TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 5,720
- 10,216
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.
Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.
Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.
Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?
Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.