Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,539 Jan 20, 2025 #1 Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa
Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,373 Reaction score 10,116 Jan 20, 2025 #2 Ndo nani Kwani..?
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 21,069 Reaction score 42,912 Jan 20, 2025 #3 Dabil said: Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa Click to expand... Magoli ya wapi mkuu. Ya kitandani?
Dabil said: Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa Click to expand... Magoli ya wapi mkuu. Ya kitandani?
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,790 Reaction score 33,495 Jan 20, 2025 #4 Pamoja mkuu, ila usisahau kutupa takwimu za Steve Mukwala Vs Ibrahim Bacca.
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,547 Reaction score 88,538 Jan 20, 2025 #5 Wanasema kwenye mechi 56 ana magoli 5 na assist 4 sasa sijui Kama ni kweli au la
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,539 Jan 20, 2025 Thread starter #6 Jadda said: Wanasema kwenye mechi 56 ana magoli 5 na assist 4 sasa sijui Kama ni kweli au la Click to expand... Walete hata ni mechi zipi hizo amefunga magoli,hata kwenye livescore
Jadda said: Wanasema kwenye mechi 56 ana magoli 5 na assist 4 sasa sijui Kama ni kweli au la Click to expand... Walete hata ni mechi zipi hizo amefunga magoli,hata kwenye livescore