Hezbollah wazidi kusonga mbali na mpaka wa Israel, licha ya makelele yote yale

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Tumekuwa tukiambiwa humu kwamba Hezbollah watafanya....haya hao sasa wanaepuka kichapo...

Hezbollah has withdrawn its forces from the Israeli border by two to three kilometers, Maariv reported Thursday, citing a report from The Economist.

It is a “tactical withdrawal” and a signal to Israel and the US that Hezbollah wants to avoid an all-out war, the report said.

Defense Minister Yoav Gallant on Thursday told visiting US envoy Amos Hochstein that time was running out for a diplomatic solution to moving Hezbollah’s forces in southern Lebanon away from the border with Israel.
 
Wameshaona kukaa mpakani haisaidii, Israel inatuma drone popote walipo magaidi na inawaulia hukohuko.
1704414268880.png

Mashetani mnakazi sana
 
Tumekuwa tukiambiwa humu kwamba Hezbollah watafanya....haya hao sasa wanaepuka kichapo...

Hezbollah has withdrawn its forces from the Israeli border by two to three kilometers, Maariv reported Thursday, citing a report from The Economist.

It is a “tactical withdrawal” and a signal to Israel and the US that Hezbollah wants to avoid an all-out war, the report said.

Defense Minister Yoav Gallant on Thursday told visiting US envoy Amos Hochstein that time was running out for a diplomatic solution to moving Hezbollah’s forces in southern Lebanon away from the border with Israel.
Masikini dada FaizaFoxy sijuwi atakuwa na hali gani huko aliko, naomba asijiue tu kwa haibu na tambo zile.
 
Mashia (watoto wa wayahudi) hawawezi kupigana vita na wayahudi (baba zao). Iran ni nchi ya pili ndani ya middle east kwa kuwa na idadi kubwa ya wayahudi baada ya Israel. Ndani ya Israel leo hii kunatambulika kuwa na zaidi ya wayahudi 300,000-350,000 wenye asili ya iran.

Wayahudi walikuwa wakiishi ndani ya iran kwa karne nyingi huko nyuma.Mpaka leo kuna mabaki ya uyahudi ndani ya miji ya Tehran,Shiraz na isfahan. Kamwe hamuwez kusikia vita vya mashia na mayahudi. Hata maandiko yanaonesha kuwa the awaited jewish messiah/king (anti-christ aka Al-masih dajjal) ataibuka kutoka katika mji wa Isfahan huko Iran akiongozana na kundi la mayahudi 70,000.

Tishio kubwa la uyahudi na wayahudi ni SUNNI ISLAM (Uislam wa dhehebu la sunni). Hata ukiwauliza wanazuoni wa kiyahudi au maafisa wa jeshi la marekani watakueleza hili.

Kwa wanaoelewa huwa hawashangai kuona hayo yanayoendelea kati ya mashia na mayahudi kwasababu wote ni ndugu. Ila huyu mmoja kauficha uyahudi wake ndani ya vazi la uislam.
 
Cha kujiuliza tu hivi kundi la Hezbollah nchini Lebanon au Houthis nchini Yemen licha ya kutambuliwa kuwa ni makundi ya kigaidi duniani yanayoendeshwa na kufadhiliwa na serikali ya Iran kwanini hayajawahi kupigwa vita kama yanavyopigwa vita makundi ya kisunni kama (IS,Al-Qaeda,Al shabab n.k)?

Hezbollah wapo lebanon ili kuzuia kuzuka kwa makundi ya kijihadi ya kisunni ndani ya lebanon ambayo yatapelekea kuathiri ustawi wa taifa la Israel.

Hata kundi la HAMAS kwa wasiojua ni kuwa hawapigani vita kwa ajili ya uislam. Wanapambana kwa ajili ya ardhi. Hawapambani kwa ajili ya kuweka utawala wa Shariah kama walivyokuwa wakifanya IS pale Iraq na Syria ndio maana hutaona dunia nzima ikiungana kuishambulia HAMAS kama walivyofanya kuishambulia IS kuanzia mwaka 2014-2020.

Kwa wayahudi kundi la HAMAS kwao ni bora kuendelea kuwepo kuliko kuja kuzuka kwa kundi la Mujahidina wa ukweli ambao hawatapigana kwa ajili ya ardhi bali kupambana kwa ajili ya kuweka utawala wa Shariah.
 
Sikuelewi, hivi umesoma agano la HAMAS? Ambayo inasema uislamu unapaswa kuifuta Israel

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Andiko linasema hivi:

"Significant numbers of Hezbollah forces remain near the border, however, and the terrorist group has continued to fire missiles and rockets at Israel."
 
Mashia (watoto wa wayahudi) hawawezi kupigana vita na wayahudi (baba zao). Iran ni nchi ya pili ndani ya middle east kwa kuwa na idadi kubwa ya wayahudi baada ya Israel. Ndani ya Israel leo hii kunatambulika kuwa na zaidi ya wayahudi 300,000-350,000 wenye asili ya iran.

Wayahudi walikuwa wakiishi ndani ya iran kwa karne nyingi huko nyuma.Mpaka leo kuna mabaki ya uyahudi ndani ya miji ya Tehran,Shiraz na isfahan. Kamwe hamuwez kusikia vita vya mashia na mayahudi. Hata maandiko yanaonesha kuwa the awaited jewish messiah/king (anti-christ aka Al-masih dajjal) ataibuka kutoka katika mji wa Isfahan huko Iran akiongozana na kundi la mayahudi 70,000.

Tishio kubwa la uyahudi na wayahudi ni SUNNI ISLAM (Uislam wa dhehebu la sunni). Hata ukiwauliza wanazuoni wa kiyahudi au maafisa wa jeshi la marekani watakueleza hili.

Kwa wanaoelewa huwa hawashangai kuona hayo yanayoendelea kati ya mashia na mayahudi kwasababu wote ni ndugu. Ila huyu mmoja kauficha uyahudi wake ndani ya vazi la uislam.
2006 Hizbullah na Israhell walifanyana nini???
 
Cha kujiuliza tu hivi kundi la Hezbollah nchini Lebanon au Houthis nchini Yemen licha ya kutambuliwa kuwa ni makundi ya kigaidi duniani yanayoendeshwa na kufadhiliwa na serikali ya Iran kwanini hayajawahi kupigwa vita kama yanavyopigwa vita makundi ya kisunni kama (IS,Al-Qaeda,Al shabab n.k)?

Hezbollah wapo lebanon ili kuzuia kuzuka kwa makundi ya kijihadi ya kisunni ndani ya lebanon ambayo yatapelekea kuathiri ustawi wa taifa la Israel.

Hata kundi la HAMAS kwa wasiojua ni kuwa hawapigani vita kwa ajili ya uislam. Wanapambana kwa ajili ya ardhi. Hawapambani kwa ajili ya kuweka utawala wa Shariah kama walivyokuwa wakifanya IS pale Iraq na Syria ndio maana hutaona dunia nzima ikiungana kuishambulia HAMAS kama walivyofanya kuishambulia IS kuanzia mwaka 2014-2020.

Kwa wayahudi kundi la HAMAS kwao ni bora kuendelea kuwepo kuliko kuja kuzuka kwa kundi la Mujahidina wa ukweli ambao hawatapigana kwa ajili ya ardhi bali kupambana kwa ajili ya kuweka utawala wa Shariah.
Isis hawakua wanapigania kueka sharia walikua wanapigana kuua watu waeke maslahi yao

Kama bora hamas kwa israhell kinachoendelea ghaza unakiona au unahadirhiwa tuuu
 
Cha kujiuliza tu hivi kundi la Hezbollah nchini Lebanon au Houthis nchini Yemen licha ya kutambuliwa kuwa ni makundi ya kigaidi duniani yanayoendeshwa na kufadhiliwa na serikali ya Iran kwanini hayajawahi kupigwa vita kama yanavyopigwa vita makundi ya kisunni kama (IS,Al-Qaeda,Al shabab n.k)?

Hezbollah wapo lebanon ili kuzuia kuzuka kwa makundi ya kijihadi ya kisunni ndani ya lebanon ambayo yatapelekea kuathiri ustawi wa taifa la Israel.

Hata kundi la HAMAS kwa wasiojua ni kuwa hawapigani vita kwa ajili ya uislam. Wanapambana kwa ajili ya ardhi. Hawapambani kwa ajili ya kuweka utawala wa Shariah kama walivyokuwa wakifanya IS pale Iraq na Syria ndio maana hutaona dunia nzima ikiungana kuishambulia HAMAS kama walivyofanya kuishambulia IS kuanzia mwaka 2014-2020.

Kwa wayahudi kundi la HAMAS kwao ni bora kuendelea kuwepo kuliko kuja kuzuka kwa kundi la Mujahidina wa ukweli ambao hawatapigana kwa ajili ya ardhi bali kupambana kwa ajili ya kuweka utawala wa Shariah.
Waislamu hamjui mnataka nini,juzi tu mlisema IS ilikuwa mshirika wa Israel leo mnasema ndio walikuwa wa kweli.
 
Mashia (watoto wa wayahudi) hawawezi kupigana vita na wayahudi (baba zao). Iran ni nchi ya pili ndani ya middle east kwa kuwa na idadi kubwa ya wayahudi baada ya Israel. Ndani ya Israel leo hii kunatambulika kuwa na zaidi ya wayahudi 300,000-350,000 wenye asili ya iran.

Wayahudi walikuwa wakiishi ndani ya iran kwa karne nyingi huko nyuma.Mpaka leo kuna mabaki ya uyahudi ndani ya miji ya Tehran,Shiraz na isfahan. Kamwe hamuwez kusikia vita vya mashia na mayahudi. Hata maandiko yanaonesha kuwa the awaited jewish messiah/king (anti-christ aka Al-masih dajjal) ataibuka kutoka katika mji wa Isfahan huko Iran akiongozana na kundi la mayahudi 70,000.

Tishio kubwa la uyahudi na wayahudi ni SUNNI ISLAM (Uislam wa dhehebu la sunni). Hata ukiwauliza wanazuoni wa kiyahudi au maafisa wa jeshi la marekani watakueleza hili.

Kwa wanaoelewa huwa hawashangai kuona hayo yanayoendelea kati ya mashia na mayahudi kwasababu wote ni ndugu. Ila huyu mmoja kauficha uyahudi wake ndani ya vazi la uislam.

Umepangua Gia Angani Mkuu
 
Back
Top Bottom