Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,420
- 33,982
ZVI...Ulivo anza tu na hiyo salam nimekata.
Jifunzeni kuongea na jamii ya watu walio na makuzi na mitazamo tofauti ya kidini..
Hivi Mzee huwezi sema habari ya muda huu ndugu mtazamaji?
Hayo SI malengo ya vita, yes wameua wamepata niniHii vita imevunja rekodi kubwa sn duniani moja ni kiongozi mkuu wa nchi kuuawa katika mashambulizi pamoja na wasaidizi wake, kibaya zaidi Israel & US wanaendelea kuwapukutisha viongozi walikuwa kwenye circle ya Khomenei huku Iran hajaua hata kamanda mmoja wa Israel / US..
Nani alikuambia sio malengo au huna akili?Sawa LAKINI hiyo ni salamu ya kiarabu, ba SI ungeitafsiri kiswahili
Hayo SI malengo ya vita, yes wameua wamepata nini
Kulagha...Sawa LAKINI hiyo ni salamu ya kiarabu, ba SI ungeitafsiri kiswahili
Sio Kwa ubaya hebu tu tutumie kiswahili chetu ili tupate kuelewana vizuri kaka, mfano tukienda mikoani ukmsalimia atakujibu aleikum mkristo Sasa hapo itakuwa imeleta maana kweli.Kulagha...
Kwani kuna ubaya gani ikiwa salamu ya Kiarabu?
Mbona tunaagana kwa kusema "Kwaheri?"
Neno "Heri" ni Kiarabu pia.
Sio Kwa ubaya hebu tu tutumie kiswahili chetu ili tupate kuelewana vizuri kaka, mfano tukienda mikoani ukmsalimia atakujibu aleikum mkristo Sasa hapo itakuwa imeleta maana kweli.
Yoso,Hii vita imevunja rekodi kubwa sn duniani moja ni kiongozi mkuu wa nchi kuuawa katika mashambulizi pamoja na wasaidizi wake, kibaya zaidi Israel & US wanaendelea kuwapukutisha viongozi walikuwa kwenye circle ya Khomenei huku Iran hajaua hata kamanda mmoja wa Israel / US..
Yoso,Sio Kwa ubaya hebu tu tutumie kiswahili chetu ili tupate kuelewana vizuri kaka, mfano tukienda mikoani ukmsalimia atakujibu aleikum mkristo Sasa hapo itakuwa imeleta maana kweli.
We mzee nae punguzaa ubishi heri limesha sanifishwa. Hiyo aleikum nani kaisanifisha? Kwanini usiseme tu amani ya Mungu iwe juu yenu/yako?Kulagha...
Kwani kuna ubaya gani ikiwa salamu ya Kiarabu?
Mbona tunaagana kwa kusema "Kwaheri?"
Neno "Heri" ni Kiarabu pia.
Mpum.bavu wewe,Hana akili kivipi we kenge???Nani alikuambia sio malengo au huna akili?
Trump lengo lake la kwanza ni kumuua gaidi ayatollah na amefanikiwa
Yoso,Hii vita imevunja rekodi kubwa sn duniani moja ni kiongozi mkuu wa nchi kuuawa katika mashambulizi pamoja na wasaidizi wake, kibaya zaidi Israel & US wanaendelea kuwapukutisha viongozi walikuwa kwenye circle ya Khomenei huku Iran hajaua hata kamanda mmoja wa Israel / US..
Yoso,Sio Kwa ubaya hebu tu tutumie kiswahili chetu ili tupate kuelewana vizuri kaka, mfano tukienda mikoani ukmsalimia atakujibu aleikum mkristo Sasa hapo itakuwa imeleta maana kweli.
We mzee nae punguzaa ubishi heri limesha sanifishwa. Hiyo aleikum nani kaisanifisha? Kwanini usiseme tu amani ya Mungu iwe juu yenu/yako?
Mr Q,We mzee nae punguzaa ubishi heri limesha sanifishwa. Hiyo aleikum nani kaisanifisha? Kwanini usiseme tu amani ya Mungu iwe juu yenu/yako?
Samahani bwana mkubwa.Yoso,
"Kupukutisha.''
Unafahamika hili neno linapendeza kuwaeleza viongozi waliouawa?.
Yoso,
Nimetembea kwingi mikoani na sijapata shida ya haya mamkuzi
Mr Q,
Nimekuwa wa kutiwa "Wee?"
Tena unatambua kuwa mie ni Mzee.
Uzazi wa mama yako ulizaa watoto wenye laana kama weweMpum.bavu wewe,Hana akili kivipi we kenge???
1. Wakristo wanasema '' Amani iwe nanyi. Waarabu wanasema Amani ya mwenyezi mungu iwe nanyi''Sawa LAKINI hiyo ni salamu ya kiarabu, ba SI ungeitafsiri kiswahili
Kha! We nani hadi upangie watu cha kusema, unajitesa bure na maisha ya watu, maraizoni mnashida nyie.Ulivo anza tu na hiyo salam nimekata.
Jifunzeni kuongea na jamii ya watu walio na makuzi na mitazamo tofauti ya kidini..
Hivi Mzee huwezi sema habari ya muda huu ndugu mtazamaji?