Artificial Intelligence kwenye Telegram

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
509
659
Fy2PdZPWAAMr_oP.png

Habari ndugu!
Natambulisha kwenu AI bot ya Telegram ambayo inaweza kushiriki kwenye mijadala mbalimbali ya groups za Telegram:
Faida za bot hii:
Kwa wanafunzi/wanachuo ambao wana_group za discussion kwenye Telegram watapata fursa ya kupata mchango wa moja kwa moja kutoka kwa bot pale ambapo watamtag kwenye hiyo conversation, lakinip pia wanaweza omba awape reference zaidi, afanye majuisho ya discussion au atoe maoni yake ktk mada inayo endelea.

Lakini pia, endapo umechelewa kuingia kwenye group, na pindi unapoingia unakuta SMS 50 au 100+ huwa inakuwa ngumu sana kusoma moja moja, hivyo unaweza mtag bot huyu na kumwambia akupe summary ya conversation iliyokuwa inaendelea, kisha ndani ya sekunde 10, bot atakupa summary ya conversation

Ili kumtumia bot huyu wa Telegram fuata hatua hizi
1. Kama ni kwa matumizi ya group search @WaGPTBot kisha mu_add kwa group, baada ya hapo ukitaka bot achangie utaanza kwa kumtag mfano @WaGPTBot naomba nipe summary ya hiki kilicho jadiliwa hapa Kisha bot atafanyia kazi ulichomwambia
2. kama ni kwa matumizi binafsi search @WaGPTBot au fuata link hii https://t.me/WaGPTBot kisha chat naye inbox moja kwa moja.

Next feature:
Tunafanyia kazi uwezo wa bot kutambua magonjwa ya mazao pale unapomtumia picha ya mmea mwenye magonjwa.

Ahsanteni sana.
 
Good Job
 
Updates na Tips

WaGPBot kupitia Telegram amepewa uwezo zaidi sasa anakuwezesha kusimamia group la Telegram, kutambua comment za members ambazo hazifai na kuzifuta, kutoa onyo kwa member na kumzuia au kumwondoa yule ambaye anaendelea kutoa comment zenye maudhui yasiyofaa. .......

Unachotakiwa kufanya, add @WaGPTBot kama admin kwenye group lako la Telegram halafu utaona maajabu ya akili hii bandia..............
Pia, kama kuna mjadala unaendelea kwenye group lenu la Telegram na mkahitaji maoni, au ufafanuzi wa jambo fulani la kitaalamu unaweza anza kwa kumtag bot @WaGPTBot naye ataingia kati na kutoka jibu/maoni yake........................
Inapotokea umechelewa kuingia kwenye group, halafu ukautana na sms nyingi ambazo unaona huwezi kuzisoma zote, unaweza mwambia @WaGPTBot akupe summary ya kile ambacho kimejadiliwa, kisha bot atafanya kama ulivyosema ndani ya sekunde 30 tuu.
Zingatia: Ili kuweza kumtumia kusimamia group lako, ni lazima umuadd kama admin kwa group lako la Telegram, Ila ili kumtumia kutoa maoni/majibu kwenye group sio lazima awe member wa group.

Kama unataka kuchat naye private unaweza search @WaGPTBot kwenye Telegram yako au kwa kubonyeza hapa WaGPT Bot
 
Back
Top Bottom