israel

  1. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel imebidi liondoke kwa mara nyengine kutoka hospitali ya Alshifa baada ya hasara kubwa

    Hospitali ya Alshifa ndiyo iliyokuwa hospitali kubwa na ya rufaa kwa jimbo zima la Gaza ambalo wakati huo pamoja na mzingiro jimbo hilo lilikuwa na hospitali nyingi za kisasa zenye madaktari bingwa. Mnamo mwezi Novemba mwaka jana hospitali hiyo ilikuwa ni uwanja mkubwa wa kivita ambapo jeshi la...
  2. JamiiForums Tanzania Russia imeiambia Israel iondoke Golan kabla hawaingia vitani kuwafurusha

    🇷🇺🇸🇾 Russia tells Israel the Golan Heights belong to Syria. Russian Armed Forces intensify operations in Syria, striking ISIS and expelling Israel from the Golan Heights.
  3. JamiiForums Tanzania Papa Francis asema wanachokifanya Israel ni ugaidi

    My take: 1. Kwa sasa najikita katika haki za binadamu tu, as long as mtu hamdhuru mtu mwengine, kesi yake namuachia mwenyewe na Mungu. 2. Watu weupe hasa wa magharibi wana utu sana na wanajitahidi kutumia logic, hisia za dini haziwapeleshi. 4. Waafrika wengi wanaroho mbaya sana na...
  4. JamiiForums Tanzania Urusi yalaani shambulio la Israel huko Syria

    Mtifuano unaendelea huko Mashariki ya kati baada Russia kupeleka meli za kivita huko Red sea na Russia kuanza Kushambulia magaidi wa ISIS [IS Israel] huko Golan. Biden akatangaza kuipatia Israel ndege za F35 na Silaha zingine hapo kitaalamu ni Ligi ya Russia na Israel inaanza...wakati huo huo...
  5. JamiiForums Tanzania Israel yamuua kamanda wa kikosi cha maroketi wa Hezbollah

    Israel imefanya shambulizi nchini Lebanon lililomuua kamanda wa kikosi cha maroketi wa Hezbollah. Israel imesema kuanzia sasa haitafanya mashambulizi ya kujilinda tu bali itafanya mashambulizi mengi kwa kuwafuata viongozi na wanachama wa Hezbollah popote pale watakapokua.
  6. JamiiForums Tanzania Urusi yaambulia kulalamika tu kuhusu kipigo kilichofanywa na Israel pale Syria

    Kuna watu wamekua wakiona Urusi kama mkombozi wao dhidi ya Israel na Marekani, haya sasa Israel imejipigia pale Syria na hiyo Urusi haikufanya kitu zaidi ya kulia lia...... Russia has condemned what it said were "completely unacceptable" Israeli strikes on Syria. Israel carried out its...
  7. JamiiForums Tanzania Israel yafanya mashambulizi makubwa Syria, wanajeshi wa Iran miongoni mwa waliouawa

    Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran. Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk. Al Jazeera
  8. JamiiForums Tanzania Mtaalam wa vilipuzi wa Hezbollah auliwa na Israel

    An Israeli drone strike on a vehicle on the outskirts of Tyre in southern Lebanon on Friday killed a senior Hezbollah official, according to Israeli and Arab media. The IDF later confirmed the death of Ali Naeem in the strike. The IDF said Naeem, a senior Hezbollah official, served as the...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Gaidi la Jihad lalaumu shetani kwa kulifanya livamie Israel na kubaka mwanamke kwa dakika moja

    Hili gaidi la kiislamu limeamua kufunguka yote baada ya kukamatwa.... Pressed how long the rape lasted, Islamic Jihad terrorist Manar Mahmoud Muhammad Qasem said around 60-90 seconds. The IDF on Thursday put out a video of a Unit 504 interrogation of an Islamic Jihad terrorist named Manar...
  11. JamiiForums Tanzania Israel maji ya shingo yakiri bila msaada wa Marekani haiwezi kushinda vita dhidi ya Hamas

    Israel may not be able to destroy Hamas despite five months of intense fighting in Gaza, intelligence officials have admitted. The main objective of the Gaza invasion faces failure as international support turns against Israel, sources warned. Israel believes it has dismantled Hamas’s main...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa jeshi la Iran wauawa kwenye shambulizi la Israel kule Syria

    Hakuna kupumzika, kote mnapigwa.... Urusi walijifanya shobo na nyie watu, wakapokea kibano, huyu Iran wenu mnayemtegemea, naye hasazwi..... A series of airstrikes targeted sites belonging to Iran's Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) in the Deir Ezzor region of eastern Syria on Monday...
  13. JamiiForums Tanzania Trump calls on Israel to end war ~ says antisemitism is caused by Israeli behaviour

    In Trump's first interview dedicated to the Gaza war, Trump called on Israel to "finish up" the war in Gaza because it is "losing a lot of the world" When asked how he would deal with the "wave of antisemitism" since the start of the war, Trump seemed to blame Israel's own behaviour: "Well...
  14. JamiiForums Tanzania Israel announces it's ending all Relations with United Nations Relief and Works Agency (UNRWA)

    United Nations Relief and Works Agency for Palestine Refugees (UNRWA) Commissioner-General Philippe Lazzarini looks on as he speaks to the media, amid the conflict between Israel and the Palestinian Islamist group Hamas, in Cairo, Egypt, March 18, 2024. REUTERS/Mohamed Abd El Ghany/File Photo...
  15. JamiiForums Tanzania Israel yatoa vitisho kwa Marekani kama haitatumia kura yake ya veto kupinga azimio kwenye UNSC

    Siku za Benjamin Netanyahu, mbabe wa Israel zinaelekea ukingoni kutokana na kushindwa kufikia malengo ya vita vya Gaza na kutaka kuikokota hata Marekani kwenye matakwa yake. Azimio jipya linatarajiwa kupigiwa kura leo kwenye baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambapo baada ya marekebisho ya...
  16. JamiiForums Tanzania Bandari anayojenga Marekani Gaza si ya misaada, bali ni bandari ya kifo cha Palestina pamoja na maslahi ya Marekani na ulinzi wa Israel

    Wanaharakati wanaopigania haki za wapalestina wametoa uchambuzi ukifafanua juu ya uharamu wa bandari inayoendelea kujengwa na Marekani eneo la Gaza kwa kisingizio cha kupeleka misaada. Mshangano wa mwanzo wa wanaharakati hao ni kuwa Marekani imepeleka malori na mashine nzito za ujenzi zipatazo...
  17. JamiiForums Tanzania Israel yalegeza masharti kuwezesha kupatikana mateka wake 40 kati ya wale wanaoendelea kushikiliwa na vikundi vya wapiganaji Gaza

    Matumaini ya kupatikana nafuu kwa wapalestina karibia milioni 2 na nusu wanaoangamia kwa vita na njaa yameanza kupatikana. Katika mazungumzo ya kusitisha vita baina ya Israel na Hamas kila upande umelegeza masharti yake ili kufikiwa kwa lengo hilo. Kwa mujibu wa taarifa zinazovuja kutoka kikao...
  18. JamiiForums Tanzania Israel inatafakari ombi la HAMAS kwamba viongozi waihame Gaza na wasiuawe watakakokwenda

    Mojawapo wa maombi ya HAMAS kwenye mazungumzo ya amani ni kwamba viongozi wake wataihama Gaza na wasiuawe popote watakapokwenda, wahakikishiwe uhai wao. Hilo ombi ni ngumu kutekelezeka maana Myahudi ukimwaga damu yake subiri lazima alipe, wao hutumia sheria za Musa, yaani jicho kwa jicho, kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Waislam wanapofunga, wanafanya kile ambacho biblia imesema na hakifanywi na wafungaji wa kikristo

    Waislam wakifunga hata usiyemuislam utafaidi. Sio wachoyo, Sio wabaguzi kwenye futari. Nimewahi kupanga nyumba moja na waislam ikifika mfungo sisi wakristo tulikuwa tunafaidi sana. Kikipikwa chakula cha kufuturu na sisi tumo kwenye bajeti hata kama wanajua hatujafunga. Wakristo tukifunga, mara...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti:Saud Arabia na Falme Za Kiarabu Zachochea Vita Ya Israel Kujilinda Dhidi Ya Magaidi Wa Hamas

    My take :Waarabu pia wamechoshwa na ugaidi wa Hamas. .... https://www.middleeastmonitor.com/20240321-saudi-uae-among-states-fuelling-israels-offensive-on-gaza-report-finds/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…