Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,883
109,212
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran.

Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai" sana Biden mara kadhaa. Alipotembelea Saudi Arabia miaka miwili nyuma alidharauliwa sana na MBS. Kafanya donge. Kumbuka MBS anawiza sana na Trump.

Kama hiyo haitoshi, Saudi Arabia kuikomowa USA, kaanza kukata biashara kwa kiwango kikubwa na USA na kahamia China na Urusi, kajiunga mpaka BRICS

MBS na Biden, picha haziendi kabisa toka Biden kaingia madarakani. Kwa mnaofatilia siasa za duniani, hilo haliwapi shida, lipo wazi kabisa.

Siamini kuwa kikundi kidogo kama Hamas, kiweze kufanya mashambulizi yale ya tarehe 7/10 bila Wayahudi kujuwa. Ile ni mipango iliyopangwa ikasukika kama ya 9/11, matokeo ya 9/11 ikavamiwa Iraq na Afghanistan. ikapigwa Sudan, Ikapigwa na kusambaratishwa Libya, zote hizo hazikuwa na hatia yoyote 9/11.

Saudi Arabia iliyosemekana vijana wake ndiyo waliohusika kwa zaidi ya 90% na shambulio la 9/11 haikuguswa kabisa bali ikawa inatemeshwa fedha zote za vita vya Iraq na Afghanistan, kibabe, ikipenda isipende.

MBS alivyogoma tu kutowa fedha na kubadilisha msimamo wake kwa kuwa yenyewe ilikuwa inakabiliwa na janga la Yemen, USA na NATO hawakubaki Afghanistan, wakajiondowa Afghanistan mbiombio.

MBS na Saudi Arabia ndiyo wanaoonekana nuksi kwa USA na NATO sasa hivi, Israel na Palestina wanatumika kama "proxy" tu.

Sasa hivi uchokozi wote uanelekezwa Saudi Arabia, wanatiwa uchungu Waarabu na Waislam waishinikize Saudi Arabia ijiingize kwenye mzozo liwageukie. Anachotakiwa Saudi Arabia sasa hivi ni arushe japo risasi moja au aseme hovyo tu aanze kutandikwa mpaka MBS aondolewe kabisa ili USA waweke vibaraka wao Saudi Arabia.

Bila MBS kuondoka Saudi Arabia, kwa hiyari au kwa nguvu, na vibaraka wa 'hewala bwana' kwa USA kuwepo, Israel na Palestina vita havitosimama elo wala kesho.

Hilo MBS alilielew, siyo mjinga, alipomfanyia ujeuri tu USA, tukaanza kuona, miaka miwili mitatu sasa, Saudi Arabia inajiingiza kwa nguvu kwenye uhusiano na Urusi na China. Tusishangae tukoona pia anaingia uhusiano na Kiduku.

Tanzania kama nchi tunatakiwa tuchukuwe fursa zilizopo za kinachoendelea hivi sasa. Tuendelee kulaani mauwaji ya raia wasio na hatia na tuendelee kubaki hatufungamani na upande wowote, huku tukizitumia fursa kuzifanya faida (Resilience).
 
Ngoja tuone
Tusingije tu, tuzitumie fursa kwa faida yetu (Resilience).

Elewa kuwa mambo kama haya yakitokea, Diplomasia ya hali ya juu huwepo wakati wote. Si umeona juzi Palestina wanataka kutuanzishia viwanja vya michezo, tusiviwache.

Ujuwe na saudi rabia, na Israel na USA na NATO Diplomasia sasa hivi ni ingia toka, utakuta January na wizara yake sasa hivi wapo bize kupita maelezo, kila mmoja anataka support kivyake, na nchi zetu wanazijuwa jjaa kali, tuzitumie fursa.

usizubae kwa kusema "ngoja tuone". Punguwani wahed.
 
Kinachoipa shida US ni kitendo cha waarabu kuwa na muelekeo wa kuungana, hiyo ni shida sana.

Na tayari Iran na Saudia wana muelekeo wa kuungana. Na endapo waarabu wote wakiungana, yale mataifa makubwa Iran, Saudia, Egypty itakuwa ngumu sana kwa US kuleta chokochoko zozote middle east na hii itapelekea Israel kuwa kwenye hatari kubwa sana ya kiusalama
 
inaelekea hata geo politics na kinachoendelea haukielewi, lengo lote ni iran, iran ndiye anayetafutwa, saudia ni mshirika wa USA na west against iran, israel na saudia wameshaingia pact na saudia anaitambua israel rasmi hata waarabu wa uae pia wako na saudia against iran, labda watakuja kumchukuwa na rostamu pia tupumue, pure evil, …
 
Kinachoipa shida US ni kitendo cha waarabu kuwa na muelekeo wa kuungana, hiyo ni shida sana.

Na tayari Iran na Saudia wana muelekeo wa kuungana. Na endapo waarabu wote wakiungana, yale mataifa makubwa Iran, Saudia, Egypty itakuwa ngumu sana kwa US kuleta chokochoko zozote middle east na hii itapelekea Israel kuwa kwenye hatari kubwa sana ya kiusalama
Bahati mbaya sana hakuna watu wanafiki kama waarabu.Hii ya kuungana haitokaa itokee.Wangekuwa si wanafiki pengine wangekuwa wanatoa upinzani mkubwa sana kwa Israel.Ule muungano wa 1967 uliowaacha wamepigwa vibaya uliwavunja moyo na haitokaa itokee tena wajaribu.Kila mtu kwa huu mgogoro anasogeza kete yake kwa ajili ya manufaa yake binafsi na uzuri US anawajulia udhaifu wao.
 
Hapo Israeli huwa analindwa kwa gharama zozote ,
 
Bahati mbaya sana hakuna watu wanafiki kama waarabu.Hii ya kuungana haitokaa itokee.Wangekuwa si wanafiki pengine wangekuwa wanatoa upinzani mkubwa sana kwa Israel.Ule muungano wa 1967 uliowaacha wamepigwa vibaya uliwavunja moyo na haitokaa itokee tena wajaribu.Kila mtu kwa huu mgogoro anasogeza kete yake kwa ajili ya manufaa yake binafsi na uzuri US anawajulia udhaifu wao.
Irani sio waarabu, ni waajemi
 
Hii vita hadi iishe kila mwenye kusema atakuwa keshasema lake. Vita vinachambuliwa kama mechi za soka.
Uchambuwe uwe na ushaihid wa unavyochambuwa, siyo kukurupuka tu. Jisomee:

Biden avoids a handshake with Saudi crown prince, but fist bump doesn't go over well​

Updated July 15, 20224:40 PM ET
Headshot of Scott Detrow, 2018
Scott Detrow
ap22196597737533-1--028629364dbc38950194bc5555f41dfd5a50a6b7-s1100-c50.jpg

In this photo released by the Saudi Press Agency, Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman and President Biden bump fists as they begin meetings in Jeddah.
Saudi Press Agency/AP
In the end, President Biden went with a fist bump.
Biden greeted Saudi Arabia's Crown Prince Mohammad bin Salman with an outstretched closed fist when he arrived on Friday at Al-Salam Royal Palace for meetings with bin Salman and his father, Saudi Arabia's King Salman.
Biden will visit Saudi Arabia in July, a nation he had once called a 'pariah'

MIDDLE EAST

Biden will visit Saudi Arabia in July, a nation he had once called a 'pariah'

The greeting had been a question of intense speculation leading up to the controversial meeting in Saudi Arabia. When running for president, Biden had vowed to treat the country as a "pariah," due to a long string of human rights abuses, including the murder of Washington Post journalist Jamal Khashoggi – a killing in a Saudi operation that U.S. intelligence assessed had been approved by the crown prince.
 
hkuna
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran.

Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai" sana Biden mara kadhaa. Alipotembelea Saudi Arabia miaka miwili nyuma alidharauliwa sana na MBS. Kafanya donge. Kumbuka MBS anawiza sana na Trump.

Kama hiyo haitoshi, Saudi Arabia kuikomowa USA, kaanza kukata biashara kwa kiwango kikubwa na USA na kahamia China na Urusi, kajiunga mpaka BRICS

MBS na Biden, picha haziendi kabisa toka Biden kaingia madarakani. Kwa mnaofatilia siasa za duniani, hilo haliwapi shida, lipo wazi kabisa.

Siamini kuwa kikundi kidogo kama Hamas, kiweze kufanya mashambulizi yale ya tarehe 7/10 bila Wayahudi kujuwa. Ile ni mipango iliyopangwa ikasukika kama ya 9/11, matokeo ya 9/11 ikavamiwa Iraq na Afghanistan. ikapigwa Sudan, Ikapigwa na kusambaratishwa Libya, zote hizo hazikuwa na hatia yoyote 9/11.

Saudi Arabia iliyosemekana vijana wake ndiyo waliohusika kwa zaidi ya 90% na shambulio la 9/11 haikuguswa kabisa bali ikawa inatemeshwa fedha zote za vita vya Iraq na Afghanistan, kibabe, ikipenda isipende.

MBS alivyogoma tu kutowa fedha na kubadilisha msimamo wake kwa kuwa yenyewe ilikuwa inakabiliwa na janga la Yemen, USA na NATO hawakubaki Afghanistan, wakajiondowa Afghanistan mbiombio.

MBS na Saudi Arabia ndiyo wanaoonekana nuksi kwa USA na NATO sasa hivi, Israel na Palestina wanatumika kama "proxy" tu.

Sasa hivi uchokozi wote uanelekezwa Saudi Arabia, wanatiwa uchungu Waarabu na Waislam waishinikize Saudi Arabia ijiingize kwenye mzozo liwageukie. Anachotakiwa Saudi Arabia sasa hivi ni arushe japo risasi moja au aseme hovyo tu aanze kutandikwa mpaka MBS aondolewe kabisa ili USA waweke vibaraka wao Saudi Arabia.

Bila MBS kuondoka Saudi Arabia, kwa hiyari au kwa nguvu, na vibaraka wa 'hewala bwana' kwa USA kuwepo, Israel na Palestina vita havitosimama elo wala kesho.

Hilo MBS alilielew, siyo mjinga, alipomfanyia ujeuri tu USA, tukaanza kuona, miaka miwili mitatu sasa, Saudi Arabia inajiingiza kwa nguvu kwenye uhusiano na Urusi na China. Tusishangae tukoona pia anaingia uhusiano na Kiduku.

Tanzania kama nchi tunatakiwa tuchukuwe fursa zilizopo za kinachoendelea hivi sasa. Tuendelee kulaani mauwaji ya raia wasio na hatia na tuendelee kubaki hatufungamani na upande wowote, huku tukizitumia fursa kuzifanya faida (Resilience).
hakuna taifa lina ujasiri wa kuvamia ndani ya Saudi arabia. hakuna vita itapiganwa ndani ya Saudi arabia hadi dunia inaisha
 
Back
Top Bottom