ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Games popular kwenye simu... unacheza game ipi?

    Natamani kujua game ambazo zina ongoza kupendwa na watumiaji wa simu za mkononi Tz... Una game zipi kwenye simu yako?
  2. JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya 'Kudeti' na Mwanamke Aliyezaa tayari au ambaye bado anajitafuta Kuzaa?

    Majibu yenu ndiyo yatanisaidia kuamua niwe na yupi kati ya hawa Wawili niliowaokota Mkeshani Kawe kwa Usiku wa kuamkia leo. Nijibuni upesi ili nifanye Maamuzi Ok?
  3. JamiiForums Tanzania Kuna umuhiu gani wa UN kama mataifa mengi yamepiga kura vita ya Gaza isitishwe lakini bado Israel inaendelea kisa Marekani kapiga kura ya kumpa ruksa?

    Licha ya mataifa makubwa kama Canada, Uingereza, Australia, Ujerumani na mataifa mengine ya ulaya hayakupiga kura lakini Marekani ilipiga kura wazi wazi kuisapoti Israel kuendeleza operesheni za kivita ukanda wa Gaza. Hali hii ilileta matokeo ya kura nyingi hasa kutoka mataifa ya kiarabu kuamua...
  4. JamiiForums Tanzania Mkopo wa asset financing - benki ipi inafaa?

    Ninahitaji kununua mashine kwa ajili ya biashara na gharama yake ni kama dola 17,500/= Kama 43.7 Milioni Ni benki gani inafaa kuomba kiasi hicho? 1. Nimesikia kuhusu kuitumia mashine Kama dhamana hili likoje? 2. Riba na marejesho kwa mwezi yatakuwaje? Kama mkopo ukiwa miaka 3? Naomba ushauri...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka ahadi gani iliyotekelezwa na Mbunge Gwajima kisiasa na kiimani?

    Mie kila pakikucha huwa ninakumbuka ile aliyosema ananunua treni. Bahati mbaya siku hiyo nikiwa ninasubiria kwenye foleni pale alipokuwa akihubiria nikasikia ahadi hiyo. Seriously ilinibidi nipaki gari pembeni nikasikiliza mahubiri yake mpaka mwisho na nikahudhuria tena kama mara tatu hivi...
  6. JamiiForums Tanzania Huu ni mti Gani!? Kazi yake ni ipi!?

    Nimeukuta umejiotea pembeni ya nyumba... Je ni dawa!?... Inatumika kuponya nini!? 👇
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hospitali ipi ninaweza kumfanyia kipimo cha EEG test kwa Tanzania, mwanangu anasumbuliwa na degedege

    Wakuu habari, Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF). Mbarikiwe
  8. JamiiForums Tanzania Ipi tofauti kati ya Paulina Gekul na Salaah wa Silent Ocean?

    - Paulina Gekul na Salaah wa Silent ocean wote ni watu wenye nguvu na ushawishi katika jamii kwa kadiri ya kada zao za kimajukumu. - Wote ni wana CCM kindaki ndaki - Wote walijichukulia sheria mkononi kwa wale waliowatuhumu kuwafanyia makosa katika biashara zao. Salaah aliteka vijana wawili...
  9. JamiiForums Tanzania Faida ya kuwa Mtanzania ni ipi basi iwapo raia wataanza kuuziwa NIDA na Kitambulisho cha Kura?

    Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena. Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo. Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna watu vyuoni/shuleni walikuwa serious na masomo tu, Makazini wapo walio serious na kazi, Ukiwa serious sana utafurahiaje maisha?

    Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa. Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
  11. JamiiForums Tanzania Sijajua sababu inayofanya Vijana wengi hapa JF kunichukia ni ipi!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Mimi UMUGHAKA nimekuwa nikichukiwa sana na Vijana hapa JF tangu nilipokuwa Mwanachama Bora wa jukwaa la Michezo mwaka 2022. Yaani kuanzia hapo ni kama nilitonesha vidonda vya miongoni mwa vijana wengi wenye roho mbaya hapa JF!. Ni kwanini Vijana mnakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

    Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali). Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tanzania Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi. Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana...
  13. JamiiForums Tanzania Licha ya mabaya na mapungufu yako ni tabia ipi nzuri toka kwako ungependa mwanao aifuate ili imsaidie maishani?

    I know am not perfect na sio kama najisifia humu ila mwanangu akifata hulka yangu ya uchapakazi katika nyanja ya kazi za kawaida na zile za uchumi itakuwa bonge la blessing sana kwangu. Vipi kwa upande wako, ungependa mwanao afuate tabia, mwenendo au hulka gani nzuri uliyonayo? Karibuni.
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Kuna dawa ipi nzuri ya kusahau haraka?

  15. JamiiForums Tanzania Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

    Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex. Je, kuna ukweli wowote katika hili? We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi Binafsi napenda- Kusikiliza...
  16. JamiiForums Tanzania Israel - Marekani: Ipi siri ya uhusiano wao usiochuja?

    Siku chache tu baada ya shambulio la Hamas tarehe 7 Oktoba, Rais wa Marekani Joe Biden alifika Tel Aviv na kueleza mshikamano wa Marekani na Israel. Aliwaita Hamas ni 'mashetani' na kusema Marekani iko pamoja na Israel katika kila hali na itapata kila msaada. Mwanzoni mwa mwezi Novemba, Bunge...
  17. JamiiForums Tanzania Je, roho ya kisasi na kutosamehe chanzo chake nini na tiba yake ni ipi?

    Katika maisha ya kiroho tuna Imani zetu, na pia katika uumbaji kila binadamu ana mwili, nafsi na roho vyote vina upekee katika mmoja mmoja. Kadri maisha yanavyosonga ndivyo na mazuri yenye furaha na mabaya yenye makwazo pia yanaongezeka au kuzaliwa mapya au kufanyika kwa namna mbalimbali...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ipi ni historia ya kweli kuhusu Israel na wayahudi wa leo?

    Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima. Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
  19. JamiiForums Tanzania Post yanye views nyingi hapa Jamii Forums

    Mara nyingi nimekuwa nikifatila uzi za hapa JF kuona kile kinachoendelea lakini nimegundua kuwa kuna uzi zinasomwa Sana hapa nakupata comments kubao. Pia nimegundua mara nyingi uzi hizo nizile zinazogusa jamii hasa mambo yandani sana ya jamii pia maswala ya siasa huwa yanasomwa sana. Je, wewe...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, nichukue router ipi kati ya hizi?

    wakuu kwema hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi naishi Tabata segerea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…