israel

  1. Bulamba

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kumaliza mgogoro wa Israel na Palestine?

    KWA wale wataalamu wa siasa za kimataifa tunaomba kujuzwa kwa lugha nyepesi kiini cha mgogo wa GAZA baina ya Israel and Palestine uliozuka tena juzi na kupelekea zaidi wapalestina 174 kuuwawa wakiwamo watoto 47? Nini kifanyike kumaliza mzozo huu? Nani wa kulaumiwa? Nini nafasi ya jamii ya...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Israel siyo taifa teule

    ISRAEL SIO TAIFA TEULE Natumaini mu wazima wote. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kwenye mambo mbalimbali. Leo nyundo yangu itagonga kwenye hii kauli kwamba Israel ni taifa teule na atakayeilaani Israel naye atalaaniwa pia atakaeibariki naye atabarikiwa. Ila kwanza...
  3. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Fukuto linaloendelea huko Mashariki ya Kati

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekua nikifuatilia kwa mda mzozo uliopo Mashariki ya Kati yaani Israel na Palestina, nimegundua inawezekana ikawa kweli Israel ni taifa teule kama wanavojinasibu kwa sababu zifuatazo: Ukisoma historia tangu kuasisiwa kwa taifa hili miaka ya 1948s mwaka...
  4. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Israel na Palestina, ni mgogoro unaotokana na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa

    Watu wengi huuchukulia mzozo sa Israeli na Palestine kama wa kidini, lakini kiuhalisia ni mgogoro unaotokana hasa na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa i.e Geopolitics. Kwa dhana ya kidini pia mgogoro huu unatazamwa kuwa umeanza miaka zaidi ya 1,000, kiuhalisia umeanza miaka ya 1910...
  5. BAK

    JamiiForums Tanzania Israel is committing War Crimes

    Israel has destroyed the tower block housing Al Jazeera and the Associated Press news agency in Gaza. They are doing this for one reason - to stop the truth being known about their assault on the Palestinian people. Share this and show the truth!
  6. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  7. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua! Hiyo ni moja, mbili.. Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maadui walioizunguka Israel wako zaidi ya million 500 ni nini kinachowashinda kuifuta Israel?

    Inakuwaje wanajamvi! Israel kanchi kadogo tu kenye raia million 5 wayahudi ukiondoa milion moja waarabu. Imezungukwa na maadui zaidi ya milion 500wenye chuki kali na kuiombea mabaya na kutamani ifutike. Kitu gani kinawashinda hata kuvuka mpaka nakuingia Israel nakuifuta. Ni nini jamani...
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Gaza: Mashambulizi ya makombora yaendelea, Idadi ya vifo vya Wapalestina yafikia 122

    Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka. Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jeshi imara kama Israel halina 4 stars General?

    Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina. Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3 Stars General) Kwa nin iko hivyo na wakati Majeshi ya Kiafrika ambayo ni very weak lakini yana mpaka...
  11. JERUSALEM 2006

    JamiiForums Tanzania "The Iron Dome" Kama Taifa tunajifunza nini kwenye Teknolojia hii ya Israel?

    Haujambo Mwana Jamvi, Heri na hongera sana kwa sikukuu ya Eid-Al-fitr. Kwa niaba yangu binafsi nakutakia sherehe njema, ikawe heri na amani kwa upande wako. Eid Mubarak!!!! Mwaka 2006 viliibuka vita kati ya Israel na Lebanon. Lebanon ( Hezborah) ilivurumisha maelfu ya makombora katika anga ya...
  12. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Video: Wataalamu wa silaha tuzungumzie accuracy ya hizi ndege za Israel

    _Yani nga inalenga pale pale _ Hakuna jengo la jirani lililoathirika. Hii inawezekanaje...? _Na hawa wachukua video walijuaje kama hilo jengo linakuja kuripuliwa?
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

    Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani. Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mgogoro kati ya Israel na Palestine

    Leo asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari nimepata update ya nini kinachoendela huko mashariki ya kati. Taarifa inasema Palestine wamelusha makombora zaidi ya alfu moja kwenda Israel. Mfumo wa iron dome wa kuzuia makombora wa Israel uliweza kuzuia kwa kiwango kidogo, na yaliyo weza...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hii picha ina ukweli wowote kwa kinachoendelea Gaza Israel

    Hamas,fatah na Palestine organisation siraha zao huziweka kwenye makazi ya watu,hata wakitaka kufanya mashambulizi,rocket launcher zao huzifyaturia kwenye makazi ya watu wengi,Ili watu hao na makazi yatumike kama ngao dhidi ya Israel,wao hutegemea wakiwaweka Raia wakawaida mbele,Israel...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kwenda Israel kuilinda Iwapo tutahitajika

    Inakuwaje wanajamvi, Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari. Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Afrika Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu. Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human...
  17. 2019

    JamiiForums Tanzania Historia fupi: Israel haiwezi kuimaliza Palestina sababu walishashindwa toka mwanzo wakiwa taifa la Mungu

    Kwa msaada wa biblia na vitabu mbalimbali. Huwa nawashangaa sana watu wanaiona Israel kama taifa teule kwa Mungu kumbe wanajidanganya tu. Historia inasema hapo mashariki ya kati wakaazi asilia ni Wafilisti(Wapalestina) na makabila madogo kama Wahivi,Wagirigashi n.k. toka Taifa la Israel likiwa...
  18. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wapalestina 36 wauawa katika mashambulio ya roketi ya Israel

    Mamlaka katika eneo la Gaza zimesema takriban Wapalestina 36, wakiwamo watoto 10 wamefariki kutokana na mashambulio ya maroketi kutoka Israel, huku wengine 250 wakijeruhiwa siku ya Jumatano. Mashambulizi haya ni ya hivi karibuni zaidi yanayoongeza mvutano ulioanza baada ya Hamas kuvitaka...
  19. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Israel yashambulia maeneo nyeti ya Hamas na Islamic Jihad

    Israeli Air Force struck Hamas and Islamic Jihad terror infrastructure, military bases, weapon warehouses and other terror targets in Gaza. 👏
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Waislamu " original" wako Israel ( Palestina) au Saudi Arabia?

    Nauliza tu kwa wanazuoni na wabobezi wa maswala haya ya imani za kuabudu na kumtumikia Mungu. Kwa mfano hapa Tanzania hizi dini tuliletewa tu kutoka huko zilikoanzia, ndio maana nauliza Uislam wa " ukweli " ni ule wa Palestina, Saudi Arabia au Iran? Kuuliza siyo ujinga. Ramadhan kareem!
Back
Top Bottom