ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TV Mpya vs. Mtumba: Ipi ni Bora kwa Bajeti ya Milioni 1.5

    Wataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora. Katika maduka ya bidhaa mpya, nimepata TV mbili zinazovutia: Hisense 65A6K/N – UHD Smart 4K TCL UHD Smart 4K Zote zinauzwa kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 watamani kufika Kinishasa, Je ipi nafasi ya Tanzania kuinusuru DRC Congo isihanguke

    Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza. JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa kiuchumi na Congo.
  3. JamiiForums Tanzania Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit: Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika ka

    Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025 Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika. Hapo kuna mambo kadhaa yanahitaji kujadiliwa kwa kina: Tutumie vyanzo vipi vya nishati...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

    Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4 Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee, hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
  5. 3

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
  6. JamiiForums Tanzania Washabiki wa Man Utd, ipi inafaa zaidi Kwa nafasi ya LWB?, Kumrudisha Alvaro kutoka Benfica (18mln) au anunulie tu Dorgu (40mln)?

    https://youtu.be/23QtRyNYoyY?si=NeqYAKxzKpR9T93K https://youtu.be/jG1nesE5JKM?si=h_STHh1C1f7sIBiM
  7. JamiiForums Tanzania Ni hofu ipi kuu inayokusumbua? Hata uwe jasiri kiasi gani lazima kuna vitu vinavyokutia hofu na unatumia njia gani kuishinda?

    Tunazaliwa katika ulimwengu usiokuwa na hofu lakini ulimwengu wenyewe hututia hofu. Tunakutana na vitu mbalimbali vinavyotutia hofu katika ulimwengu huu. Japo tunakuwa na ujasiri fulani lazima kuwe na vitu vya kuogopa. Inawezekana ulivyokuwa mdogo ulikua huogopi baadhi ya vitu lakini kadri...
  8. JamiiForums Tanzania Mechi ipi Jonathan Kapela kafunga hata goli?

    Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa
  9. JamiiForums Tanzania Ipi simu bora kati ya iphone 12 pro na Samsung Galaxy A35 mwaka huu 2025?

    Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata. Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
  10. JamiiForums Tanzania Wagombea ndani ya CHADEMA kwa sasa inabidi waseme wako timu ipi (Mbowe au Lissu), ili watu wajue!

    Hakuna haja tena ya kusema sana sera zako, wewe tuambie tu uko timu ipi au hauna timu, hiyo inatosha wajumbe kujua unasimama na sera zipi. Ikiwa mko wengi na msimamo wenu wa kitimu unafanana, basi kipimo ni namna unavyoipigania hiyo timu, hakuna maneno mengi. Ikiwa msimamo wako kitimu...
  11. JamiiForums Tanzania Sawa Mbowe umemfanyia favours nyingi Lissu katika career yake lakininkumbuka ilipaswa afe kwa ajili ya chama, hiyo favour inazidiwa na ipi?

    Nimeona mahojiano ya kikeke na mbowe. Mbowe anasema amemfanyia mambo mengi ya kiutu ili kuboost safari ya mafanikio ya Lissu. Kana kwamba anasema lissu hapaswi kumfanyia hivi kwa maana yuko liable na msaada wake. But dude, this guy almost died for you and your people , hio yote bado haijalipa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Asili ya shanga, rozali na misaafu ni ipi Hasa?

    Salaam, shalom!! Najaribu kuangalia tofauti kati ya shanga zinatumiiwa na Waganga, maasai, rozali na misaafu ,zinakuwa na mwonekano unaokaribiana Kwa karibu!! Nini Hasa asili ya shanga, rozali na misaafu ? Wenye majibu tafadhali 🙏
  13. JamiiForums Tanzania Ipi hatima ya CHADEMA baada ya minyukano inayoendelea?

    Chadema kinashuhudia minyukano ya wazi na hatarishi mno tokea kianzishwe. Unaweza kusema pasi na shaka, sasa kuna Chadema mbili. Mosi, Chadema ya Mbowe. Na pili, Chadema ya Lisu. Chadema hizo mbili zinanyukana isivyo kawaida! Je, ni rasmi anguko la Chadema linaenda kutukia? Ipi hatima ya...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Katika Album ya Zuchu "Peace and Money" nyimbo ipi umekuibali?

    Kwa mim nimeipend hujanizidi feat dvoice na makonzi Wew je umetokea kuipenda nyimbo ipi
  15. JamiiForums Tanzania Simu ipi ulishawahi kutumia hapa?

  16. JamiiForums Tanzania Kati ya Serie A na la Liga ipi ligi Bora

    Naombeni majibu yenu wakuu, Hizi ligi mbili nilizozitaja ipi ni Bora na yenye ushindani maana kuna ubishani hapa Baa Leo mpaka watu wanataka kupigana Yani mwaka mpya wanataka kuanza na majanga kwakua JamiiForums ni kisima Cha maarifa nikaona nilete huu mzozo umu Ili mnifafanulie
  17. JamiiForums Tanzania fahamu imani hizi za aina mbili kisha jitafakari kuwa wewe ni mfuasi wa imani ipi kati ya hizi kwenye haya madhebu wasabato, waislam, wakatoloki,

    post closed
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

    Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
  19. JamiiForums Tanzania Gari ipi ni low budget lakini ukiwa nayo unaonekana unazo?

    Habari wanajamvi. Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa. Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo. Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya. Nahitaji kujua gari ambayo running cost yake ni sawa na ka baby walker lakini kimwonekano inaonekana ni gari ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mikoa ipi inalipa kuweka nyumba ya kupangisha?

    Wakuu mikoa inatofautiana kwa vipato vya wakazi wake. Sina shaka kuhusu Dar linapokuja suala la mzunguko wa hela. Tupeane abc za mikoa yenye vipato vilivyosimama (ukiondoa Dar) na kuna hela nzuri ya pango kwa hizi nyumba za kawaida za kupangisha (ambazo sio lodge).
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…