israel

  1. Webabu

    Wafuasi wa Palestina na Israel wapigana Canada

    Nchini Canada katika jiji la Montreal waungaji mkono wa Palestina na wale walio dhidi yao wanaounga mkono Israel wamepigana wakati wa maandamano na kupelekea waziri mkuu wa nchi hiyo kutoa tamko la kutovumiliwa kwa hali hiyo. Hii imekuja wakati waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu...
  2. F

    Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

    Kuna Sheikh mmoja Mecca Saudi Arabia anaheshimika sana na ni mtu wa Mungu ana miaka 98. Hata ameshawahi kuja kwenye mashindano ya dunia ya Quran Tanzania na Magufuli kuhudhuria. Huyu Sheikh alitabiri miaka ya nyuma Waarabu watakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutawanyika kama wakimbizi...
  3. Artifact Collector

    Israel isingekuwa na Iron dome defense system ingekuwa habari nyingine

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana unaofanywa maksudi na media na sijui kwanini. Mfano mpaka sahivi hamas amesharusha makombora zaid ya 1000+ Israel lakin kinachowasaidia Israel ni kuwepo kwa mfumo wa iron dome defense system. Hamas anaporusha Yale makombora yake achagui, tofauti na Israeli...
  4. Sam Gidori

    Anadolu Agency yatoa Ofisi zake za Gaza kwa Al Jazeera na AP

    Shirika la Habari linalomilikiwa na Serikali ya Uturuki, Anadolu Agency (AA) limetoa kibali cha kutumiwa kwa ofisi zake katika mji wa Gaza kwa Mashirika ya Habari ya Al Jazeera na Associated Press (AP) baada ya ofisi zao kuharibiwa na shambulio la kombora la Israel siku ya Jumamosi...
  5. Bulamba

    Nini kifanyike kumaliza mgogoro wa Israel na Palestine?

    KWA wale wataalamu wa siasa za kimataifa tunaomba kujuzwa kwa lugha nyepesi kiini cha mgogo wa GAZA baina ya Israel and Palestine uliozuka tena juzi na kupelekea zaidi wapalestina 174 kuuwawa wakiwamo watoto 47? Nini kifanyike kumaliza mzozo huu? Nani wa kulaumiwa? Nini nafasi ya jamii ya...
  6. MamaSamia2025

    Israel siyo taifa teule

    ISRAEL SIO TAIFA TEULE Natumaini mu wazima wote. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kwenye mambo mbalimbali. Leo nyundo yangu itagonga kwenye hii kauli kwamba Israel ni taifa teule na atakayeilaani Israel naye atalaaniwa pia atakaeibariki naye atabarikiwa. Ila kwanza...
  7. kianja kyamutwara

    Fukuto linaloendelea huko Mashariki ya Kati

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekua nikifuatilia kwa mda mzozo uliopo Mashariki ya Kati yaani Israel na Palestina, nimegundua inawezekana ikawa kweli Israel ni taifa teule kama wanavojinasibu kwa sababu zifuatazo: Ukisoma historia tangu kuasisiwa kwa taifa hili miaka ya 1948s mwaka...
  8. Wildlifer

    Israel na Palestina, ni mgogoro unaotokana na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa

    Watu wengi huuchukulia mzozo sa Israeli na Palestine kama wa kidini, lakini kiuhalisia ni mgogoro unaotokana hasa na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa i.e Geopolitics. Kwa dhana ya kidini pia mgogoro huu unatazamwa kuwa umeanza miaka zaidi ya 1,000, kiuhalisia umeanza miaka ya 1910...
  9. BAK

    Israel is committing War Crimes

    Israel has destroyed the tower block housing Al Jazeera and the Associated Press news agency in Gaza. They are doing this for one reason - to stop the truth being known about their assault on the Palestinian people. Share this and show the truth!
  10. Sam Gidori

    Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  11. Upepo wa Pesa

    JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua! Hiyo ni moja, mbili.. Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila...
  12. M

    Maadui walioizunguka Israel wako zaidi ya million 500 ni nini kinachowashinda kuifuta Israel?

    Inakuwaje wanajamvi! Israel kanchi kadogo tu kenye raia million 5 wayahudi ukiondoa milion moja waarabu. Imezungukwa na maadui zaidi ya milion 500wenye chuki kali na kuiombea mabaya na kutamani ifutike. Kitu gani kinawashinda hata kuvuka mpaka nakuingia Israel nakuifuta. Ni nini jamani...
  13. Sam Gidori

    Gaza: Mashambulizi ya makombora yaendelea, Idadi ya vifo vya Wapalestina yafikia 122

    Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka. Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
  14. kyagata

    Kwanini Jeshi imara kama Israel halina 4 stars General?

    Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina. Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3 Stars General) Kwa nin iko hivyo na wakati Majeshi ya Kiafrika ambayo ni very weak lakini yana mpaka...
  15. JERUSALEM 2006

    "The Iron Dome" Kama Taifa tunajifunza nini kwenye Teknolojia hii ya Israel?

    Haujambo Mwana Jamvi, Heri na hongera sana kwa sikukuu ya Eid-Al-fitr. Kwa niaba yangu binafsi nakutakia sherehe njema, ikawe heri na amani kwa upande wako. Eid Mubarak!!!! Mwaka 2006 viliibuka vita kati ya Israel na Lebanon. Lebanon ( Hezborah) ilivurumisha maelfu ya makombora katika anga ya...
  16. Trubarg

    Video: Wataalamu wa silaha tuzungumzie accuracy ya hizi ndege za Israel

    _Yani nga inalenga pale pale _ Hakuna jengo la jirani lililoathirika. Hii inawezekanaje...? _Na hawa wachukua video walijuaje kama hilo jengo linakuja kuripuliwa?
  17. sky soldier

    Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

    Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani. Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio...
  18. C

    Mgogoro kati ya Israel na Palestine

    Leo asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari nimepata update ya nini kinachoendela huko mashariki ya kati. Taarifa inasema Palestine wamelusha makombora zaidi ya alfu moja kwenda Israel. Mfumo wa iron dome wa kuzuia makombora wa Israel uliweza kuzuia kwa kiwango kidogo, na yaliyo weza...
  19. sky soldier

    Hii picha ina ukweli wowote kwa kinachoendelea Gaza Israel

    Hamas,fatah na Palestine organisation siraha zao huziweka kwenye makazi ya watu,hata wakitaka kufanya mashambulizi,rocket launcher zao huzifyaturia kwenye makazi ya watu wengi,Ili watu hao na makazi yatumike kama ngao dhidi ya Israel,wao hutegemea wakiwaweka Raia wakawaida mbele,Israel...
  20. M

    Tuko tayari kwenda Israel kuilinda Iwapo tutahitajika

    Inakuwaje wanajamvi, Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari. Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Afrika Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu. Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human...
Back
Top Bottom