israel

  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mikataba haikuanza leo, ni miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa kristo, angalia mkataba huu kati ya Israel na Lebanon ndio utaujuwa ukweli

    MKATABA WA KALE WA KIUCHUMI KATI YA ISRAEL NA LEBANON U SAWA NA MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DUBAI? Mkataba wa kwanza wa kimataifa kurekodiwa katika Biblia ni Mkataba wa kiuchumi baina ya Israeli na Lebanon uliosaniwa mwaka c. 950 BK (miaka 2973 iliyopita). Mkataba ule ulihusu Lebanon...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Waarabu sasa ndio wananunua silaha nyingi kutoka Israel

    Jameni Waswahili mlioaminishwa na mwarabu kuichukia Israel, tambueni hali imebadilika kule, mwarabu amesalimu amri, ananunua silaha kutoka Israel tena kwa gharama kubwa sana. ============ Israeli defence exports hit an all-time high of $12.5 billion last year, with Arab countries that recently...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kutumia dola bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel.

    Ujerumani inapanga kutumia kiasi cha dola za kimarekani bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel. --- Germany is one step closer to acquiring Israel's Arrow-3 missile defence system. The German government has expressed its willingness to buy the...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Israel Adesanya: Girlfriend adai nusu ya mali kwa kukaa muda mrefu kwenye mahusiano

    Aliyekuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte Powdrell amemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano. Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika...
  5. Exile

    JamiiForums Tanzania Israel yamuua kamanda wa kundi wa Islamic Jihad huko Gaza

    Shambulio la anga la Israel la mapema alfajiri limemuua kamanda mkuu wa kundi la Islamic Jihad (PIJ) na wanamgambo wengine wawili mjini Gaza. Ndege ya kivita ilishambulia ghorofa ya tano ya jengo la makazi la Hamad , karibu na Khan Younis kusini mwa eneo hilo. Siku ya Jumatano wanamgambo huko...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

    Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika Tuliza kicha tafakari hili swali Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran walipanga ugaidi dhidi ya Israel, hawa ndio wanataka waachiwe wajihami kwa nyuklia

    Taarifa zimeibuka za namna Iran iliwasaidia magaidi wa kidini kushambulia Israel kwa rockets, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa, hili taifa la Iran hulia lia likitaka liachiwe lijihami kwa nyuklia..... Esmail Qaani, who leads Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps’ elite Quds Force, has...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

    Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine. Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na...
  9. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania UFC 287: Israel Adesanya vs Alex Pereira II. Stylebender akipoteza itakuwa mwisho wa career yake UFC (?)

    Pambano ni Jumapili tarehe 9 April, 2023. 5:00 AM GMT Israel Adesanya aka The Last Stylebender Record: 23-2-0 HEIGHT: 6' 4" WEIGHT: 185 lbs REACH 80" STANCE: Switch DATE OF BIRTH: Jul 22, 1989 NATIONALITY: NIGERIA/NEW ZEALAND Ikumbukwe pambano lililopita UFC 281 Israel Adesanya alipoteza...
  10. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

    Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini. Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu. Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo...
  11. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laua Wapalestina 10 huko Ukingo wa Magharibi

    Vikosi vya Israel vimewauwa Wapalestina tisa, wakiwemo watatu waliojihami kwa silaha, raia watatu, na kuwajeruhi wengine zaidi ya 90, katika Ukingo wa Magharibi. Watu walioshuhudia na madaktari wamesema kuwa mauaji hayo yamefanyika katika operesheni iliyoendeshwa kwenye eneo tete, lenye...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

    Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao. But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan...
  13. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

    Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine. Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu pekee, ambao nchi hiyo imekuwa ikiutoa kwa Ukraine tangu mwanzoni mwa vita. Kulingana na Netanyahu...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Israel: Zaidi ya Watu 80,000 waandamana kupinga Serikali kupunguza Mamlaka ya Mahakama

    Maandamano hayo yamekuja siku chache baada ya Serikali mpya ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kupendekeza Marekebisho yatakayoruhusu Bunge kubatilisha maamuzi yoyote ya Mahakama ya Juu. Wakosoaji wanasema mageuzi hayo yatalemaza Uhuru wa Mahakama, Kustawisha Ufisadi, Kurudisha Nyuma Haki za...
  15. jerrytz

    JamiiForums Tanzania Operesheni ThunderBolt: Mkakati wa Kuokoa Mateka wa Israel Entebe - Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yalia lia na kulaumu Israel kwa masaibu yanayoikumba

    Maandamano yanaendelea Iran ya kupinga dhuluma za dini ya kiislamu, huku serikali ikiua wananchi, ila wakuu wa nchi wanalaumu Israel kwa yale yanayoendelea... ===================== "Various security services, the fake Israeli regime and some Western politicians have planned a civil war...
  17. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Vifaa made in Israel vyakutwa kwenye Drone za Iran

    Patashika la mbwai iwe mbwai tu... Ukrane imeanza kuzibomoa drone zote ilizoziangusha vitani ambazo zinatumiwa na Russia kuharibu miundo mbinu ya kiraia ambazo zinasemekana zimetengenezwa nchini Iran... baada ya Mvutano mkubwa na Nchi ya Kiislam ya Iran kugoma na kuzikana Drone zake kuwa...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupigwa mapambano matatu mfululizo, Israel Adesanya aomba warudiane (rematch) kwa mara ya nne

    Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo. Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex. Izzy anachotafuta ni aibu zaidi, akubali tu kwamba Alex ni level nyingine lasivyo ataharibiwa career yake.
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwisha habari yake: Israel Adesanya apigwa kwa mara ya tatu mfululizo na Alex Perreira

    Alex kamshushia kipigo Israel Adesanya kwa pambano la tatu mfululizo, Katika pambano hili tuliamini kwamba Israel anaenda kulipiza kisasi lakini kilichotokea kapigwa K.O ya aibu sana, kapewa makonde ya kutosha mpaka ikabidi refa amalize pambano, Kwa kuhitimisha ni Kwamba Israel hamuwezi Alex...
  20. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Nani alimuua Yasser Arrafat?

    Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au kunya Abu Ammar. Huyu mwamba alililiwa machozi ya kweli kutokana na kuwaacha wapalestina katika kipindi...
Back
Top Bottom