Wanaukumbi.
Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran 😭
Kwa mujibu wake, ametengwa kimataifa sasa. Yeye mwenyewe alitoa orodha hii 👇
🇰🇷 Korea Kusini haikumsaidia
🇯🇵 Japani haikumsaidia
🇦🇺 Australia haikumsaidia
🇦🇱 Albania haikumsaidia
🇧🇪...
Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao
Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa
Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa
Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
Israel ni taifa dogo sana sawa na mkoa wa Morogoro kila siku wanarusha ndege kwenda Iran na Wanarudi, Kila siku makombora yanaanguka kwenye miji yao lakini umeme, maji, mafuta na huduma zote za kijamii haziathiriki.
Tanzania na Waafrika tuna mataifa makubwa yanakila kitu lakini hata vyanzo vya...
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan
Afisa wa ngazi ya juu wa Iran alisema Tehran haitafungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz kwa kubadilishana na usitishaji mapigano kwa muda na anaamini kwamba Marekani "haina utayari wa kusitisha...
Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja.
Kwanza kabisa, Yesu...
Nimezungumza humu JF kuhusu Serikali kupiga Marufuku Dini. Basis kubwa ya dai hilo ni Unabii wa Biblia tafadhali soma Ufunuo Sura 17. Sura hiyo kwa lugha ya mfano inamtambulisha mwanamke kahaba na pia inamtaja kuwa ni Babilon Mkuu (kitovu cha mafundisho ya uongo yanayokinzana na Mungu).
Ingawa...
Jamaa amechafukwa, ameingiwa na mzuka anatukana na kutoa onyo kama kesho jumatatu itapita bila Iran kuachia mfereji, ataangusha humo mavitu ambayo mpaka leo Iran hawajawahi kuyaona, nchi itakua kiza tupu kote, atapiga umeme na madaraja yote na kurudisha Iran mbali............
Warning: The below...
Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake unafika lita 170 maana ujazo una expand
garama za kusafisha ni $1 kwa lita, cha kuganya ili kumaximize...
Ukiziondoa nchi Kama Spain,India,Brazil na South Africa ambazo zimejitenga na uongo na unafiki wa dunia.
Nchi nyingi duniani zimeonyesha unafiki na mnafiki mkuu wa hii duniani ni Marekani.
Imagine nchi inayoitwa ya kidemocrasia baba wa democracy mpaka Sasa vita mwezi kafukuza majenerali 8...
Maelezo kuhusu operesheni ya uokoaji kulingana na vyombo vya habari vya Marekani na Iran:
Rubani wa Marekani alijificha kwenye kilima kilichoinuliwa katika eneo la milimani na misitu ambapo alitua. Alitembea kwa miguu mbali na mahali aliposhuka kwa parachuti kisha akawasha Signal ya kuonyesha...
Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
Yaani kama movie vile, marubani wote wawili wameokolewa ndani ya ardhi ya Iran, hainingii akilini kwamba makobaz wamechapika kiasi cha kushindwa hata kujishikia hao marubani wawili. Hata hivyo Marekani mbona walitumia ndege ya F-15 ambayo ni non-stealth mode, kwa sasa waendelee kupiga kwa F-35...
Ripoti: Marekani Yazindua Misheni ya Uokoaji Yenye Hatari Kubwa nchini Iran Kufuatia Ndege ya Kivita Iliyoangushwa
Katika saa za hivi karibuni, Marekani imeanzisha operesheni ya uokoaji ili kurejesha mabaki ya ndege ya kivita ya F-15E iliyoangushwa nchini Iran siku moja mapema ili kuzuia...
Watu wazima wakifa vitani huwa mnasema watapewa mabikira 72, sasa je hawa watoto, hamuoni kama itakua child pornography kuwapa mabikira kule, maana wanatumika kushika doria na kufia huko....
============
An 11-year-old Iranian boy killed in recent fighting was at a Revolutionary Guard...
US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa
Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita
⚡️BREAKING
The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused
United States is...
One of two US pilots in the F-15 fighter jet which went down in Iran has been rescued by American forces, NBC News reports.
The two-seater plane went down over Iran earlier today, our US partner network reported earlier, citing two American officials.
A US official now tells NBC one of the...
Vikosi vya usalama vya Iran vinadaiwa kuanza kuajiri watoto wenye umri wa kuanzia miaka 12 ili kusimamia vituo vya ukaguzi (checkpoints) na kufanya majukumu mengine ya kijeshi.
Kwa mujibu wa afisa wa kijeshi wa Iran aliyezungumza na televisheni ya taifa:
Serikali imeanzisha kampeni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.