iran

  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran Yamkemea Trump Vikali

    Wanaukumbi. 🇮🇷 IRAN IMEMKEMEA TRUMP KWA UKALI "Tangu vita hivi vianze, dunia imezama katika uvumi na kauli za kipuuzi. Viongozi huzungumza kwa uhuru, wengine kwa ukweli, wengine bila. Tuweke sawa hili, uranium ya Iran ni mali ya Iran. Ni jukumu letu, nishati yetu, haki yetu ya uhuru. Sababu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran atoa statement nzito kwa dunia

    Wanatuita magaidi, lakini wao ndio magaidi halisi. Wanachinja mtu yeyote, popote, wakati wowote wanapotaka, na kisha wanazungumzia haki za binadamu. Aibu kwao." Rais wa Iran
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iran imetufunza jambo kama taifa

    Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
  4. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua: Kinachomkuta Marekani nchini Iran kiliwahi wakuta watangulizi wake

    Huwa nalipenda sana somo la historia. 1. Ukisoma historia kwa kina utafahamu ukweli kwamba hakuna jipya chini ya jua. 2. Yote unayoyafanya yalishafanywa na wenzako huko nyuma. 3. Wewe unachofanya ni kujenga juu ya msingi wa mwingine tu. 4. Wanaoamini kwamba historia ina vitu vipya ni...
  5. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Requests World Bank Funds To Cushion Iran War Shock

    Kenya has requested rapid financial support from the World Bank to help it manage the shocks from the war in Iran, its central bank governor ‌told Reuters on Thursday. Like other nations that are heavily reliant on energy imports, the East African country is scrambling to stave off shortages of...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa neno kuhusu Iran na Lebanon

    Kauli ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Lebanon na Iran. "Tuna fursa ya kuunda makubaliano ya kihistoria ya amani na Lebanon. Rais Trump anakusudia kunialika mimi na Rais wa Lebanon ili kujaribu kuendeleza makubaliano haya. Fursa hii ipo kwa sababu, tangu 'Vita vya Ukombozi,'...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Netanyahu anaendelea kutambea mitaani lakini viongozi wa Iran wanajificha sana tofauti na wanavyoongea mbele ya maiki hawaogopi kufa ?

    Hadi sasa kumuona kiongozi wa Iran, Mojtaba Khamenei, Imekuwa ni ngumu sana, yupo mafichoni. Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani, hajaonekana hadharani tangu achukue madaraka, Mahali alipo hata haijulikani wazi Netanyahu anaendelea...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania FALSE Viral video claiming missile strike on Iranian leader’s residence

  9. M

    JamiiForums Tanzania Baadaya Trump kuwasaidia Iran kufunga njia, Marekani ndie msambazaji mkubwa wa mafuta duniani, Hakuna tozo ya kuingia wala hofu ya kulipuliwa na Iran

    https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116384077225474834 Trump ameichapisha mwenyewe. Ramani inaonyesha wazi. Meli kubwa za mafuta Supertanker tupu (VLCC), kila moja ikiwa na uwezo wa kubeba mapipa milioni 2 ya mafuta, sasa hivi zinakimbilia Pwani ya Ghuba ya Marekani. Hormuz...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Trump alazimisha mazungumzo na Iran

    Kwa mara ya kwanza tangu ktk historia Rais wa Marekani amekuwa akiongea kila dakika. Leo anazungumza hivi kesho hivi. Leo ameomba mazungumzo tena na Iran
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Bunge la Iran limetangaza kuongeza mishahara April 2026, kwa wafanyakazi baada ya vita

    kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya facebookk wakiwa na ujumbe unao nukuu kuwa bunge la iran limetangaza kuongeza mishahara baada ya vita katika chapisho hilo ambalo lina nukuu inayosomeka "Baada ya Bunge kuidhinisha sheria mpya ya Malipo kada ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwenu wachambuzi wa Mashariki ya Kati ( Iran, Israel na Marekani)

    Nimefuatilia Chambuzi nyingi hapa Tanzania, zinaegemea Iran na kuilaumu marekani kwa kitendo chake cha kuivamia Iran kuwa ni uchokozi pamoja na ubabe! Swali lenu wachambuzi 1: Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi...
  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran aziomba Ufaransa na Uingereza kuishawishi Marekani irudi kwenye meza ya mazungumzo kumaliza vita

    Iran’s President Masoud Pezeshkian urged Europe to play a more active role in pushing the United States toward an agreement, saying diplomacy remains the best way to resolve disputes, according to state media. In a call with France’s President Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran was ready to...
  14. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Hoja zangu 5 kwanini naiunga mkono Iran katika mzozo unaoendelea huko mashariki ya kati

    Mzozo wa Mashariki ya Kati kunahitaji mtazamo mpana unaovuka mipaka ya kidini au kijiografia, kwa kuzingatia misingi ya sheria za kimataifa, usawa, na haki za binadamu. Hoja zangu za kusimama na Iran katika muktadha huu inaweza kujengwa juu ya misingi ifuatayo: 1. Kulinda Misingi ya Uhuru wa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Iran Ndani ya Kibano Kikali cha Marekani, Hakuna meli yoyote inayoruhusiwa Kuingia au Kutoka Bandari za Iran

    Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio...
  16. J

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Wanajeshi wa Iran waachia video namna walimvyomkamata rubani wa Marekani

    Wakuu Je, hii video ni ya hivi karibuni?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaharakati. Masharti anayopewa Iran kama Tanzanian watayakubali?

    Asiwe na silaha Asiwe na nyuklia Asiwe na rafiki Huku wao vyote wakiwa navyo na wanataka waviongeze zaidi.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waislam tunatakiwa tuiombee dua sana Iran kipindi hichi

    Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende. Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea. Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania FALSE Kim announces North Korea joins war alongside Iran against the United States

    The viral post has been circulating on Facebook claiming that Kim is hoping to join the United States in the ongoing war. The post includes a quoation marked as "The nightmare scenario reportedly confirmed. Kim Jong Un allegedly announced North Korea officially joins the war alongside Iran...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran Yaonya: "Hakuna bandari katika Ghuba ya Uajemi au Bahari ya Oman itakayokuwa salama"

    Wanaukumbi. "Kulinda maji ya eneo la Iran ni jukumu la kitaifa. Kama ilivyotangazwa hapo awali, meli zinazohusishwa na adui hazina na hazitakuwa na haki ya kupita katika Mlango-Bahari wa Hormuz. Meli zingine zitaendelea kuruhusiwa kupita kwa mujibu wa kanuni za Jeshi la Wanamaji la IRGC. Iran...
Back
Top Bottom