kumkumbuka Mzee Reginald Mengi this soon!

    Wanabodi, Mimi ni mshabiki wa tamthilia za ITV Tangu imeanzishwa, walianza na "Egoli" Place of Gold, ndipo wakaja na "Isidingo" The Needy. Kitu ambacho ITV imejijengea heshima kubwa, ni ile concistance yake, Isidingo ni saa 1:30 usiku. Kwa vile naipenda sana tamthilia ya Isidingo and I can't...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi anitafute

    Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…