Imani na historia potofu ilijengwa na wanazuoni wa Kiislamu juu ya Israel na Yerusalem chanzo cha vita ya sasa na baadaye

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885

View: https://youtu.be/4s9CaV03Uxs?si=TJFYLpOXfSocb_2W

Ukisikiliza mafundisho ya huyu msomi mwanazuoni wa kislamu utapata ukweli na uongo juu ya taifa la Israel na ,Yerusalem ,ukristo na uislam.chanzo kikuu Cha vita ya Sasa na ya baadaye.

Mfano wa uongo ni :Tangia lini Musa na wafuasi wake wakawa waislamu?

Kumbe ni vita Kati ya kweli na uongo,ni vita vya Imani!! Mwamuzi lazima awe Mungu!!


Kama Musa na wafuasi wake walikuwa waislamu , Historia inatuambia Mwasisi wa DINI ( Imani) yq kiislam ) ni Nabii Mohamed ,swali ni je kwa nini Nabii Mohamed hakuzaliwa kwenye ukoo wa Ibrahim,Musa ,Yoshua ,Nk tofauli na Nabii Issa bin Mariam ( Yesu kristo) ambaye alozizaliwa kutoka uko wa Daudi ambaye ni kutoka uzao wa I Ibrahim

Muhammad[a] (Arabic: مُحَمَّد, romanized: Muḥammad; English: /moʊˈhɑːməd/; Arabic: [mʊˈħæm.mæd]; c. 570 – 8 June 632 CE)https://en.m.wikipedia.org/wiki/Muhammad#cite_note-3 was an Arab religious, social, and political leader and the founder of Islam.[c] According to Islamic doctrine, he was a prophet divinely inspired to preach and confirm the monotheistic teachings of Adam, Abraham, Moses, Jesus, and other prophets.[2][3][4] He is believed to be the Seal of the Prophets within Islam, with the Quran as well as his teachings and practices forming the basis for Islamic religious belief.
 
Back
Top Bottom