Nilikuwa naikubali Israel kwenye cyber security, kumbe wachovu tu mbele ya Iran

100 others

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
3,615
12,047
Israel ambayo ili hack kaspersky 2014 na kuwapa taarifa NSA kuhusiana na uvujishwaji wa taarifa unaofanywa na kampuni hio, inasemekana kaspersky ilikuwa ikishirikiana na FSB (KGB zamani) kudukua taarifa mbali mbali za watumiaji, baada ya hapo USA ika ban kaspersky kutumiwa kwenye vitengo vyoote vya kiserikali hapo 2017.

Israel kwa kutumia virus anaitwa Duqu ambapo engineer wa kaspersky alisema hakuwa na utofauti na yule worm maarufu kama stuxnet aliyetumika kuharibu Natanz nuclear facility pale Iran hapo 2010, Stuxnet ilikuwa ni joint operation kati ya Israel na USA.

Kaspersky katika muda wote huu walikuwa hawajui kuna shambulizi kwenye mifumo yao mpaka pale siku moja engineer wa kaspersky alikuwa akijaribu tool fulani ambapo aliona kuna kitu hakipo sawa kwenye mifumo yao.

Asee unatuma virus kwenda kwenye mifumo ya kampuni ambayo inahusika na ulinzi dhidi ya virus, ieleweke vyema sio kuhack computer iliyokuwa na kaspersky bali waliingia kwenye mfumo mzima wa database za kaspersky, yaani niseme uingie kwenye database za jamiiforums, utazame emails za watu, password, username,inbox and everything unafikiri ni mchezo? sio mchezo.

Israel ndivyo walivyokuwa wanafanya inasemekana walipata taarifa za emails, passwords and everything za watumiaji wa kaspersky na documents za kutoshana na wakajua kuna udukuzi unaendelea.

Hapo niliwavulia kofia, lakini kumbe kuna wababe sijui walikuwa wapi muda wote huo.

Israel imekuwa hacked na yenyewe na sasa Israel anamnyooshea kidole Iran kwamba anahusika na udukuzi huo, kuna shambulizi walifanya juzi juzi hapa Iran.

Inaonekana kwamba udukuzi huo ulilenga kampuni ya usalama wa mtandao inayoitwa Portnox, ambayo yenyewe inaonekana kuwa mtoaji mkuu wa usalama wa mtandao kwa utawala wa Israeli, pamoja na Sekta ya Anga , kampuni la ndege la Israel, Shirika la mawasiliano la Israel(Bezeq kwa bongo tuseme TTCL) na Clalit Healthcare shirika kubwa Israel linalohusika na utoaji wa huduma za afya Israel, ambapo targets zote hizo zina uhusiano wa moja kwa moja na serikali ya Israeli, na mifumo ya ulinzi.

Ushahidi pia unaonyesha kuwa taarifa nyingi amabazo zimevujishwa zina habari za siri juu ya mitandao na kampuni za ulinzi za Israeli.

Msemaji wa kampuni nyingine ya usalama ya mtandao ya Israeli ya ClearSky alitangaza kuwa uharibifu uliofanywa na wadukuzi umesababisha uharibifu mkubwa kwa utawala wa Israeli, na ameelekeza kidole cha lawama kwa Iran kama asili ya shambulio hilo.

Hivi jamani waajemi tusiwachukulie poa, yaani wakaona kabisa waende kuhack company inayohusika na cybersecurity tena ya Israel, kweli kuna watu wababe.

Mwishoni mwa 2020 hapo, Iran ili hack kampuni zipatazo 80 za Israel, Iran wana ransomware anaitwa Pay2key ambaye ni hatari.
Lakini mapema tena mwaka huu 2021 Iran hao hao wamehack cybersecurity company ya Israel, inasemekana shambulizi la sasa halinma tofauti na huyo huyo ransomware anaitwa Pay2Key.

Sasa kwenye shambulizi hili la pili limejumuisha udukuzi wa websites zaidi ya 1000 za Israel zikionesha picha ya Tel-Aviv ikiwaka moto na ujumbe unaosema muda wa maangamizi unahesabika.

Pia katika baadhi ya computer hizo za cybersecurity company kumeonekana ujumbe unowataka walipe fidia ya pound 100,000 kupitia bitcoin ili kutopeleka taarifa hizo public.

Ukweli ni aibu kwa uongozi wa Israel wanajitapa kwamba ni wababe wa hizo kazi kumbe waajemi walikuwa wametulia tu, wazee wa Kidon mpooo😂😂😂😂.

Kuna professor mmoja Carlifornia amesema namnukuu...anaitwa Davidi Yaghoubian.

Ninaamini kuwa udukuzi huu wa hivi karibuni unaonyesha kuwa kweli mifumo yote iko hatarini kwa shambulio linaloweza kutokea na ikizingatiwa ukweli kwamba Israeli inajivunia sana juu ya teknolojia yake ya hali ya juu na usalama wake wa mtandao hii inathibitisha kuwa hata usalama wa mtandao wa Israeli unaweza kudukuliwa na kwa hilo inaibua swali kwanini ucheze na moto, wakati moto utapigwa vita na moto?

Chanzo cha habari haaretz cha Israel wenyewe.

cyber_haaretz.PNG

haaretz 2.PNG
 
Jamaa wamebeba taarifa nyingi za Israel........na wametulia wanasikilizia tu muda muafaka wafanye yao
Screenshot_20210104-072644_Samsung Internet.jpg

Na jamaa hawajatumia tools complicated sana kufanya hili shambulio....yani jamaa na mabajet yao yote na kujifanya ujuaji mwingi wanadukuliwa tu na free open code tools
 
Jamaa wamebeba taarifa nyingi za Israel........na wametulia wanasikilizia tu muda muafaka wafanye yaoView attachment 1667089
Na jamaa hawajatumia tools complicated sana kufanya hili shambulio....yani jamaa na mabajet yao yote na kujifanya ujuaji mwingi wanadukuliwa tu na free open code tools
Israel na mataifa mengi makubwa sio wajinga, watabadili plan fastafasta ninyi mkidhani bado wapo kule wakishajua Kuna shambulio flash zote zinaformatiwa wanaanza upyaaaaa!
 
Ishu ni kwamba hata kama kuna vitu vya siri jamaa washabeba hasa taarifa za makampuni na wateja wao...hata hao walioshambulia wanajua system hazitabaki vilevile wataimalisha ulinzi ila walichokitaka wameshakipata.....ulimwengu wa sasa data ni asset kubwa......eti flash zote😁😁😁hao hata waki format ma system yao jamaa walishabeba data za kutosha wanatulia mdogo mdogo tu wanazichambua ndo maana hio ransomware yao inataka uwalipe ukibisha wanavujisha siri za wateja wako na kwa wazungu privacy ni muhimu sana ndo maana makampuni mengi inabidi tu wawalipe hao ma hacker ili wasivujishe taarifa
Screenshot_20210104-191318_Samsung Internet.jpg

Wanaformat😁😁 mtu keshabeba 1Tb nzima unasema kuformat .........au hujaelewa hizi mambo zinavyokua
Screenshot_20210104-191318_Samsung Internet.jpg
 
Israel ambayo ili hack kaspersky 2014 na kuwapa taarifa NSA kuhusiana na uvujishwaji wa taarifa unaofanywa na kampuni hio, inasemekana kaspersky ilikuwa ikishirikiana na FSB (KGB zamani) kudukua taarifa mbali mbali za watumiaji, baada ya hapo USA ika ban kaspersky kutumiwa kwenye vitengo vyoote vya kiserikali hapo 2017.

Israel kwa kutumia virus anaitwa Duqu ambapo engineer wa kaspersky alisema hakuwa na utofauti na yule worm maarufu kama stuxnet aliyetumika kuharibu Natanz nuclear facility pale Iran hapo 2010, Stuxnet ilikuwa ni joint operation kati ya Israel na USA.

Kaspersky katika muda wote huu walikuwa hawajui kuna shambulizi kwenye mifumo yao mpaka pale siku moja engineer wa kaspersky alikuwa akijaribu tool fulani ambapo aliona kuna kitu hakipo sawa kwenye mifumo yao.

Asee unatuma virus kwenda kwenye mifumo ya kampuni ambayo inahusika na ulinzi dhidi ya virus, ieleweke vyema sio kuhack computer iliyokuwa na kaspersky bali waliingia kwenye mfumo mzima wa database za kaspersky, yaani niseme uingie kwenye database za jamiiforums, utazame emails za watu, password, username,inbox and everything unafikiri ni mchezo? sio mchezo.

Israel ndivyo walivyokuwa wanafanya inasemekana walipata taarifa za emails, passwords and everything za watumiaji wa kaspersky na documents za kutoshana na wakajua kuna udukuzi unaendelea.

Hapo niliwavulia kofia, lakini kumbe kuna wababe sijui walikuwa wapi muda wote huo.

Israel imekuwa hacked na yenyewe na sasa Israel anamnyooshea kidole Iran kwamba anahusika na udukuzi huo, kuna shambulizi walifanya juzi juzi hapa Iran.

Inaonekana kwamba udukuzi huo ulilenga kampuni ya usalama wa mtandao inayoitwa Portnox, ambayo yenyewe inaonekana kuwa mtoaji mkuu wa usalama wa mtandao kwa utawala wa Israeli, pamoja na Sekta ya Anga , kampuni la ndege la Israel, Shirika la mawasiliano la Israel(Bezeq kwa bongo tuseme TTCL) na Clalit Healthcare shirika kubwa Israel linalohusika na utoaji wa huduma za afya Israel, ambapo targets zote hizo zina uhusiano wa moja kwa moja na serikali ya Israeli, na mifumo ya ulinzi.

Ushahidi pia unaonyesha kuwa taarifa nyingi amabazo zimevujishwa zina habari za siri juu ya mitandao na kampuni za ulinzi za Israeli.

Msemaji wa kampuni nyingine ya usalama ya mtandao ya Israeli ya ClearSky alitangaza kuwa uharibifu uliofanywa na wadukuzi umesababisha uharibifu mkubwa kwa utawala wa Israeli, na ameelekeza kidole cha lawama kwa Iran kama asili ya shambulio hilo.

Hivi jamani waajemi tusiwachukulie poa, yaani wakaona kabisa waende kuhack company inayohusika na cybersecurity tena ya Israel, kweli kuna watu wababe.

Mwishoni mwa 2020 hapo, Iran ili hack kampuni zipatazo 80 za Israel, Iran wana ransomware anaitwa Pay2key ambaye ni hatari.
Lakini mapema tena mwaka huu 2021 Iran hao hao wamehack cybersecurity company ya Israel, inasemekana shambulizi la sasa halinma tofauti na huyo huyo ransomware anaitwa Pay2Key.

Sasa kwenye shambulizi hili la pili limejumuisha udukuzi wa websites zaidi ya 1000 za Israel zikionesha picha ya Tel-Aviv ikiwaka moto na ujumbe unaosema muda wa maangamizi unahesabika.

Pia katika baadhi ya computer hizo za cybersecurity company kumeonekana ujumbe unowataka walipe fidia ya pound 100,000 kupitia bitcoin ili kutopeleka taarifa hizo public.

Ukweli ni aibu kwa uongozi wa Israel wanajitapa kwamba ni wababe wa hizo kazi kumbe waajemi walikuwa wametulia tu, wazee wa Kidon mpooo😂😂😂😂.

Kuna professor mmoja Carlifornia amesema namnukuu...anaitwa Davidi Yaghoubian.

Ninaamini kuwa udukuzi huu wa hivi karibuni unaonyesha kuwa kweli mifumo yote iko hatarini kwa shambulio linaloweza kutokea na ikizingatiwa ukweli kwamba Israeli inajivunia sana juu ya teknolojia yake ya hali ya juu na usalama wake wa mtandao hii inathibitisha kuwa hata usalama wa mtandao wa Israeli unaweza kudukuliwa na kwa hilo inaibua swali kwanini ucheze na moto, wakati moto utapigwa vita na moto?

Chanzo cha habari haaretz cha Israel wenyewe.

View attachment 1666903

View attachment 1666905
Mwalabu hamna kitu pale anasingiziwa tu ili wapate sababu ya kumchapa vibao basi
 
Usije kushangaa kuwa hizo ni figisu za Israel kutaka kupata sababu ya kuishambulia Iran.Waisrael wasikie tu mkuu.
Israel wangekuwa wanatafuta sababu ya kuishambulia Iran wangejitangaza kwamba wamemuua Fakhrizadeh wao kama USA ilivyojitangaza kumuua Soleiman.
Au wangemwambia USA akae kimya na wao wajitangaze wamemuua Soleiman, moto ungewaka, usifikiri Israel hawajui nini kitawakuta.

kutafuta sababu kwa kujichafulia jina na uaminifu dhidi ya makampuni yao ya cyber security kuwa hacked kisa eti wanatafuta sababu ya kumpiga Iran hawezi kufanya hata siku moja.

Hizo kampuni za cyber zina wateja dunia nzima,sasa imagine hio hasara waliopata, wameonekana wa hovyo kwa wateja wao.
 
Back
Top Bottom