ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. TATHMINI: Je, hatma ya masomo ya Sayansi ni ipi? Ukizingatia matokeo ya kidato cha Pili na kidato cha nne 2023

    Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa. Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
  2. D

    Ni sababu ipi ilifanya Mungu akaacha kuongea na binadamu kwa ishara?

    Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara Mfano ●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto ●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi...
  3. K

    Hospitali gani ya binafsi kwa Dar inafanya vipimo vya uwezo wa kusikia?

    Nataka nifanyiwe vipimo vya kiwango Cha uwezo wa kusikia(Hearing capacity). Kutoka mkoa mmoja mpaka mwingine kwa hospital za serikali hasa ukiwa mtumishi wa umma Huwa Ina mlolongo mrefu sana. Naomba kujua ni hospital ipi naweza kwenda na nkapata huduma hii kwa haraka Ili niendelee na mambo...
  4. Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

    Salaam wakuu, unajua katika maisha haya. Kuna baadhi yetu tumekuwa tukifanya baadhi ya vitu ambapo vimekuwa vikitufurahisha. kiasi kwamba imekuwa ngumu kuacha, hata Kama tushauriwe kwa ukubwa gani, au na mtu yoyote. kwa upande wangu Kuna vitu vinne, naona kabisa kuacha ni mpaka niingie...
  5. Simba wana hofu ipi? Yanga ikipoteza mechi 2 tu watalingana points lakini simba ataongoza kwa magoli

    Katika mechi 10 zilizobaki, pale kwa Mkapa siku ya derby mnyama anashinda na kuna mechi nyingine ipo tunajua kabisa Yanga hatoboi.
  6. Hivi nchi jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania ni ipi?

    USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland. Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana. Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
  7. Ni kumbukumbu ipi unaikumbuka siku ulivyoondoka kwenu na kilichokufanya uondoke kwenda kuanza maisha ya kujitegemea?

    Hakika ilikuwa ni siku ambayo binafsi niliumia, ni baada ya kushindwa kuendelea na elimu yangu nilipomaliza form 4 mwaka 2012.. pale home nilionekana nipo nipo tu, ikabidi nitafte mishe ya kujifunza useremala lengo likiwa nikianza kupata pesa nihame, haikuwa kama nilivyotegemea maana hata...
  8. Njia ipi ni sahihi kufikia uwepo wa Mungu na vipi unaweza kujifunza utukufu wake duniani

    Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki? 1: Mzungu katuletea dini 2: Mzungu katuletea mavazi 3: Mzungu katuletea utandawazi 4: Mzungu katuletea njia za mawasiliano 5: Mzungu katuletea taharuki mbalimbali na mafunzo juu ya mahusiano 6: Mzungu huyo bado anatumaliza kwa magonjwa ya...
  9. Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...
  10. Anajaribu kunizuia kumwagia nje wakati nakaribia kufika mshindo, ni mbinu ipi ya kukabiliana na mwanamke huyu niliyekolea kwake ila sitaki kumpa mimba

    Ni takribani miezi miwili sasa tangu nikutane na binti flani kamaliza kidato cha sita mwaka jana ila kwakuwa hakuwa na ada imebidi awe anakwenda kuuza duka la ndugu yake asubuhi na kurudi saa 12 jioni kila siku kasoro jumapili. Duka lilipo sio mbali sana na ofisi yangu, nilipomwona huyo mtoto...
  11. T

    Huyu Azam aliyepigwa 4-1 na Singida ni Azam ipi?

    Wanaofuatilia Mapinduzi Cup naomba kujuzwa kama Azam aliyepigwa 4-1 jana na SBS ni huyu huyu Azam wa sopu, mbombo na dube.
  12. Ni ipi nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sasa?

    Anapoapishwa Rais, nafasi ya kwanza kuteuliwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Walioweka utaratibu huu hawakuwa wajinga kwa sababu kila jambo analofanya Rais linatakiwa kuwa sawa kisheria hivyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye anapaswa kumshauri Rais kuhusu maamuzi yake yote ili yawe...
  13. CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM. Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha...
  14. B

    Misaada: Hospitali ipi Tanzania inatoa tiba ya varicose veins (mishipa iliovimba)

    Mishipa ya damu kwenye mguu wangu wa kulia imevimba sana ivo inanipa changamoto ya muonekano, Nimegoogle nkajua ni shida ya varicose veins. Ili tatizo Halinipi maumivu wala complications ila inafanya mguu Wangu uonekane mbaya Wapi naweza pata tiba ya hili tatizo kwa wenye uzoefu, Na bei ni sh ngapi
  15. Series ipi nzuri kati ya Jack Reecher na Jack Ryan?

    NB: Sio movie, ni series yenye episodes.
  16. Ipi ni falsafa ya CCM kwa sasa?

    Enzi za Mwalimu katika mikutano ya CCM walichezesha nyimbo za akina Mbaraka Mwinshehe (nyimbo bila jasho) ulionekana Uzalendo hata unapocheza nyimbo hizo,juzi katika mikutano yetu ya Uchaguzi zilichezeshwa nyimbo na mtindo wanaocheza. Basi mtu utagundua tupo ki-hip hop singeli na rusha roho...
  17. Agenda ya Tanzania kwenye US-Africa Summit ni ipi?

    Tunahudhuria US-Africa Summit huko US je kama Taifa tunapeleka Agenda gan huko? Wawekezaji? Fursa zaidi?
  18. Hapa huwa najiuliza ni wapi tunapokosea Watanzania? Uongozi wa aina ipi tunaohitaji kufanya kazi pasipo kushurutishwa?

    Our late president JPM alikuwa Chapakazi sana kwa hili nampongeza sana kwa wakati ule alipopokea kijiti kutoka kwa JK alikimbia sana na wakati kwenye kuinua nchi upande wa nyezo za uchukuzi na kuipa nchi nafasi nyingine ya kuingia mikataba yenye uhai hata hivi leo bado zinaendelea kufanya...
  19. A

    Ipi ni biashara nzuri?

    Naomba ushauri kutoka kwenu, jambo lipi linalipa kwa haraka na kwa mtaji mdogo nijenge vyumba vinne vya kulala kisha nipangishe au nijenge fremu nne kisha nipangishe kwa ajili ya biashara .Naomba ushauri wenu
  20. Nitumie Plexi, showbox, Febbox au huduma ipi yenye uhakika na idadi kubwa ya movies / series ?

    Mwezi huu nataka nijipe kalikizo kidogo baada ya kuchoshwa na kazi ngumu za useremala kwa miezi 11 iliyopita, Ni muda wa kuchill atleast Najua wengi mtakimbilia kuniambia nishushe series kwa torrennts lakini amini usiamini si kila kitu kipo kwenye torrents, kuna series kibao kama za netflix na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…