Geopolitics 101: Case Study Israel v Houthis

thatHUMBLEguy

JF-Expert Member
Nov 25, 2023
224
522
20240106_192633.jpg

War and International Trade.

Hivi ndio mizigo inasafirishwa kutoka Asia kwenda Israel.

Impact: Bei za Bidhaa kupaa>Mfumko wa bei>>Uasi wa waIsrael dhidi ya Netanyahu.

đź“· Sprinter.
 
Huyu ni super power wa tatu duniani??

Mbona anaishi maisha ghali sana na bado anaendelea kuwapiga warabu wa Palestine na wayemeni
It's too hard to fight a war against Israel. Unapopigana jua kuwa Marekani & the whole western world (MIGHTY MILITARY) iko nyuma yake. Ila hilo halishangazi sana.

Kwanini Miezi mitatu imeshindwa wamaliza Hamas—ambao wanaitwa ni wanamgambo—kwa miezi mitatu. Juu ya hilo, Israel imesema inahitaji miezi 12 zaidi kuwamaliza Hamas! Ambao kijiografia wako eneo lisilozidi Sq Km 400.

Ni aidha uwezo wa Hamas ni mkubwa kuliko tunavyodhani au Israel ana mipango yake. Ingawa sitaki kuamini pia Netanyahu anairefusha Vita hii ili kuokoa Utawala wake dhidi ya upinzani uliokuwa umemkaba koo kabla ya tukio la Oct 7 mwaka jana.
 
Good point

Hata hivyo, unapoamua kuwa msema kweli usiyeegemea chochote, nadhani kwenye maelezo yako umeruka kipengele kimoja wapo kinachoifanya vita iwe ngumu kwa Israel na saa ingine iwe ni ya muda mrefu

Je? Hamasi anajulikana??? Au ni yule anayejificha kwa raia, watoto na wanawake? Ndiye yule anayejicha mahosipitalini na mashuleni?

Ukiwachukua Hamasi wote, nao wavae mavazi rasimi ya kijeshi, Hoja yako hii unaweza kuitetea?
 
Israhell si wanasema hamas wapo huko kwenye mahandaki?
 
Good point

Hata hivyo, unapoamua kuwa msema kweli usiyeegemea chochote, nadhani kwenye maelezo yako umeruka kipengele kimoja wapo kinachoifanya vita iwe ngumu kwa Israel na saa ingine iwe ni ya muda mrefu

Je? Hamasi anajulikana??? Au ni yule anayejificha kwa raia, watoto na wanawake? Ndiye yule anayejicha mahosipitalini na mashuleni?

Ukiwachukua Hamasi wote, nao wavae mavazi rasimi ya kijeshi, Hoja yako hii unaweza kuitetea?
iwe hivyo ila israel nae asipate support kutoka kokote wawe wenyewe km wenyewe bado vita itakuwa ngumu sana kwao na pengine kushindwa kabisa
 
Good point

Hata hivyo, unapoamua kuwa msema kweli usiyeegemea chochote, nadhani kwenye maelezo yako umeruka kipengele kimoja wapo kinachoifanya vita iwe ngumu kwa Israel na saa ingine iwe ni ya muda mrefu

Je? Hamasi anajulikana??? Au ni yule anayejificha kwa raia, watoto na wanawake? Ndiye yule anayejicha mahosipitalini na mashuleni?

Ukiwachukua Hamasi wote, nao wavae mavazi rasimi ya kijeshi, Hoja yako hii unaweza kuitetea?
Mapigano ya Mashariki ya kati huwa yana sura moja, haijalishi 'Adui' yao ana jeshi la kisasa namna gani, 'Waarabu' siku zote wana vitu viwili—WINGI WA WAPIGANAJI [KILA MUISLAM KULE ANAOWAJIBU WA KUPIGANA] NA MORALI ISIYOVUNJIKA YA WAPIGANAJI WAKE [AMBAYO INATOKANA NA IMANI KUBWA YA KILE WANACHOKIAMINI NA KUWA TAYARI KUKIFIA]—Taliban, Iraq, Iran kote huko hili unaliona. Wataliban, walikuwa na msemo wao kuwa 'Marekani ana saa, wao wana muda'. Wakiamini siku moja, maadui zao watachoka na kuondoka.

Kwahiyo, Israel kule Gaza, siku zote ni Outnumbered na Hamas, but QUALITY OF THEIR ARMY & US SUPPORT, always favors them!
 
Back
Top Bottom