israel

  1. JamiiForums Tanzania Uturuki japo imechelewa nayo imeanza kujiunga na Hamas dhidi ya Israel

    Uturuki kwa muda mrefu tena muda uliokuwa mgumu zaidi kwa wapalestina ilitumia mdomo pekee kuilaani Israel bila kutoa msaada ambao ina uwezo nao. Miezi sita kuelekea saba ndio sasa imeamua kuibana Israel kiuchumi kwa kuzuia bidhaa zake 54 zisisafirishwe kwenda nchini huko.Miongoni mwa bidhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Syrian President and family EVACUATED. Iran attack upon Israel said "likely" within "hours"

    Syrian President and Family EVACUATED; Iran Attack Upon Israel Said "Likely" within "Hours" HAL TURNER WORLD 09 APRIL 2024 Multiple sources are indicating that Iran is going to directly initiate a response against Israel in the coming hours. This would be retaliation for Israel bombing the...
  3. JamiiForums Tanzania Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

    Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna..... Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, wajuwa Iran pamoja na vitisho vyote hawezi kuigusa Israel na kama akiwagusa huwo ndiyo mwisho wao

    Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi. Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya ubalozi wa Iran ktk Nchi ya Syrian. Naomba niwakumbushe ni sehem ya ubalozi sio ubalozi wote na jinsi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya amani, Israel na HAMAS Cairo yanazaa matunda

    1. Kibri chote kwishney, amri ni moja; kila mtu kaufyata: Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja! 2. Iran kaombwa kutulizana, Natenyahu kuufyata; mazungumzo kuwa ya kiutu uzima: 3. Hapo sasa kilichobakia "face saving" yaani kuwatoa wacheza kimaso maso. Tayari...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Israel yamuua Kiongozi wa juu wa kikundi magaidi wa Hezbollah, Ali Ahmed Hassin

    Wadau hamjamboni nyote, Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha ugaidi cha Hezbollah auawa na Jeshi la Israel Katika mji wa as-Sultaniyah huko Lebanon ya Kusini. Ali Ahmed Hassin akiongoza kikosi maalumu cha askari wenye Weledi mkubwa almaarufu Radwan na aliuawa kwa shambulizi la...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa vile Israel imekubali yaishe; je, kuna umuhimu kuonewa huruma ili dunia ipate nafuu?

    Matukio ya jana jimboni Gaza na kauli kutoka Marekani na Israel ni wazi kuwa mbabe mkubwa amekubali kistaarabu ili yaishe. Shinikizo la kuondoa askari Gaza si la Benjamin Netanyahu kwa ridhaa yake bali limetokana na ukweli aina tofauti katika uwanja wa vita. Ukweli wa mwanzo ni kuwa hali ya...
  8. JamiiForums Tanzania Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

    Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine. Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua inachokifanya na huyo kubwa gaidi lenu Iran amekua makini sana kutonasa kwenye huo mtego...
  9. JamiiForums Tanzania Israel yakusanya wanajeshi kwa ajili ya kuingia Rafah

    Defense Minister Yoav Gallant said on Sunday that the IDF withdrew from Khan Yunis after Hamas ceased to function in the area, adding that the troops left in preparation for a coming Rafah operation. While speaking at the IDF's Southern Command base, he stated, "The withdrawal of the troops...
  10. JamiiForums Tanzania Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani

    Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah. Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Watu 2 wapigwa risasi Israel ndani ya mgahawa

    Wanaukumbi. WATU 2 WALIPIGA RISASI ISRAEL NDANI YA MGAHAWA Kick Streamer JohnnySomali Alieleza kuwa alishuhudia tukio la kupigwa risasi katika Mkahawa Huko Israel "Mtu alikuja tu kwenye mgahawa na kuanza kumpiga risasi kila mtu. Nilikuwa tu katika shambulio katika mkahawa mmoja huko Jaffa...
  12. JamiiForums Tanzania Tokea dunia iundwe punda wameongea kwa ajili ya Israel

    Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao. Kisa cha kwanza punda kuongea. Baalam wakati wana wa Israel wametoka Utumwani misri wanaelekea taifani mwao waliweka kambi pembezoni mwa mto jordan eneo la...
  13. JamiiForums Tanzania Iran wanaogopa kulipa kisasi, Ayatollah itabidi aishi kwenye Mahandaki kama Sin-war na Nasrallah

    Serikali ya Iran ipo kwenye khofu endapo watajaribu kulipiza kisasi dhidi ya Israel baada ya kauli ya kibabe ya Netanyahu. vita inaweza kuwa kubwa na Tatizo la Israel huwalenga kwanza Viongozi na Iran haipo tayari kabisa kumpoteza Ayyatollah au aishi kwenye mapango na mahandaki kama mwenzake wa...
  14. JamiiForums Tanzania Wachambuzi watoa picha kuonesha Israel imeshindwa vita

    Baadhi ya nukta walizotoa wachambuzi hao ni kuwa wakati Israel inadai imewaua Hamas wengi sana lakini viongozi wakuu wa kundi hilo ama wako nje au wako chini ya mahandaki na hawajawapata. Pia Israel imeshatangaza mara kadhaa kuwa imeyadhibiti maeneo ya kaskazini na kati ya Gaza,lakini bado kila...
  15. JamiiForums Tanzania Mlipuko wa bomu la gari wadaiwa kutokea nchini Israel

    Wanaukumbi. MLIPUKO KATIKA ISRAEL Ripoti zinaibuka kuhusu mlipuko wa bomu lililotegwa kwenye gari kwenye makutano ya Dove Haz katika makazi ya Bat Yam. Maelezo bado yanaendelea, na hali inaendelea. Watu wana test mitambo...
  16. JamiiForums Tanzania Huo ulikuwa mwanzo tu, Israel imedhihirisha itapiga popote na yeyote

    Iran na magaidi wote wa kiislamu wana cha kujifunza, kwamba Israel imeamua hamna tena mambo ya kubembelezana, itawinda na kupiga yeyote anayetumika kigaidi gaidi dhidi yake hata awe nani, na watampiga popote siku yoyote na watakua tayari kwa lolote.... The targeted assassination this week in...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran. Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran. Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria. Pia kauli ya kuanza na Jerusalem kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili...
  18. JamiiForums Tanzania Israel yafunga kwa muda balozi zake katika nchi 28 kufuatia maandamano ya Siku ya Quds

    Wanaukumbi. ISRAEL ON HIGH ALERT - YAFUNGA MABALOZI 28 Kujibu vitisho vilivyoongezeka kutoka kwa Iran baada ya IDF kuwaua maafisa wakuu nchini Syria, balozi 28 za Israel na balozi ndogo duniani zimeripotiwa kufungwa kwa muda - zikiwemo Azerbaijan, Bahrain, Misri, Jordan, Morocco, na...
  19. JamiiForums Tanzania Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

    Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east. Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kufunga Balozi zake kama tahadhari ya kushambuliwa na Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Hali siyo nzuri huko madhariki ya kati Israel imeanza chukua hatua za tahadhari kwa kufunga ofisi zake za ubalozi kwenye nchi mbalimbali duniani zake ikihofia mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran. Hatua hizi zinafuatia shambulizi lililofanywa kwenye makazi ya balozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…