instagram

  1. JamiiForums Tanzania Instagram Stories zimeongezwa kufikia sekunde 60

    Instagram imeongeza muda wa Stories kutoka sekunde 30 na sasa kufikia 60. Kwa sasa watumiaji wa iOS ndio wanaweza kutumia kipengele hiki cha sekunde 60 na hivi karibuni kuwafikia Android.
  2. JamiiForums Tanzania Instagram itafuta app ya “Threads for Instagram”

    December mwaka huu, Instagram itafuta app ya “Threads for Instagram” ambayo ilianzishwa tangu Mwaka 2019 ili kushindana na Snapchat. Instagram imesema mwisho wa mwaka huu itafuta app ya Threads katika App Store na Google Play Store; na itakuwa haipatikani kwa watumiaji wote ambao bado...
  3. JamiiForums Tanzania Instagram inaweka mfumo wa kuhakiki akaunti mpya ambazo zinafunguliwa

    Instagram inaweka mfumo wa kuhakiki akaunti mpya ambazo zinafunguliwa na akaunti ambazo Algorithm itahisi ni bot au Spam Account. Mfumo mpya utamhitaji mtumiaji mpya kujirekodi video fupi ya Selfie, ambayo inatumwa na kukaguliwa kama anayefungua akaunti ni mtu na sio robot. Instagram itaanza...
  4. JamiiForums Tanzania Gauni la Beyoncé limesababisha traffic huko Instagram

    Akiwa na mume wake Jay Z kwa tuzo za Gram.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Mtandao wa Instagram, umeshawahi kukumbana na hili?

    Habarini wana jamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikilog in wanataka niverify kama akaunt ni ya kwangu, kwa hio wanatuma verification code kwenye namba ambayo nishaipotezaga Na hamna option nyingine ya kupata hizo code. Msaada kwa anae fahamu jinsi ya kusolve hilo🙏🏽
  6. JamiiForums Tanzania Je, nini kilichoikumba Facebook, Instagram na WhatsApp?

    Tatizo lililo kumba kampuni ya facebook Je, tatizo lilikuwa lipi? Kwa ufupi, mifumo ya facebook ilishindwa kuwasiliana na mtandao duniani. 'Ni kama ambaye kuna mtu aliyeaathiri nyaya za kampuni hiyo katika kituo kikuu cha kutoa data na kuzitengenisha na intaneti' , ilielezea kampuni ya miundo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali inawasiliana na watoa huduma wa mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu kukosekana kwa huduma

    Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo. Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe...
  8. JamiiForums Tanzania Mark Zuckerberg atangaza kurudi hewani mitandao yake

    Mkurugenzi mtendaji na mmiliki wa Facebook ametangaza kurudi hewani kwa mitandao hiyo ambayo ni Facebook, WhatsApp, instagram na messenger ambayo inamilikiwa na facebook. Mark Zuckerberg amesema mitandao hiyo imerudi hewani saa moja lililo pita na kuwaomba radhi watumiaji wake kwa kusema anajua...
  9. JamiiForums Tanzania mark Zuckerberg apata pigo baada ya kuzima kwa Facebook, WhatsApp na Instagram

    Baada ya kukosekana kwa saa kadhaa kwa mitandao ya Facebook, WhatsApp, messanger na Instagram, mkurugenzi Mkuu wa Facebook ambayo ndio inamiliki mitandao tajwa Bwana mark Zuckerberg amepoteza zaidi ya Tshs. Trilioni 13.8 na kupelekea kushuka mpaka nafasi ya 6 ya mtu tajiri duniani akitoka nafasi...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Instagram, WhatsApp & Facebook all Down! Worldwide 04/10/2021

    Instagram, WhatsApp & Facebook all Down! Worldwide 04/10/2021 What happened?
  11. JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Au tatizo hili ninalo mimi tu? ---Update---
  12. JamiiForums Tanzania Wastara bana, Aitwa Matonya wa Bongo na Mashabiki zake Huko Instagram

    Huyu dada bwana sijui ni kweli anapitia shida ama ni uigizaji? Kwenye interview moja na Diva clouds alionekana akilia maisha magumu na kutaka kujiua. Leo hii anaibuka insta akiwa kang'aa Cheki alichoambiwa
  13. JamiiForums Tanzania Je, hawa wanaouza akaunti za instagram ni matapeli? Kuna mtu ameshawahi kununua? Tunaomba uzoefu juu ya hili

    Kuna sehemu nimekuta mtu anauza akaunti ya instagram yenye followers 151K kwa shillingi 85,000/=, hii mbona haiingii akilini kabisa, ni kweli au ni utapeli akaunti kubwa hivyo ikauzwa kwa bei ya kutupa kabisa
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mugalu kapost picha instagram saa 8 usiku akiwa anatafuta goli vs Yanga, atukanwa vibaya

    Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana wa utopolo kina Aucho mbona wao ndiyo mara ya kwanza wamepambana wewe una mechi 3 na utopolo...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa instagram

    Habari za asubuhi wadau....Poleni na majukumu... Nahitaji msaada wenu Account yangu ya Instagram Inaandika hivyo kama mnavyoona hapo chini.. Nifanyaje ili hili tatizo? Msaada Plz #forgive me.
  16. JamiiForums Tanzania Instagram kuwalazimisha wateja wanaojisajili kuandika umri wao kwaajili ya usalama wa watoto

    Sasisho jipya la Instagram linawataka wote wanaojiunga na mtandao huo wa kijamii kuandika umri wao, vinginevyo hawataweza kujiunga na mtandao huo. Hatua hiyo mpya ya Instagram haitawaathiri wote ambao wamekwishajisajili kwenye mtandao huo, lakini itawalenga wateja wapya wanaojisajili, ikiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Video inayotrend Instagram ikimuonyesha malaika anapaa kwenye mawingu ni ya kweli?

    Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
  18. JamiiForums Tanzania Marekani: Tume ya Biashara yaitaka Facebook iuze WhatsApp na Instagram

    Tume ya Biashara ya Marekani ambayo inahusika na kudhibiti ushindani wa kibiashara imefungua mashtaka dhidi ya Facebook kwa kujimilikisha (Monopolize) soko la mtandao kinyume cha sheria. Shauri hilo limeitaka Facebook iuze Instagram na WhatsApp ambapo awali shauri hilo lilitupiliwa mbali na...
  19. JamiiForums Tanzania Wangapi mnaikumbuka Yanga hii kabla ya Instagram? Tuwataje waliopo kikosini

    Ngoja tuone leo wangapi mnakumbulumbu, twende kazi
  20. JamiiForums Tanzania Nani alitufundisha kuhusu Duka la mtandao (Postashop) Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?

    Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea? Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…