iran

  1. I

    JamiiForums Tanzania Miili 84 ya askari wanamaji wa Iran waliouliwa na Marekani kurejeshwa Iran na serikali ya Sri Lanka

    Sri Lanka kurejesha mabaki ya wanamaji 84 wa Iran waliouawa katika shambulio la Marekani. Sri Lanka inarejesha mabaki ya wanamaji 84 wa Iran waliokufa wakati frigate yao ilizamishwa siku tisa zilizopita na shambulio la manowari ya Marekani ya torpedo, ilipokuwa ikisafiri katika maji ya...
  2. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran akitembea huru na kuhudhuria maandamano makubwa huko Tehran leo 13/03/2026

    Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums 1. Serikali ya Iran haipendwi 2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA. 3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya mashambulizi. 4. Uongozi sio tu umeparaganyika bali haupo kabisa na wachache waliobaki wamekimbia nchi au...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Cuba yakubali kuanza mazungumzo na Marekani

    HAPA KATI MH TRUMP ALISEMA BAADA YA IRAN KITUO KINACHOFWATA CUBA SASA RAIS MIGUEL KAONA ISIWE TABUU HERI...NUSI SHARI KULIKO SHARI ZIMA KITUO KINACHOFWATA KIMEGOMA UNAHISI NANI ANAFWATA ??CUBA KACHOMOA BETRI """ Rais wa Cuba, Miguel Díaz-Canel, ametoa tangazo la kushtua kupitia televisheni ya...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Spika, rais na viongozi wengine wa Iran wanusurika kufa wakiwa kwenye maandamano

    Walijikusanya wote pamoja na kuanza kuandamana huku wakilaani Marekani na Israel na kule kubwatuka kwao akbar akbar, ghafla kukalipuka mlipuko wakapoteana.... hawa hawajifunzi kwamba Myahudi ni mtu alianza mavita vita hata kabla hizi dini hazijabuniwa. Na mnapotishia kumfuta kwenye uso wa dunia...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

    Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:- Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu: 1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa” 2.“Tutapata...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Maombi maalum kuombea Amani vita ya Iran VS USA/Israel

    MAOMBI YA USIKU MAOMBI YA KUOMBA AMANI NA UTULIVU KATIKA [TAJA HIZO NCHI]LI KUSIWEKO NA MAGOMVI. KWENYE FAMILIA TAJA HIZO NCHI MUNGU AKUBARIKI NAIONA IKIISJA KWA.AMANI NA UTULIVU --- UTANGULIZI Familia ni mpango wa Mungu na msingi wa jamii imara. Shetani, adui wa roho zetu, hulenga familia...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Rais Macron huyo anaelekea Iran

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ametangaza kuwa Ufaransa itapeleka meli nane za kivita, manowari ya kubeba ndege za kivita, na meli mbili za kubeba helikopta katika maeneo ya Bahari ya Mediterania, Bahari Nyekundu, na Mlango wa Bahari wa Hormuz ili kukabiliana na Iran. Hatua hii inaonekana...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Iran iko juu ya Israel kijeshi

    Hebu msikilize huyu myahudi https://youtu.be/FWAk6JNTv0s?si=1hE0a49Ql33hDgAY
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

    🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran: "Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea? Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako. Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Iran inataka kushambulia Pwani ya Magharibi ya Marekani kama kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani

    Ripoti zinasema kuwa FBI imetoa tahadhari kwa vyombo vya usalama katika jimbo la California kwamba Iran inaweza kufanya shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya Marekani. Inaelezwa kuwa shambulio hilo linaweza kutumia ndege zisizo na rubani (drones) zinazoweza kurushwa kutoka meli isiyojulikana...
  11. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Undumilakuliwi kuhusiana na Mtazamo juu ya Iran na Israel kuhusiana na Nyuklia

    My people, Kwanza nianze kwa kusema Mimi ni shabiki namba moja hapa Afrika Mashariki wa Islamic Republic of Iran,na nina sababu za kufanya hivyo. Ni Taifa ambalo limekuwa likiangaliwa katika mlengo hasi siku zote,shutuma za kuhatarisha amani Mashariki ya kati wao,shutuma kwamba ni wafadhili wa...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran yaanze kuzikwa Makamanda wake waliouwawa siku ya kwanza ya vita huko Tehran

    Iran leo hii imeanza kuzikwa Makamanda wake waliuliwa na Majeshi ya Israel wakati yana shambulio a maficho ya Gaidi Marehemu Ayatollah Ali Khamenei. Mazishi haya yamefanikiwa baada ya kuficha taarifa za vifo vyao kwa muda mrefu!!!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Kijeshi wa Ukraine Wapelekwa Mashariki ya Kati Kudhibiti Droni za Iran

    Makundi ya wataalamu wa kijeshi kutoka Ukraine yametumwa nchini Qatar, Falme za Kiarabu (UAE), na Saudi Arabia kusaidia mataifa hayo kujilinda dhidi ya ndege zisizo na rubani (droni) zinazorushwa na Iran. Mashambulizi haya ya Iran ni ya kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi makubwa ya anga...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump: Tumezamisha meli zote za Iran, hawana tena jeshi la majini

    Wanaukumbi. Video za IRGC za 2025 zinaonyesha vichuguu vya chini ya ardhi vilivyo na boti za mashambulizi ya haraka, makombora ya kuzuia meli na kile kinachoonekana kuwa migodi ya majini. Marekani iliharibu meli juu ya uso. Kilichojificha ndani ya vichuguu hivi ni shida nyingine kabisa...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Hispania yaondoa Balozi wake nchini Israel kupinga vita vya Iran na mauaji Gaza

    Spain removes ambassador from Israel in protest to Iran war, Gaza genocide Madrid recalls ambassador amid rising diplomatic tensions and criticism of US-Israeli actions in Iran. Serikali ya Uhispania imeamua kumuondoa balozi wake nchini Israel, kulingana na tangazo lililochapishwa kwenye gazeti...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yalalamikia Baraza La Usalama, Yasema Mashambulizi ya Israel Labanon Yameua Wanadiplomasia Wake 4 Walioenda Kwa Mwaliko Mwaliko wa Lebanon

    Intelijensia ya Israel ni ya kushangaza. Fikiria wanadiplomasia wa Iran, kwa siri walulienda Lebanon, bila shaka, kukutana na Hezbolla, kabla hata ya kukutana, Israel ikawaua wote wanne. Pia Iran imelaumu Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kukaa kimya wakati nchi yake ikishambuliwa na Israel...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Iran imetia umakini kulipua raia wakati Marekani na Israel wanalenga zaidi silaha, viongozi, viwanda vya silaha, rada, meli za vita, n.k?

    Najiuliza sipati majibu. Hadi sasa Marekani na Israel wameharibu kwa kiasi kikubwa meli za kivita za Iran, ndege za jeshi la Iran, vituo vya makombora na drones, Ulinzi wa anga, vituo vya kijeshi, miundombinu ya mafuta, n.k. Wameweza kuwaua pia viongozi wakubwa kama Ayatollah na makamanda...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Masharti ya Iran ya Kusimamsha Vita

    1. Nguruwe Netanyahu lazima akabidhiwe kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai. 2. Chombo cha Israeli lazima kiondoke Gaza na kusini mwa Lebanon hadi mipaka ya Oktoba 7, 2023 na kufuta mpango wa amani wa Trump kwa Ghaz'aa. 3. Kuzingirwa na vikwazo dhidi ya Iran lazima viondolewe, na mali zake...
  19. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kamal Kharaz amesema Iran ipo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai kwamba uwezo wa kijeshi wa Iran umepungua kwa kiwango kikubwa, na akaongeza kuwa haoni tena “nafasi ya...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Iran ndiyo imeanzisha vita kwa kuwaua viongozi wa Israel na kupiga mabomu shule ya chekechea?

    https://youtu.be/Gw4tDqeT92g
Back
Top Bottom