intelligence

  1. JamiiForums Tanzania Uchawi vs akili

    Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa. Uchawi Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi. Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au...
  2. JamiiForums Tanzania Race and Intelligence: Je, Whites Wana akili zaidi ya Blacks?

    Naamini wote ni wazima wa afya, ila kama kuna mtu yeyote mwenye changamoto basi Mwenyezi Mungu/Allah amfanyie wepesi. Nimekuwa mdau wa Jamii Intelligence kwa muda sasa, Na hakika ukiwa serious na hili jukwaa utatoka na elimu (madini) sana, kuanzia maarifa ya kiroho hadi yale ya kimwili...
  3. JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya ‘surveillance na intelligence services’

    Jifunzeni hayo mambo na tofauti ya sifa za hao agents. Kuwasaidia Surveillance entails techniques to gather information (know how skills, are involved). Intelligence entails being able to interpret surveillance information and make decisions (kawaida huo ni mchezo wa watu wenye akili). Uwezi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ana emotional intelligence, utulivu wa hali ya juu

    RAIS SAMIA SULUHU ANA EMOTIONAL INTELLIGENCE, UTULIVU WA HALI YA JUU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua hivi vyeo bhana ukileta mchezo unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo hata wewe ukija kutulia unajishangaa. Vyeo vinaleta Kiburi, Jeuri na majivuno. mamlaka na utajiri bhana haviwafai...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini inashauriwa duniani kote Watu wa Usalama ( Intelligence ) lazima watokee katika Familia ambazo zina Historia ya kuweko huko?

    Leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu ili Nielimike zaidi nikiamini kuwa hapa JamiiForums kuna Wabobezi na Wazoefu wa Fani hii inayoitwa ya Wenye Nchi.
  6. F

    JamiiForums Tanzania "Dot connecting Intelligence" na Sakata la Bandari zetu!

    1st Dot: DP World Foundation hata kabla Watanzania hatujajua mkataba uliosainiwa wa kupora Bandari zetu wakakimbilia Mbeya kugawa Futari mwezi mtukufu wa ramadhani uliopita. 2nd Dot: DP World Foundation wamekiri wazi kuwa specifically walichagua mikoa miwili ya kugawa "Futari" zao, kwa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania OpenAI Distributes Instructional exercise For computer based intelligence Produced Gathering Minutes

    Figure out how to interpret meeting minutes with GPT-4 and Murmur, including OpenAI's six ways to come by the best outcomes from GPT-4. Features. *OpenAI has delivered an instructional exercise on the best way to utilize its GPT-4 and Murmur models to interpret and sum up gathering minutes...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Akili Bandia (Artificial Intelligence) ilivyoua ajira za watu huko India

    Supatech: Sumit Shah ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Dukaan, kupitia ukurasa wake wa Twitter aliufahamisha umma ya kwamba amefanya mabadiliko makubwa kwenye idara ya huduma kwa wateja ndani ya kampuni hiyo. Dukaan ni kampuni kutokea nchi India ambayo inajihusisha na mauzo mtandaoni...
  9. JamiiForums Tanzania Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide-Kufungua Uwezo wa Biashara kupitia Ujasusi Bandia: Mwongozo Kamili

    Habari za Muda huu wakuu, Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide, kwa tafsi isiyo rasmi sana "Kufungua Uwezo wa Biashara...
  10. JamiiForums Tanzania Wachambuzi bongo hakuna tena, wanatumia artificial intelligence kuandaa makala za mchongo

    GOLI KIPA ILI AWEZE KUWA BORA ANAHITAJI KUWA NA VITU VIFUATAVYO⚽ . 1. Uokoaji: Hii inahusu jinsi golikipa anavyoweza kuokoa michomo inayoelekezwa kwenye lango lake. Uokoaji mzuri unahitaji muda wa mwitikio, uamuzi sahihi, na ufundi katika kukabiliana na mipira inayoingia. 2. Mawasiliano...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence kwenye Telegram

    Habari ndugu! Natambulisha kwenu AI bot ya Telegram ambayo inaweza kushiriki kwenye mijadala mbalimbali ya groups za Telegram: Faida za bot hii: Kwa wanafunzi/wanachuo ambao wana_group za discussion kwenye Telegram watapata fursa ya kupata mchango wa moja kwa moja kutoka kwa bot pale ambapo...
  12. JamiiForums Tanzania Nashauri ianzishwe Kozi ya Bachelor of arts in artifical intelligence (AI) vijana waendande na kasi ya wenzao duniani

    Naomba nieleweke ni Arts sio Science. Kimsingi kasi ya matumizi ya AI karibu katika kila kitu mitandaoni ni kubwa na kuna baadhi ya taaluma zitakufa kifo cha mende. Napendekezwa ianzishwe kozi maalum ya jinsi ya kutumia hii kitu kujipatia kipato katika real life na kuachana na yale mamitaala ya...
  13. JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence poses “risk of extinction”, warns ChatGPT Founder and other AI Pioneers

    Artificial Intelligence poses “risk of human extinction,”warns ChatGPT founder and other AI pioneers Artificial intelligence tools have captured the public’s attention in recent months, but many of the people who helped develop the technology are now warning that greater focus should be placed...
  14. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Kumekuwa na mkanganyiko kidogo juu ya tofauti ya Jasusi, Shushushu, Kachero, Mpelelezi nk. Kwenye kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi nimeeleza kwa kirefu zaidi juu ya utofauti wa mambo haya muhimu matatu kwa Tanzania ambayo ni lazima kila mtu ayajue na kuyatofautisha kufuatia mageuzi ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Why is Einstein the symbol of intelligence even though there have been smarter physicists?

    Huyu alijibu hivi, wewe utajibuje? I’m not sure what physicist exactly you would consider to be “smarter” than Einstein. Possibly Maxwell or Dirac? I could imagine making a case for Maxwell or Dirac, but I’m not sure that it would be a winning case. I don’t think you can really count Newton or...
  16. JamiiForums Tanzania Ona maajabu ya Artificial Intelligence: Inamjua mpaka Maxence Melo

    Hello members (wale ambao mlikuwa hamjui kama mimi)! Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena kwani ni hatari kwa binadamu sikutilia maanani sana mpaka nilipoanza kuitumia. Je, wewe umewahi kuchati nayo? Kama bado basi...
  17. JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence (AI) projects in the crypto!!!!

    The rumor that AI could dramatically change the market in all sectors has intensified thanks to the popularity of OpenAI and applications such as ChatGPT. This trend has also spread to the crypto industry, which has seen a surge in the price of tokens associated with AI projects. ➡️Alex...
  18. A

    JamiiForums Tanzania How Artificial Intelligence (AI) will change the future

    While Artificial Intelligence (AI) is certainly on the rise, and taking over many aspects of digital marketing, it's unlikely that AI will ever completely replace SEO services. Here's why: 1. First and foremost, search engine optimization services is about understanding and catering to human...
  19. JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence rapper-FN Meka dunia hii

    Hii ngoma hapa mmiliki wake ni artificial robot aliyekuwa signed na record label kubwa. It is all AI naona ufake umeingilia mziki. Soon tutaona artificial movies
  20. JamiiForums Tanzania Let us discuss emotions intelligence

    Habari zenu wanajukwaa. Naombeni tujadili uelewe juu ya emotions hata kiswahili zinaitwaje. Tuko hapa kujifunza sio kuwa mie Ni guru. In short am a loser, am dumba$$. Sio kuwa huru ongea kitu ili tuongee jinsi zinavyofanya kazi kila siku
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…