israel

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

    Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine. Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua inachokifanya na huyo kubwa gaidi lenu Iran amekua makini sana kutonasa kwenye huo mtego...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yakusanya wanajeshi kwa ajili ya kuingia Rafah

    Defense Minister Yoav Gallant said on Sunday that the IDF withdrew from Khan Yunis after Hamas ceased to function in the area, adding that the troops left in preparation for a coming Rafah operation. While speaking at the IDF's Southern Command base, he stated, "The withdrawal of the troops...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani

    Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah. Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watu 2 wapigwa risasi Israel ndani ya mgahawa

    Wanaukumbi. WATU 2 WALIPIGA RISASI ISRAEL NDANI YA MGAHAWA Kick Streamer JohnnySomali Alieleza kuwa alishuhudia tukio la kupigwa risasi katika Mkahawa Huko Israel "Mtu alikuja tu kwenye mgahawa na kuanza kumpiga risasi kila mtu. Nilikuwa tu katika shambulio katika mkahawa mmoja huko Jaffa...
  5. bahati93

    JamiiForums Tanzania Tokea dunia iundwe punda wameongea kwa ajili ya Israel

    Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao. Kisa cha kwanza punda kuongea. Baalam wakati wana wa Israel wametoka Utumwani misri wanaelekea taifani mwao waliweka kambi pembezoni mwa mto jordan eneo la...
  6. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Iran wanaogopa kulipa kisasi, Ayatollah itabidi aishi kwenye Mahandaki kama Sin-war na Nasrallah

    Serikali ya Iran ipo kwenye khofu endapo watajaribu kulipiza kisasi dhidi ya Israel baada ya kauli ya kibabe ya Netanyahu. vita inaweza kuwa kubwa na Tatizo la Israel huwalenga kwanza Viongozi na Iran haipo tayari kabisa kumpoteza Ayyatollah au aishi kwenye mapango na mahandaki kama mwenzake wa...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi watoa picha kuonesha Israel imeshindwa vita

    Baadhi ya nukta walizotoa wachambuzi hao ni kuwa wakati Israel inadai imewaua Hamas wengi sana lakini viongozi wakuu wa kundi hilo ama wako nje au wako chini ya mahandaki na hawajawapata. Pia Israel imeshatangaza mara kadhaa kuwa imeyadhibiti maeneo ya kaskazini na kati ya Gaza,lakini bado kila...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa bomu la gari wadaiwa kutokea nchini Israel

    Wanaukumbi. MLIPUKO KATIKA ISRAEL Ripoti zinaibuka kuhusu mlipuko wa bomu lililotegwa kwenye gari kwenye makutano ya Dove Haz katika makazi ya Bat Yam. Maelezo bado yanaendelea, na hali inaendelea. Watu wana test mitambo...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Huo ulikuwa mwanzo tu, Israel imedhihirisha itapiga popote na yeyote

    Iran na magaidi wote wa kiislamu wana cha kujifunza, kwamba Israel imeamua hamna tena mambo ya kubembelezana, itawinda na kupiga yeyote anayetumika kigaidi gaidi dhidi yake hata awe nani, na watampiga popote siku yoyote na watakua tayari kwa lolote.... The targeted assassination this week in...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran. Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran. Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria. Pia kauli ya kuanza na Jerusalem kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel yafunga kwa muda balozi zake katika nchi 28 kufuatia maandamano ya Siku ya Quds

    Wanaukumbi. ISRAEL ON HIGH ALERT - YAFUNGA MABALOZI 28 Kujibu vitisho vilivyoongezeka kutoka kwa Iran baada ya IDF kuwaua maafisa wakuu nchini Syria, balozi 28 za Israel na balozi ndogo duniani zimeripotiwa kufungwa kwa muda - zikiwemo Azerbaijan, Bahrain, Misri, Jordan, Morocco, na...
  12. 100 others

    JamiiForums Tanzania Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

    Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east. Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kufunga Balozi zake kama tahadhari ya kushambuliwa na Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Hali siyo nzuri huko madhariki ya kati Israel imeanza chukua hatua za tahadhari kwa kufunga ofisi zake za ubalozi kwenye nchi mbalimbali duniani zake ikihofia mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran. Hatua hizi zinafuatia shambulizi lililofanywa kwenye makazi ya balozi...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

    Israel iko tayari kumaliza huu ugomvi wa muda mrefu, ifahamike moja kuwa nani mbabe ukanda huo, nani anayemuabudu Mungu wa kweli, hamna haja ya mikwara oohh masaa 48, yaani fanyeni kweli, mlipigwa tena kwenye unalozi. IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari in a press statement says Israel is...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mabilionea wa Israel yaongezeka na kufikia 42

    Kupanda kwa idadi ya Waisraeli walioangaziwa kwenye orodha ya Forbes kumechangiwa zaidi na kuendelea kukua kwa tasnia ya teknolojia ya hali ya juu ya Israeli. Waisraeli 42 waliovunja rekodi walijumuishwa katika orodha ya Forbes Mabilionea Duniani kwa mwaka 2024, iliyochapishwa mapema wiki hii...
  16. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Balozi zote za Israel duniani kote haziko salama tena kuanzia sasa, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran. Mapigo yatakua nje na ndani

    Third World War Info -Balozi za Israel duniani kote haziko salama tena, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran Khamenei. -Licha ya Iran kuendelea kupanga namna itavyoshambulia na kuimaliza Israel, Iran imeongeza tena mipango yake yaapa kulipiza kisasi kushambulia balozi zote za...
  17. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Israel wanaishi kwa mashaka kuogopa kwa kipigo toka Iran

    Israel imeamua ku jamming GPS kuogopa kipigo toka Irani cha Missile na Drone za mauaji. Wamesahau kua Irani anatumia GLONAS ya Mrusi ambayo inapenya popote Wakati huohuo Magaidi wa Kizayuni wamefungua mahandaki na kuingiza familia zao zisije kuchakazwa.... ⚡️BREAKING Israel has jammed GPS at...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ayatullah Khamenei: Israel itazabwa kibao usoni

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utazabwa kibao usoni kutokana na shambulio lake dhidi ya majengo ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, mapema wiki hii. Katika hotuba yake kwa maafisa wa utawala wa Iran na matawi...
  19. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

    Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati. Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui...
  20. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel. Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya...
Back
Top Bottom