Watu wazima wakifa vitani huwa mnasema watapewa mabikira 72, sasa je hawa watoto, hamuoni kama itakua child pornography kuwapa mabikira kule, maana wanatumika kushika doria na kufia huko....
============
An 11-year-old Iranian boy killed in recent fighting was at a Revolutionary Guard...
US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa
Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita
⚡️BREAKING
The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused
United States is...
One of two US pilots in the F-15 fighter jet which went down in Iran has been rescued by American forces, NBC News reports.
The two-seater plane went down over Iran earlier today, our US partner network reported earlier, citing two American officials.
A US official now tells NBC one of the...
Vikosi vya usalama vya Iran vinadaiwa kuanza kuajiri watoto wenye umri wa kuanzia miaka 12 ili kusimamia vituo vya ukaguzi (checkpoints) na kufanya majukumu mengine ya kijeshi.
Kwa mujibu wa afisa wa kijeshi wa Iran aliyezungumza na televisheni ya taifa:
Serikali imeanzisha kampeni ya...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa Kirya:
Pamoja na marafiki zetu wa Marekani, tunaendelea kukiponda kichwa cha utawala wa kigaidi nchini Iran.
Katika siku za hivi karibuni, Jeshi la Anga limeharibu 70% ya uwezo wa uzalishaji wa chuma wa Iran.
Kwa uratibu kamili kati yangu na...
Katika shambulio la Iran lililolenga Qatar siku ya Ijumaa shambulio hilo limeharibu sehemu za kiwanda cha umeme na uchujaji wa maji,
=========
Kuwait imesema kuwa kituo cha kusafisha maji ya bahari (desalination plant) pamoja na kiwanda cha kusafisha mafuta vimeshambuliwa na Iran huku mataifa...
Iran imeweka njia ingine ya kupita meli ziendazo nchi za mbali na kuwapa uwezo IRGC kuziona meli hizo na kutoza ushuru kwa kila meli.
Hadi meli kadhaa tiyari zimelipia tozo hiyo ya kupita kwenye mfereji wa Hormuz na kila meli italipa dola milioni 2.4
Picha na AP
Ukiangalia katika picha hapo...
Baada ya shambulio kwenye daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran inatishia kushambulia madaraja nchini Israeli, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, na Iraq.
Nyoka kichwa kimebondwa anaanza kuwaya-waya ili akate roho!!
==============
Airstrike detroys bridge linking Tehran and Karaj
Meanwhile...
Akitoa hutoba yake kuhusu mwenendo wa vita vya Marekani-Israel dhidi ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa nchi yake inakaribia kufanikisha malengo yake makuu ya kimkakati, akionya juu ya uwezekano wa kuongezeka zaidi kwa mzozo.
"Tutaishambulia Iran kwa nguvu kubwa sana kwa...
Biden alianza kwa kuizua Russia kutumia Swift payment system ilikua ni sawa na Marekani kuikalia kisu Sasa iv Iran kaikataa Dola kwenye biashara yake ya mafuta anataka Yuan hapo Marekani imekalia
Mtarimbo anatapatapa
BREAKING: 🇮🇷 🇨🇳 IRAN HAS OFFICIALLY STARTED TO DEMAND YUAN PAYMENTS—Bloomberg...
Hadi Leo Marekani Wana jicho la tai la kuona mataifa hatari Kwa Dunia miaka kadhaa Ijayo .
Iran ni majawapo ya mataifa hatari ambayo Us ametusaidia kulipungizia nguvu zake zenye Nia mbaya.
Kitendo Cha kuanza kushambulia majirani zake wote ambao walikuwa hawajamrushia hata jiwe inaonyesha...
Muungano wa majeshi ya Iran na walinzi wa mapinduzi ya kiislamu wa IRGC,umesema Iran haipigani na nchi yoyote ya kiarabu ambao ni ndugu na majirani zao,bali wanachofanya ni kupiga maslahi ya Marekani pamoja na kupiga kambi zao za kijeshi ambapo hakuna nchi ya kiarabu ambayo haina kambi kama...
Jf ujumbe ndio huo.
Na kuhusu hawa kina
Echolima1 na jina lingine anajiita Mlaleo
Sa kichaa mwenzenu atasema nini hapa Iran karibu watanza kushambulia kutumia Fighter Jets
https://youtu.be/ImHc0t4N7JM?si=y2YSieqz2zadMYuF
Tunawasubiri kwenye vita vya chini pia...
Iran imetangaza kuanza kushambulia makampuni binafsi ya raia wa Marekani ambayo yana ofsi ukanda wa mashariki ya kati,kampuni hizi ni kama Microsoft, Google, Nvidia, Tesla, n.k.
Wameshindwa kabisa kuangusha hata ndege moja ya f35 na kumkamata rubani kuwe na ushahidi usio na shaka wameona...
Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI:
-"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni".
-"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye".
-"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill
Baada ya hapo wataanza kuwalipua.
IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia...
Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku
Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa.
Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa...
Vita baina ya Marekani, Israel dhidi ya Irani ilianza tarehe 28 Februari, 2026. Vita hiyo imeongezeka wigo kutokana na mashambulizi ya Irani kwa nchi za Saudi Arabia, Bahrain na Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ambazo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani.
UTARATIBU WA UAGIZAJI WA MAFUTA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.