BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,335
- 1,386
Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?
Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea zilishapitia haya na wakaona haina faida wakatafuta mbadala na sasa wamesonga mbele.
Yaani sisi sio wa kusumbuka kutafuta namna ya kufankiwa, tupite mule mule walipopita waliofanikiwa.
Kwanini tuna vichwa vigumu hivi? yaani duniani huko kuna shirika la posta linafanya vizuri kweli na wala hawauzi viatu na mikoba mtandaoni kwanini hatutumii mbinu zao?
Kuna maduka mengi ya mtandao kwanini posta isiingie nayo mikataba ya kusafirisha vifurushi?
Ingia mkataba na Kina JustFitIt, Vunjabei, Born2shine etc, kila mteja anapoagiza mzigo kutoka kwao, anachagua Posta kama huduma ya kusafirisha mzigo wake pale chini. Na hawa jamaa wanakua na vifungashio maalumu vya posta, posta wakienda pale ni kukusanya mzigo na kusafirisha.
Sasa wenyewe wameanzisha biashara mtandaoni wakifikiri ni rahisi kwakua watu wengi wanafanya, atapita CAG hapo muwe na deficit ya ajabu wakati mnapewa hela na walipa kodi.
Posta ilitakiwa iingize mapato na iweze kulipa mishahara yake yote kwa watumishi wa posta.
Jamani eeh watumishi wa Umma tusiwe wakurupukaji, mambo yoote duniani yamefanyika tayari. Copy na Paste kutoka mataifa yalioendelea, ubunifu utafuata baada ya kufanikiwa maisha yenyewe haya mafupi.
Chini hapa ni jibu la swali kwanini serikali ya marekani haianzishi kampuni za umma za biashara