israel

  1. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Jonathan Pollard: Former Jewish spy lands in Israel 35 years after arrest

    Pollard, a former intelligence analyst for the US, was detained in 1985 for spying for and providing top-secret intelligence to Israel, serving 30 years of a life sentence before he was paroled in 2015. He is the only American in US history to receive a life sentence for spying for an ally, as...
  2. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Iran yapata Pigo, sasa hivi si kutoka Israel bali ajali na majanga ya asili

    Mzuka Wanajamvi! Ayatollah pressure inazidi na anazidi kupata wakati mgumu Wapanda milima (climbers) 10 wamekufa katika milima ya kaskazini mwa Tehran baada ya dhoruba kubwa ya theluji kuanguka na wengi kadhaa hawafahamiki walipo. Pia mabaharia saba wamepoteza maisha baada ya dhoruba kali...
  3. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkubwa Pakistani awachana live Wapalestina asema Israel na Jerusalem ni kwa Wayahudi pekee according to Koran

    Kiongozi mkubwa kabisa Nchini Pakistani Maulana Muhammad Khan Sherani asema kuwa uislamu unatufundisha kuwa Israel ni nchi ya Wayahudi pekee. Je, ndio mpango mpya wa mahusiano ya kibalozi kati ya Israel na Pakistani yanapoelekea na kipigiwa chapuo? Kiongozi mkubwa wa kidini ni ashapitisha...
  4. 100 others

    JamiiForums Tanzania Je, Israel itaweza kushambulia vinu vya nuclear Iran?

    Tarehe 7 June 1981 Israel ilifanya mashambulizi katika vinu vya nuclear huko Iraq,hii ilikuwa ni shambulizi la ghafla katika mradi huo chini ya Sadam Hussein, hii ilijulikana kama operation opera au Operation Babylon, Kinu kilichojulikana kama Osirak Nuclear Reactor kilichokuwa kusini...
  5. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Waarabu wazidi kuikubali sana Israel

    Dubai hosted a public Chanukah celebration on Saturday night, which served as a symbol of the powerful impact the Abraham Accords are having on the Middle East. On Saturday evening, a giant menorah was lit up in Dubai to celebrate the Chanukah holiday, which is the Jewish festival of lights...
  6. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa Kiarabu azungumzia undugu haswa wanaoutaka na Israel

    ''Kila mtu anazungumzia na wengine humuuliza kuuliza jinsi waarabu watakavyofanya biashara na Waisrael au jinsi gani watafanyaje? Yeye amesema hapana sina mpango wa kufanya Biashara na Israel, tunaweza kwanza kukutana, kama wototo wetu wanaweza kukutana na watoto wenu! tunaweza kufahamiana...
  7. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Waarabu wazidi kuungana na Israel

    Israel na Morocco zimekubaliana kuweka mahusiano ya kidiplomasia. Mataifa hayo yamekubaliana kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia chini ya mkataba uliofadhiliwa na Marekani. Morocco inakuwa taifa la nne la kiarabu lililoridhia kumaliza uhasama na #Israel tangu mwezi Agosti. Rais Donald Trump...
  8. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Afisa wa ngazi za juu wa shirika la kijasusi la Israel auawa Tel Aviv

    Afisa wa ngazi za juu wa shirika la kijasusi la mossad ameuawa usiku wakuamkia leo katika mji Tell aviv alipokua kwenye gari ghafla taa nyekundu ya kuongozea magari ikawaka na gari yake ikashambuliwa kwa risasi 15 na washambuliaji kutoweka bila kuonekana. Inasemekana huwenda ukawa ni mwendelezo...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wapata faraja,Saudia na Qatar wakataa mkono wa Israel

    Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Saudi Arabia mwanamfalme Faisal bin Farhan amesema kurejeshwa kwa uhusiano na Israel ni lazima kuambatane na kuundwa kwa taifa la Palestina iliyo na mamlaka kamili na Israel iodoe majeshi yake kwenye ardhi ilizoziteka mwaka 1967 na irudishe ardhi inazozijenga...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuwa Taifa kubwa kwa Intelijensia baada ya kumuua Mkuu wa Nyuklia wa Iran

    Niaje niaje, Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo. Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya...
  11. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Iran nchini Syria yashambuliwa tena mara ya tatu ndani ya wiki moja na Israel - Wanajeshi wa Pakistan 18 wafariki

    Ni baada ya Balozi wa UN kudumu wa Israel Gilad Erdan kuliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa Jeshi la Iran na wafuasi wake waondoke haraka sana nchini Syria kwani itawaangamiza wote Alielezea kwenye barua yake aliyomuandikia Mkuu wa Baraza hilo. Report: 19 pro-Iran fighters killed...
  12. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Irani kutangaza kuwa Itajibu mapigo yoyote ya Israel nchini Syria, yagongwa tena

    Na kichapo cha Jana kimeharibu maghara mengi ya silaha ambazo ndizo Irani ilijitapia nazo kuwa itazitumia kujibu mashambulizi ya hit and run ya Israel... Nadhani ni wakati wa Iran kufuata ule msemo if you can't fight them join them.. Yasemekana Wafuata mkumbo 8 wa Iran wameuawa... Irani...
  13. Morogoro kaskazini

    JamiiForums Tanzania Kwanini israel inaiyogopa hezbullah kuliko taifa lolote lile duniani

    Naombe msaada wa kujua hili Kwanini israel inaiyogopa hezbullah kuliko taifa lolote lile duniani
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sudan kutangaza uhusiano na Israel, Wananchi wapinga

    Kwa majigambo makubwa juzi raisi Donald Trump wa Marekani alitangaza kutoka ikulu ya Marekani juu ya kurudishwa kwa uhusiano baina ya Israel na taifa la Sudan. Hata hivyo tangazo hilo limepingwa vikali na wananchi kupitia vyama vikuu vya kisiasa.Anayeongoza kupinga uhusiano huo ni Sadik El...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

    Kwa wale wenye umri kama wa kwangu enzi hizo watakuwa na uzoefu wa majina ya miji ya kipalestina ambayo kwa sasa yote imezingirwa na makazi ya mayahudi wanaohamishwa kutoka mataifa mengine duniani kuja kuwabana wapalestina katika lengo la kuwamaliza. Hayo maeneo yenye bluu iliyokoza ndiyo...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Sudan nao washtukia ushenga wa Marekani baina ya waarabu na Israel

    Yule msomi wa kimarekani aliyepewa sifa kubwa Sudan na kukabidhiwa serikali ya mpito baada ya kuanguka kwa Omar Albashiri na ambaye wiki kadhaa zilizopita aliponea chupuchupu kufa kwa bomu barabarani,jina lake Abdalllah Hamdouk, sasa naye ameishtukia diplomasia ya Marekani. Wiki iliyopita...
  17. Tripo9

    JamiiForums Tanzania UFC 253 Israel Adesanya vs Paulo Costa

    Haya haya leo ni leo kwa wale wazee na wabibi wa mchezo wa kupigana kutumia chochote kiungo kuua mwenzako (mixed martial arts) kihalali UFC leo tupo fight island Abu Dhabi huko. Adesanya hajawahi pigwa. Costa hajawahi pigwa, je nani kidedea ataibuka leo??! Karata yangu iko kwa Adesanya, of...
  18. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yaruhusu ndege za Israel kupita juu ya anga lake

    Saudi Arabia announced Wednesday that it would allow any flights going to and from the United Arab Emirates to fly over its territory, a move that would give Israel access to some of the kingdom’s airspace for the first time. The announcement, made at the request of the United Arab Emirates...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kimataifa: Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!

    Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel. Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka. Hata Ethiopia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa mataifa ya Kiislamu kutaja urafiki na Israel unaongezeka; Kosovo tayari

    Inakuwaje Wanajamvi! Utitiri wa mataifa ya Kiislamu kutaka urafiki na Israel unaongezeka. Kosovo tayari wamekubali kuwa marafiki na Israel japo kuna minong'ono ya hapa na pale kutoka kwa wafia dini nchini humo lakini hamna namna. Asilimia 99% ya wa Kosovo ni Waislam. Pia Somaliland nao wako...
Back
Top Bottom