instagram

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tiktok na Instagram: Mijadala ya Kizuzu Mitandaoni

    Hivi karibu katika ulimwengu wa kidijitali, imekuwa ni kawaida watu kuzungumza kama bile wamekatwa vichwa. Mitandao imekuwa ji mahali ambapo ukweli unapigwa kwa sababu ya kulinda hisia za mtu na ambapo mantiki inaonekana kama ni adui. Hivi sasa, ukiingia TikTok au Instagram, hutakutana tu na...
  2. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ninatoa elfu 50 Kurejesha Account ya Instagram

    Habari kwa mtu yeyote ambae anaweza kunisaidia kurejesha Account yangu ya Instagram nina toa shillingi elfu 50 cash kama upo njoo DM uaminifu ndo kitu mhimu account baada ya kufungwa inasomeka We disabled your account, cee Hi ce__ We reviewed your account and found that it still doesn’t...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumtrace mtu kupitia instagram au x/twitter ikiwa alijiandikisha kwa account fake

    Kama mtu ajiandikisha Instagram kwa account fake au twitter kwa account fake na hajaweka details zake zozote je inawezekana kumpata ikiwa serikali inamtafuta? Inampataje kwa njia gani? Na kama alipost kitu akiwa anatumia VPN je inawezekana pia kumpata?
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Instagram ina tatizo gani comment zingine hazionekani?

    Unakuta mfano kwenye page ya mange kimambi comment zinaonekana zipo elfu 2 kabla hujazifungua kusoma lakini ukifungua kusoma hazifiki hata comment 30 tatizo ni Nini huu mtandao hao wamelipwa ili kufanya hivi tanzania
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimeiona hii kwenye Instagram jamaa anamjibu Irene Kilango

    Huyu binti analalamika anasema; Nawaza sana… je, sisi Gen Z tutafika kweli? 🥹 Kuna wakati nahisi dunia ilikosea kutupokea. Maana kama ingekuwa ni Afrika tu, ningedhani labda ni changamoto ya bara letu — lakini la, ni dunia nzima. 😔 Sisi ndiyo kizazi kinacholelewa na wazazi badala ya sisi...
  7. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kilio cha watanzania kwenye account ya ICC huko Instagram kimeniliza

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kilio chao kinaumiza kuliko hata mauwaji yenyewe Nimelia Mmoja anasema Samia anamaliza watoto wetu tusaidien Ni majonzi ndugu zangu Account ni hiyo hapo chini
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  9. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Mange kanimaindi kunitukana na kuniblock Instagram, nikafurahi

    Huwezi amini nimem win Mange kisaikolojia. Kwenye ile posti yake ya juzi ya BOT kuprint matrillion nilimkera Sana dada wa Taifa. Halafu nikacopy na kupost na kupaste kama mara mia mfululizo. Baada ya dakika kumi amini usiamini dada wa taifa akanijibu na kunitukana JINGA WEWE na kuniblock...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya Instagram ya Humprey Polepole yafutwa?

    Akauti ya Instagram aliyokuwa anatumia Humphrey Polepole imefutwa ikiwa ni siku moja baada kusemekana ametekwa na watu wasiojulikana.
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wakuu mbona Instagram haipatikani.?

    Kama Uzi unavyosema ni kwangu tu?
  12. Isaka James

    JamiiForums Tanzania Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Facebook kule ni mtandao wa Marekani, kule Samia mpaka Trump wanatukanwa sana lakini hatuoni ukifungiwa, vipi kule YouTube na Instagram na hamfungi

    Facebook kule ni mtandao wa marekani, kule samia mpaka trump wanatukanwa sana lakini hatuoni ukifungiwa, vipi kule YouTube na Instagram na hamfungi. Kule Tiktok ni wa china kule raisi wa china anatukanwa sana lakini hatuoni ukifungiwa sio rais wa china tu mpaka samia anatukanwa sana kule mara...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inaogopa kufunga mtandao wa instagram sababu wasanii wao wapo huko

    Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi. Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF. Sasa siasa imeamia instagram na facebook na huko ndio kuna wasanii wao 😂. Karma karma sasa fungeni wawa geuke
  15. P

    JamiiForums Tanzania VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

    HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba...
  16. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Tusiotumia mitandao ya kijamii tujuane!

    Kwanza kabisa kwanini hautumii mitandao ya kijamii? Ilikuwa hivyo toka mwanzo au ulifuta baada ya kutumia? Socia media zimekuwa sehemu mpya ya maisha ya binadamu kuendana na kasi na mabadiliko ya Teknolojia ila lengo kuu la mitandao ya kijamii limepotea ghafla baada ya teknolojia hii kupokewa...
  17. ANOLD MEDIA

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, hiki kirusi kweli kama media zinavoripoti?

    JE NI KWELI HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI? KAMA BAADHI MEDIA ZINAPOST INSTAGRAM ZIKISEMA HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI KIKIWA KIMEKUZWA KWENYE ELECTRONIC MICROSCOPE BY ANOLD MEDIA
  18. I

    JamiiForums Tanzania Je Instagram inaweza kujua na kushare Mahali Nilipo Na Jinsi ganii ya kukwepaq hili

    Instagram Inaweza Kushare Mahali Ulipo na Followers Wako Wote Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, taarifa binafsi zimekuwa bidhaa yenye thamani kubwa. Hata bila ruhusa ya wazi, programu zinaweza kutumia ruhusa za simu yako kufuatilia na kushiriki mahali ulipo. Instagram, moja ya majukwaa...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania Instagram wamefanya update. Wameongeza feature ya "repost" kama Tiktok na features nyingine 2

    Wakuu, Instagram imeendelea ku-copy features za mitandao mingine. Naona kwenye hii update yao mpya wameongeza sehemu ya REPOSTS kama ambavyo ipo kule tiktok Yaani hapa ukisha-REPOST kitu basi after sometime pia kinaonekana kwenye akaunti yako. Kwa hiyo sasa hivi kuna options kama 4 ambazo ni...
  20. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Instagram account inauzwa

    Account ndogo ya Instagram inauzwa, Followers 5800, nicheki 0743546090 Call/text ama WhatsApp
Back
Top Bottom