iran

  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wakristo mnaoishangilia Israeli inapoipiga Iran, mnakosea sana

    Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja. Kwanza kabisa, Yesu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kama Kulivyo Kupotea kwa Utawala wa Kiayatollah Iran, ndivyo Inaelekea Kupotea kwa Ufalme wa Uingereza

    Nimezungumza humu JF kuhusu Serikali kupiga Marufuku Dini. Basis kubwa ya dai hilo ni Unabii wa Biblia tafadhali soma Ufunuo Sura 17. Sura hiyo kwa lugha ya mfano inamtambulisha mwanamke kahaba na pia inamtaja kuwa ni Babilon Mkuu (kitovu cha mafundisho ya uongo yanayokinzana na Mungu). Ingawa...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Baada ya ushindi wa kuokoa rubani, Trump aingiwa na mzuka na kutukana na kusema anaipa Iran hadi jumanne

    Jamaa amechafukwa, ameingiwa na mzuka anatukana na kutoa onyo kama kesho jumatatu itapita bila Iran kuachia mfereji, ataangusha humo mavitu ambayo mpaka leo Iran hawajawahi kuyaona, nchi itakua kiza tupu kote, atapiga umeme na madaraja yote na kurudisha Iran mbali............ Warning: The below...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza biashara ya mafuta kipindi hiki cha mzozo wa Iran vs Israeli-Marekani

    Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake unafika lita 170 maana ujazo una expand garama za kusafisha ni $1 kwa lita, cha kuganya ili kumaximize...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Hii vita ya Marekani na Washirika wake dhidi ya Iran ndio imeonyesha siasa ni unafiki duniani kote

    Ukiziondoa nchi Kama Spain,India,Brazil na South Africa ambazo zimejitenga na uongo na unafiki wa dunia. Nchi nyingi duniani zimeonyesha unafiki na mnafiki mkuu wa hii duniani ni Marekani. Imagine nchi inayoitwa ya kidemocrasia baba wa democracy mpaka Sasa vita mwezi kafukuza majenerali 8...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Operation ya uokozi ya Mareka & Israel huko Iran!!!

    Maelezo kuhusu operesheni ya uokoaji kulingana na vyombo vya habari vya Marekani na Iran: Rubani wa Marekani alijificha kwenye kilima kilichoinuliwa katika eneo la milimani na misitu ambapo alitua. Alitembea kwa miguu mbali na mahali aliposhuka kwa parachuti kisha akawasha Signal ya kuonyesha...
  7. mager6

    JamiiForums Tanzania Yote 9 Jicho langu likamuangukia Iran

    Wakuu mchuano wa world cup unavutia unapoona iran anakipiga jirani na nchi hasimu si mchezo
  8. H

    JamiiForums Tanzania Uokozi wa Afisa wa Silaha wa USA wa Ndege Iliyodunguliwa, Iran Yafanya Makosa Makubwa, na Kusababisha Vifo vya Raia

    Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu sasa, US wameingia Iran na kumuokoa rubani wa pili

    Yaani kama movie vile, marubani wote wawili wameokolewa ndani ya ardhi ya Iran, hainingii akilini kwamba makobaz wamechapika kiasi cha kushindwa hata kujishikia hao marubani wawili. Hata hivyo Marekani mbona walitumia ndege ya F-15 ambayo ni non-stealth mode, kwa sasa waendelee kupiga kwa F-35...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

    Ripoti: Marekani Yazindua Misheni ya Uokoaji Yenye Hatari Kubwa nchini Iran Kufuatia Ndege ya Kivita Iliyoangushwa Katika saa za hivi karibuni, Marekani imeanzisha operesheni ya uokoaji ili kurejesha mabaki ya ndege ya kivita ya F-15E iliyoangushwa nchini Iran siku moja mapema ili kuzuia...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Iran Ina Nuclear

    https://youtu.be/_dAsorlGnSQ?si=5CwpsY0-I6MoDHH7
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Hawa watoto wa Iran wanaohusishwa vitani na Iran hatima yao vipi

    Watu wazima wakifa vitani huwa mnasema watapewa mabikira 72, sasa je hawa watoto, hamuoni kama itakua child pornography kuwapa mabikira kule, maana wanatumika kushika doria na kufia huko.... ============ An 11-year-old Iranian boy killed in recent fighting was at a Revolutionary Guard...
  13. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Marekani yaomba Ceasefire kwa masaa 48, Iran yakataa

    US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita ⚡️BREAKING The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused United States is...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa rubani wa ndege ya Marekani iliyotunguliwa na Iran aokolewa akiwa mzima

    One of two US pilots in the F-15 fighter jet which went down in Iran has been rescued by American forces, NBC News reports. The two-seater plane went down over Iran earlier today, our US partner network reported earlier, citing two American officials. A US official now tells NBC one of the...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Iran yatangaza kuiangusha ndege ya kivita ya Marekani, Mmoja wa viongozi wa Marekani athibitisha

    Iran imetangaza imefanikiwa kuidondosha ndege ya kivita ya Marekani Kwa majibu wa Iran, kwa sasa juhudi zinafanyika kuwasaka marubani wa hiyo ndege, huku ikitangaza donge nono kwa atakayefanikisha jambo hilo Wakati huo huo mmoja wa maofisa wa Marekani amethibitisha shirika la habari la Reuters...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Sasa rasmi Ndege-vita F-15E ya Marekani yaangushwa huko Iran!!

    🚨: Marekani Yathibitisha Ndege ya Kivita Kudunguliwa kwenye anga ya Iran Serikali ya Marekani imethibitisha kwamba moja ya ndege zake za kivita ilidunguliwa Juu ya eneo la Iran. •Operesheni ya utafutaji na uokoaji inaendelea kuwatafuta marubani •Hii inaashiria ongezeko kubwa la ajali, kwani ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Iran imeishiwa pumzi, Watoto wa shule ya msingi waandikishwa vitani wakianganywa pepo moja kwa moja wakifa

    Vikosi vya usalama vya Iran vinadaiwa kuanza kuajiri watoto wenye umri wa kuanzia miaka 12 ili kusimamia vituo vya ukaguzi (checkpoints) na kufanya majukumu mengine ya kijeshi. Kwa mujibu wa afisa wa kijeshi wa Iran aliyezungumza na televisheni ya taifa: Serikali imeanzisha kampeni ya...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akitoa taarifa kuhusu Iran

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa Kirya: Pamoja na marafiki zetu wa Marekani, tunaendelea kukiponda kichwa cha utawala wa kigaidi nchini Iran. Katika siku za hivi karibuni, Jeshi la Anga limeharibu 70% ya uwezo wa uzalishaji wa chuma wa Iran. Kwa uratibu kamili kati yangu na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Iran yalipua kiwanda cha kusafisha maji nchini Qatar kinachozalisha asilimia 90 ya maji safi

    Katika shambulio la Iran lililolenga Qatar siku ya Ijumaa shambulio hilo limeharibu sehemu za kiwanda cha umeme na uchujaji wa maji, ========= Kuwait imesema kuwa kituo cha kusafisha maji ya bahari (desalination plant) pamoja na kiwanda cha kusafisha mafuta vimeshambuliwa na Iran huku mataifa...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Iran Imepata Makombora ya Nuclear

    https://youtu.be/BOQwrEfjUR4?si=umaARmt1J63N6ZWo
Back
Top Bottom