Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,612
- 15,349
Kombe la Dunia la FIFA 2026, mashindano makubwa ya kimataifa ya soka, yanaanza rasmi Juni 11, 2026 na kuleta pamoja timu bora za Taifa kutoka duniani kote. Kwa mara ya kwanza katika historia, mashindano haya yanaandaliwa kwa ushirikiano wa nchi tatu: Marekani, Canada, na Mexico.
Idadi ya timu imeongezeka kutoka 32 hadi 48, hatua inayolenga kutoa nafasi zaidi kwa mataifa mengi kushiriki na kuongeza ushindani.
FIFA yazindua mpira rasmi ‘Trionda’ wa Kombe la Dunia 2026
Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) limezindua mpira maalum utakaotumika kwenye fainali za kombe la Dunia zitakazoanza kufanyika kuanzia mwezi juni mwaka 2026.
Mpira huo umepewa jina la Trionda huku ukiwa na muonekano wa kipekee wa rangi za nchi ya Canada,Mexico na Marekani huku ndani yake ukiwa na sensa (Sensor) ya 500Hz inayotoa taarifa za mienendo yote ya mpira.
===
The TRIONDA name is an amalgamation of the term "tri-" (for the co-hosts) and the Spanish word onda, meaning wave or vibe. Now we have the full details on the ball that will be used at all 104 matches across the 16 host cities next summer.
The name also follows the adidas tradition of naming the official World Cup balls, which the brand has been designing and supplying for each edition of the tournament since 1970.
A sensor chip will be mounted on the inside of the 2026 World Cup ball (courtesy: adidas)
The ball, composed of four panels, features a side-mounted motion sensor chip on the inside that will relay data to each game's VAR and video match officials, aimed to assist in faster decisions, including offside and possible handballs.
"We can track every event, every interaction the player has with the ball. Every location at any given moment is being tracked by a local positioning system," said Hannes Schaefke, Football Innovation Lead for adidas. "So this sensor essentially sends a signal 500 times per second, to anchor points around the stadium, which is generally pretty cool."
The three other panels of the ball also serve as a counterbalance to the one that includes the chip. It is also a change in design to the 2022 World Cup ball used in Qatar, which had a suspension system in the middle for the chip.
Source: Foxsports.com
Katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, kuna makundi 12.
Kila kundi linakuwa na timu 4, jumla ikiwa ni timu 48 badala ya timu 32 kama awali.
Timu zitacheza hatua ya makundi, kisha timu bora zitaendelea kwenye hatua ya mtoano (knockout stage).
KUNDI A
Kundi A linajumuisha timu za Mexico, Afrika Kusini, Korea Kusini pamoja na nafasi ya nne itakayojazwa na moja kati ya Denmark, North Macedonia, Jamhuri ya Czech au Ireland.
Kundi A:
Baada ya miaka 52 kupita, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wamefuzu tena kushiriki World Cup. Hii itakuwa mara yao ya pili kushiriki michuano hiyo, mara ya kwanza ilikuwa 1974 huko Ujerumani tena wakati huo nchi yao ilikuwa ikiitwa Zaire. Sasa wamepangiwa kundi K pamoja na Portugal na Colombia.
Mijadala mingine kuhus Kombe la Dunia;
Idadi ya timu imeongezeka kutoka 32 hadi 48, hatua inayolenga kutoa nafasi zaidi kwa mataifa mengi kushiriki na kuongeza ushindani.
Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) limezindua mpira maalum utakaotumika kwenye fainali za kombe la Dunia zitakazoanza kufanyika kuanzia mwezi juni mwaka 2026.
Mpira huo umepewa jina la Trionda huku ukiwa na muonekano wa kipekee wa rangi za nchi ya Canada,Mexico na Marekani huku ndani yake ukiwa na sensa (Sensor) ya 500Hz inayotoa taarifa za mienendo yote ya mpira.
===
2026 World Cup Ball Revealed! Inside the Details of 'TRIONDA'
The adidas FIFA World Cup 2026 official match ball was officially revealed on Thursday, which highlights and features the three nations – Canada, Mexico, and the U.S. – that will host the tournament next year.The TRIONDA name is an amalgamation of the term "tri-" (for the co-hosts) and the Spanish word onda, meaning wave or vibe. Now we have the full details on the ball that will be used at all 104 matches across the 16 host cities next summer.
The name also follows the adidas tradition of naming the official World Cup balls, which the brand has been designing and supplying for each edition of the tournament since 1970.
Connected Ball Technology
And while there's lots going on with the outside of the ball, there are also plenty of interesting intricacies on the inside.A sensor chip will be mounted on the inside of the 2026 World Cup ball (courtesy: adidas)
"We can track every event, every interaction the player has with the ball. Every location at any given moment is being tracked by a local positioning system," said Hannes Schaefke, Football Innovation Lead for adidas. "So this sensor essentially sends a signal 500 times per second, to anchor points around the stadium, which is generally pretty cool."
The three other panels of the ball also serve as a counterbalance to the one that includes the chip. It is also a change in design to the 2022 World Cup ball used in Qatar, which had a suspension system in the middle for the chip.
Source: Foxsports.com
Katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, kuna makundi 12.
Kila kundi linakuwa na timu 4, jumla ikiwa ni timu 48 badala ya timu 32 kama awali.
Timu zitacheza hatua ya makundi, kisha timu bora zitaendelea kwenye hatua ya mtoano (knockout stage).
KUNDI A
Kundi A linajumuisha timu za Mexico, Afrika Kusini, Korea Kusini pamoja na nafasi ya nne itakayojazwa na moja kati ya Denmark, North Macedonia, Jamhuri ya Czech au Ireland.
Kundi A:
- Mexico
- Afrika Kusini
- Korea Kusini
- Jamhuri ya Czech
- Kanada
- Bosnia
- Qatar
- Switzerland
- Brazil
- Morocco
- Haiti
- Scotland
- USA
- Paraguay
- Australia
- Uturuki
- Ujerumani
- Curaçao
- Ivory Coast
- Ecuador
- Uholanzi
- Japani
- Sweden
- Tunisia
- Ubelgiji
- Misri
- Iran
- New Zealand
- Hispania
- Cape Verde
- Saudi Arabia
- Uruguay
- Ufaransa
- Senegal
- Iraq
- Norway
- Argentina
- Algeria
- Austria
- Jordan
- Portugal
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- Uzbekistan
- Colombia
- Uingereza
- Croatia
- Ghana
- Panama
Baada ya miaka 52 kupita, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wamefuzu tena kushiriki World Cup. Hii itakuwa mara yao ya pili kushiriki michuano hiyo, mara ya kwanza ilikuwa 1974 huko Ujerumani tena wakati huo nchi yao ilikuwa ikiitwa Zaire. Sasa wamepangiwa kundi K pamoja na Portugal na Colombia.
Mijadala mingine kuhus Kombe la Dunia;
- Iran yataka kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani
- Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026
- FIFA yakataa ombi la Iran la kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani
- Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026
- Mataifa matano Afrika yanapaswa kuilipa Marekani dola 15,000 kwa shabiki mmoja Kombe la Dunia