Nauliza tu kwa wanazuoni na wabobezi wa maswala haya ya imani za kuabudu na kumtumikia Mungu.
Kwa mfano hapa Tanzania hizi dini tuliletewa tu kutoka huko zilikoanzia, ndio maana nauliza Uislam wa " ukweli " ni ule wa Palestina, Saudi Arabia au Iran?
Kuuliza siyo ujinga.
Ramadhan kareem!
Kwa mara nyengine tena Israel imekiri kuzidiwa nguvu na idadi ya vikombora vinavyorushwa na wanamgambo wa makundi tofauti kutoka Gaza. Taarifa hizo zimekuja katikati ya muendelezo wa machafuko makubwa yanayoendelea eneo la Jerusalem tangu kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Katika mapigano...
Kiongozi wa juu kabisa nchini Iran Ayatollah Ali Khamenei ameiita Israel kuwa sio taifa, bali ni ngome ya kigaidi huku akiyataka mataifa ya Kiislamu kupambana nayo, katika wakati wanapoadhimisha siku ya maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina.
Ayatollah Khamenei ametoa matamshi hayo wakati...
The Air Force deployed multiple aircraft during the latest drill, including F-15 and F-16 fighter jets, tankers, and spy planes. The key objectives for Israeli pilots included training in an unfamiliar landscape and enhancing long-distance flight skills, a senior officer said.
The war scenarios...
Binafsi sioni kama Israel ni taifa kioo kwa Mataifa Mengine.
Sawa Israel imebarikiwa kulingana na Biblia Takatifu, lakini Je, inapaswa kuendelea kuitwa taifa teule na kuendelea kuhubiriwa makanisani kama mfano kama taifa takatifu?
Utakatifu wake uko wapi wakati inamwaga damu kila siku?
Israel...
A powerful explosion took place on Tuesday at a sensitive defense factory during a test in central Israel. There are so far no reports of casualties.
The explosion occurred during a 'routine test' by the Tomer factory for advanced weapons, which develops rocket engines, the Ofek satellite...
https://www.google.com/amp/s/www.forbes.com/sites/carlieporterfield/2021/04/11/israel-is-behind-blackout-at-iran-nuclear-facility-israeli-media-reports/amp/
Picha hazihusiani na matukio:
Photos of Israeli AH-64 Apache attack Helicopters delivered precision guided missiles during combat...
140 tourists from Israel to jet into Tanzania in May
THURSDAY APRIL 08 2021
ADVERTISEMENT
By Zephania Ubwani
More by this Author
Arusha. In a renewed bid to woo back visitors after the devastating impact of Covid-19, 140 tourists from Israel will jet into the country next month.
The...
Israeli company 'SaNOtize' invented a life-saving nasal spray that protects and prevents viral infections.
Israel is at the forefront of finding medical solutions that are blessing humanity.
---
A nasal spray that will be marketed as capable of killing 99.9 percent of virus particles has started...
Habari JF..
Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana.
Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia?
Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda.
Je, wanakwama wapi?
Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank. Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s.
Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je, Taifa la Israel lilitawaliwa na nani?
Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na...
Balaa la UFC 259 ni zito. Light heavy weight Jumapili tarehe 7th March 2021
Ikumbukwe Israel Adesanya kijana ambae ni mzaliwa wa Nigeria lakini anaishi NewZealand amepanda weight class na kuingia light heavyweight na hili ni pambano lake la Kwanza tangu apande na anakutana na bingwa huyu mahiri...
Takwimu kutoka nchini Uingereza zinaonesha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inasaidia kupunguza uwezekano wa kuenea kwa maambukizi kwa hadi asilimia 85.
Utafiti uliochapishwa na taasisi ya Public Health England (PHE) unaonesha kuwa chanjo ya Pfizer-BioNTech inapunguza uwezekano wa kupata...
Habari!
Israel imetangaza Alhamisi kuwa inashirikiana na Marekani katika mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga dhidi ya makombora ya balistiki unaojulikana kama Arrow-4 ambao unajumuisha kizazi kijacho cha vizuizi (interceptors) ambao utachukua nafasi ya mfumo uliopo wa Arrow-2 kwa...
Habari!
Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliyeuawa karibu na mji mkuu Tehran mwezi Novemba mwaka 2020, aliuawa kwa bunduki ya otomatiki iliyoingizwa nchini humo na shirika la ujasusi la Israel Mossad ikiwa katika vipande maalumu, kwa mujibu wa ripoti.
Ripoti ya The Jewish Chronicle kutoka...
Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona.
Hivyo kwa mujibu wa Biblia Afrika itapona ya kwanza, itafuatiwa na Asia na mwisho watakuwa Israel kwa maana ya wazungu...
Habari!
Marekani iko mbioni kuutumia mfumo wa ulinzi wa anga wa "Iron Dome" kwenye vituo vya kijeshi katika nchi kadhaa za Ghuba kwa mara ya kwanza. Marekani ilinunua mfumo wa Iron Dome kutoka Israel baada ya makubaliano kati ya nchi hizo mnamo mwaka 2019.
Kulingana na ripoti na vyanzo ndani...
Israel ambayo ili hack kaspersky 2014 na kuwapa taarifa NSA kuhusiana na uvujishwaji wa taarifa unaofanywa na kampuni hio, inasemekana kaspersky ilikuwa ikishirikiana na FSB (KGB zamani) kudukua taarifa mbali mbali za watumiaji, baada ya hapo USA ika ban kaspersky kutumiwa kwenye vitengo vyoote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.