Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,483
- 34,022
Yoso,Ayatollah na viongozi zaidi ya 40 wamelambisha mchanga sijui uhodari gani unaosema wakati wao hawajaua hata kiongozi mmoja wa Israel ?
Mrangi,Mzee wangu mohamed said ulibahatika kufika Iran
Ova
Marekani akiamua kuingia vitani mazima akusanye majeshi na zana zake zote za kivita kutakuwa na nchi inaitwa Iran ?Mrangi,
Nimefika Iran 2007.
Oh OK,mimi nlifika huko 2005 wakati uke mabaharia Teheran tulikuwa tunapaita teiruzaMrangi,
Nimefika Iran 2007.