Vita Vya Iran: Kibri Kinaangamiza

Vita Vya Iran: Kibri Kinaangamiza

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,285
Reaction score
33,881
Maoni ya mwandishi wa vitabu na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini #mohamedsaid kuhusu vita ya Iran dhidi ya mataifa ya Israel na Marekani.
 
Mzee Mo angalia wasije kukuwekea doa tena kwenye passpoti yako, humu JF kuna vi informer vya wazungu vya dayapora
 
share holders wa edge group waliotengeneza shadow 25 ni uae government ...

1774868029235.png
 
Hii ni vita ya kuumizana, wote wanapata maumivu makubwa, yule atakaelia mama nakufa ndio kashindwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom