israel

  1. Mnaosubiri miujiza mlosoma kwenye vitabu kuweni makini hasa mnaoungaunga dots

    Mambo mengine ni ya kwetu kabisa wala sio miujiza. Maana kikanuni Mungu hapendi kuingilia mambo binafsi ya watu na kuyaendesha kwa mkono wa chuma. Tunajiamulia wenyewe. Sasa wewe endelea kusubiri au kuamini katika miujiza utakoma. Au utakomeshwa. Mnasikia saivi kuna vita kati ya Israel na...
  2. Napata shaka na historia ya Israel ndani ya Palestina

    Wanajamvi! Ujue katika biology kuna topic form 3 nakumbuka inaitwa classification unapoichukua hii topic na kuapply kwenye nchi ya Palestina na Israel unagundua hawa jamaa wa Israel wamepandikizwa katika nchi za kiarabu kuleta chokochoko na hata tukisema wayahud ni Israel hawafanani kabisa kwa...
  3. Israel yaogopa wagonjwa na maskini

    Kitendo cha jeshi la Israel kupiga magari ya wagonjwa na kambi za wakimbizi wanakoishi mafukara kumewashangaza mpaka viongozi wa UN na US. Msafara wa magari ya wagonjwa na waliojeruhiwa vibaya uliokuwa ukiondoka hospitali kuu ya Alshifa umepigwa na makombora mazito kutoka angani na kusababisha...
  4. Sayari ziliwahi kuwa Tisa; zimebaki 8. Kiroho vita inayoendelea Israel ina uhusiano na upungufu huu

    Sources: https://www.youtube.com/watch?v=a4aboTbQZ5Y&pp=ygUSbWNodW5nYWppIG1hZ2hlbWJl https://www.space.com/pluto-atmosphere-may-be-disappearing Pluto's atmosphere is starting to disappear, scientists find By Chelsea Gohd published October 08, 2021 A new study shows how Pluto's atmosphere...
  5. Israel si taifa la Mungu, Palestina taifa teule?

    Miaka 2000 ya kuwa kwenye diaspora Israel hawakupoteza identity yao, lugha yao wala dini yao. Warumi chini ya Kaisari Nero wali besiege Jerusalem na kuwatawanya kwenye dola yao maana walikuwa wakaidi hawakukubali kuabudu miungu mingi ya kirumi walikuwa jamii pekee iliyoamini katika Monotheistic...
  6. The true purposes of the State Terrorism of Israel against the Gaza Strip people

    November 1,2023 Given that in the times we live in, it is extremely difficult, not to say impossible, in terms of information, to establish the absolute truth about who committed a terrorist act, especially when this act, due to its weight and impact on the media, who can be worldwide blamed...
  7. Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

    Wanaukumbi. Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany. Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.
  8. Jordan yamwita balozi wake wa Tel Aviv na Saudia, walaani vikali mashambulizi ya Jabaliya

    Hali mbaya waliyonayo wapalestina wa maeneo yote hakukuwa na haja ya matumizi ya diplomasia na ahadi za mazungumzo.Ilikuwa ni kuchukua maamuzi sambamba na ukatili unaofanywa na serikali ya Israel kwa wapalestina wanyonge. Kinyume chake seikali ya mfalme Abdallah wa Jordan imemuita nyumbani...
  9. Kundi jingine la Houthi laishambulia Israel kutokea Yemen

    Waasi wa kundi la Houthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen walitoa video ya kile walichokisema kuwa ni kurusha makombora ya balestiki katika Israel. Msemaji wa jeshi la Houthi Brigedia Yahya Saree, alidai kurusha makombora ya balestiki na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israel, akisema hiyo...
  10. K

    Tazama jinsi HAMAS inavyotumia mahandaki kushambulia wanajeshi wa Israel huko Gaza

    Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na drones. Israel imekua ikipata tabu na kutumia gharama kubwa kupambana na HAMAS kiasi cha kwamba...
  11. Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

    Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza. Hii ni unit nzima ya wanajeshi wa Israel waliouliwa wote na Kombora la Hamas hii imewafanya hadi...
  12. K

    Ipi ni historia ya kweli kuhusu Israel na wayahudi wa leo?

    Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima. Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
  13. Askari wa Israel wazidi kupukutika. Watu wa Gaza washangaa kifaru kupigwa na bunduki za RPG

    Jeshi la Israel limekiri kupoteza askari wake 15 katika masaa 24 yaliyopita.Idadi halisi ya waliokufa huenda ni zaidi ya wale 67 waliotangazwa na Hamas hapo jana. Katika taarifa za leo vikosi vya Hamas vimesema mapambano makali ya ardhini yanaendelea katika viunga vya mji wa Gaza na kwamba...
  14. Nyie wa kujiita kizazi cha Ismael si mlipewa maeneo yenu binafsi sasa mnahangaika nini na Israel

    Agano la Mungu ilikuwa ni kiumbe kitakachotoka kwenye viuno vya Ibrahimu na Sarah. Ndio maana Ismael aliezaliwa na Ibrahimu na kijakazi wao hakupewa heshima ya agano la nchi ya ahadi ila Ismael alipewa baraka zake binafsi. Ismael na mama yake waliamrishwa kwenda maeneo ya mbali na sio kukaa...
  15. M

    UN: Ghaza imegeuka eneo la makaburi ya watoto kufuatia hujuma ya Israel

    Nov 01, 2023 12:18 UTC Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto milioni moja wakikabilwa na uhaba wa mahitaij muhimu na maisha yao ya baadaye yakiwa mashakani...
  16. Israel: Raia 120,000 watuma maombi ya kumiliki silaha

    Hii vita haishi leo wala kesho sisi Waswahili tuendelee na kilimo mvua zimeshaanza. ===== Tangu shambulio la Oktoba 7, ambapo zaidi ya watu 1,400 waliuawa na wanamgambo wa Hamas, zaidi ya maombi 120,000 mapya ya leseni ya silaha yamewasilishwa na raia wa Israel. Harakati za kupata bunduki...
  17. Azimio No. 181 la Umoja wa Mataifa lilitengeneza matokeo ya leo kati Palestina na Israel.

    Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina ya Uingereza na kutoa nchi mbili yaani ya Wayahudi na Waarabu ndiyo ilikuja kutengeneza tatizo zaidi...
  18. K

    Kikundi cha kijeshi cha Houthi cha Yemen kimetangaza Vita dhidi ya Israel na kufanya mashambulizi

    Kikundi cha Houthi kutokea Yemen kimetangaza vita rasmi na Israel katika kuiunga mkono na kimefanya mashambulizi ya makombora ya masafa marefu na kurusha drones za mashambulizi kuelekea Israel kutokea Yemen. Kikundi hiki kinashikilia maeneo kadhaa ya nchi ya Yemen na kimekua kwenye mapigano pia...
  19. Israel yataja wanajeshi 11 zaidi waliouawa siku ya Jumanne

    Wanakumbi. Jeshi la Israel limetoa orodha yake ya wanajeshi ambao wamefariki katika vita vinavyoendelea na Hamas. Idadi hiyo ya vifo sasa imefikia 326, wakiwemo wanajeshi 11 waliofariki huko Gaza siku ya Jumanne.Wanajeshi hao wote walikuwa na umri wa kati ya miaka 19 na 20. Jeshi la Ulinzi la...
  20. Kupigwa kwa kambi ya Jabaliya. Watoto wanabeba maiti za wenzao

    Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948. Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…