Iran imeachana na GPS wanatumia BeiDou?

Iran imeachana na GPS wanatumia BeiDou?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,383
Reaction score
12,651
Ni kweli kwa sasa Iran inatumia BeiDou na imeachana na GPS ?

Kwa nini ? Na kama kweli ni toka lini ?
 
BDS ni SUPERIOR over GPS, GPS inaendelea kutumika kwa sababu tu ni kama SI Unit duniani kote ila Asia wameshaachana nayo kwa sasa wanatumia Beidou.
Screenshot_20260329_092208_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom