Kumekucha: Israel yashambulia kinu cha Nyuklia cha Iran

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,539
12,654

FB_IMG_1618197059908.jpg

FB_IMG_1618197037956.jpg

FB_IMG_1618197052073.jpg

FB_IMG_1618197045346.jpg

Picha hazihusiani na matukio:
Photos of Israeli AH-64 Apache attack Helicopters delivered precision guided missiles during combat...
 
Mkuu, hivi wanaposema cyber attack inamaanisha nini? Sasa hapo chopper gunships zinahusika vipi, ingawa unasema picha haziusiani na matukio, sasa inazibanfika hapa ukiwa na lengo la ku-pre empty kitu gani? Mnapenda penda sana ku- exaggerated mambo hasa yanayo husu Israel na maadui zake.

Serikali ya Iran inasema kilicho tokea ni power outage kutokana na kuingiliwa kwa mfumo wa kuzalisha umeme wa kuendeshea mitambo yao, hii si mara ya kwanza mitambo ya Iran ya kuzalishia plutonium kuingiliwa na virus na kuisabibishia uharibifu.

Hapa naona magazeti pamoja na vyombo vya habari vingine vya huko Israel vinaweka chumvi mno, eti "uharibifu ulikuwa mkubwa mno kuliko Iran inavyo sema/kili!"

Binafsi naona hujuma hizo zimetekelezwa na Israel intel agents au Wairan wasaliti wanao lipwa na Israel kuhujumu efforts za Iran kizalisha plutonium,kumbuka Iran ina raia-wengi wenye asili ya Israel/Jews kama ilivyo Taifa la Urusi kuna Jews wengi tu.

Hujuma hii bila shaka imetekelezwa na Israel baada ya kukasirishwa na utawala wa Merikani/Biden kutaka kuwa na mazungumzo na Iran yenye lengo la kuiondolea Iran vikwazo vya kiuchumi kama Wairan watakubali ku-comply na mashariti ya kusitisha vinu vyake kuzalishaji weapon grade Plutonium.

Ni wazi Biden na utawala wake hawawezi kukubali kuwa blackmailed na Natenyahu ambaye ni Waziri Mkuu wa Israel anae g'ang'ania kwenye madaraka na anatamani sana majeshi ya USA na washirika wake kuishambulia Iran.
 
Ww kweli kichwa ngumu

Wewe ndio kichwa kigumu,Ayotollah wahedi....Soma hapo chini:​

Habari​

HABARI ZA ULIMWENGU | 12.04.2021 | 10:00​

Iran yaituhumu Israel imehusika kushambulia kinu chake cha Nantanz​

Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema Israel inahusika na shambulizi dhidi ya mtambo wake wa kurutubisha madini ya Urani wa Nantanz na kuahidi kulipiza kisasi. Msemaji wa wizara hiyo Saeed Khatibzadeh akizungumza kwenye mkutano na waandishi habari amesema bila shaka Israel ilichukua hatua hiyo kujaribu kulipiza kisasi dhidi ya watu wa Iran kutokana na subira yao na mtazamo wao wa busara kuelekea suala la kuondolewa vikwazo vya Marekani. Kadhalika msemaji huyo wa Iran ameituhumu pia Israel japo sio moja kwa moja,kwamba inajaribu kuyavuruga mazungumzo yanayoendelea mjini Viena yakilenga kuyafufua makubaliano ya kimataifa ya kihistoria ya Nuklia. Shambulizi dhidi ya mtambo wa kurutubisha madini ya Urani wa Nantanz lilitokea jana Jumapili ikiwa ni siku moja baada ya Iran kusema imeanza kuongeza urutubishaji wa madini hayo katika mtambo wake huo
 
Kwani hio habari chanzo chake ni kutoka wapi? Alafu ulivyokua unapenda movies za Rambo ukatuletea chopa ili uwongo ukolee??
 
Hii ni habari ya zamani,sasa Iran imewatuhumu Israel kuhusika:
source:IDHAA YA KISWAHILI | DW
Yaaani unachukua uongo wa dw alaf unatuleta humu

Umeshaambiwa ni shoti ya umeme kidogo na jamaa aliesababisha hivyo ameshakamatwa

#Iran #Israel #Natanz
An informed official in the Iran's Ministry of Intelligence:
The identity of the person who caused the power outage of one of the halls of Shahid Ahmadi-Roshan Natanz Enrichment Complex has been identified.
/1

Na ngoma inaendelea kama kawaida yaani nonstop
 
Mkuu, hivi wanaposema cyber attack inamaanisha nini? Sasa hapo chopper gunships zinahusika vipi, ingawa unasema picha haziusiani na matukio, sasa inazibanfika hapa ukiwa na lengo la ku-pre empty kitu gani? Mnapenda penda sana ku- exaggerated mambo hasa yanayo husu Israel na maadui zake.

Serikali ya Iran inasema kilicho tokea ni power outage kutokana na kuingiliwa kwa mfumo wa kuzalisha umeme wa kuendeshea mitambo yao, hii si mara ya kwanza mitambo ya Iran ya kuzalishia plutonium kuingiliwa na virus na kuisabibishia uharibifu.

Hapa naona magazeti pamoja na vyombo vya habari vingine vya huko Israel vinaweka chumvi mno, eti "uharibifu ulikuwa mkubwa mno kuliko Iran inavyo sema/kili!"

Binafsi naona hujuma hizo zimetekelezwa na Israel intel agents au Wairan wasaliti wanao lipwa na Israel kuhujumu efforts za Iran kizalisha plutonium,kumbuka Iran ina raia-wengi wenye asili ya Israel/Jews kama ilivyo Taifa la Urusi kuna Jews wengi tu.

Hujuma hii bila shaka imetekelezwa na Israel baada ya kukasirishwa na utawala wa Merikani/Biden kutaka kuwa na mazungumzo na Iran yenye lengo la kuiondolea Iran vikwazo vya kiuchumi kama Wairan watakubali ku-comply na mashariti ya kusitisha vinu vyake kuzalishaji weapon grade Plutonium.

Ni wazi Biden na utawala wake hawawezi kukubali kuwa blackmailed na Natenyahu ambaye ni Waziri Mkuu wa Israel anae g'ang'ania kwenye madaraka na anatamani sana majeshi ya USA na washirika wake kuishambulia Iran.
Kwa hiyo wewe ndo msemaji wa iran?... Tuanzie hapo kwanza
 
Iran kwa mara nyingine anaonyeshwa kuwa ipo siku tutahack hiyo mitambo yenu vitu vitaruka vyenyewe bila kusetiwa......
 
Yaaani unachukua uongo wa dw alaf unatuleta humu

Umeshaambiwa ni shoti ya umeme kidogo na jamaa aliesababisha hivyo ameshakamatwa

#Iran #Israel #Natanz
An informed official in the Iran's Ministry of Intelligence:
The identity of the person who caused the power outage of one of the halls of Shahid Ahmadi-Roshan Natanz Enrichment Complex has been identified.
/1

Na ngoma inaendelea kama kawaida yaani nonstop
Mvaa kobaz hupooo? Sima iyo Linki hapo chini Natanz attack: Iran vows 'revenge' as foreign minister blames Israel
 
Back
Top Bottom